Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Freema...unaongea na nani hapo? Ulitaka kumnukuu mtu au...?
Sikutaka kunukuu mtu anaedhani dhani kibubusa (Dutwa Same).
Freema...unaongea na nani hapo? Ulitaka kumnukuu mtu au...?
Nipo mama,lete mchongozKoh koh koh. Kimya kimya kisimplicity. Sawa sawa si unajua kubadilika ni any time. Ukiweka heshima mbele you get it back hakuna mambo ya dam dam wala nini najua ukicheka na ngedere utavuna mabua.
Wapi mama Valentina.
Nipo mama,lete mchongoz
O ooh! Kweli nimepitwa...Ulipotea mwanawane ukakosa kuona mmiliki wa bodaboda DFP.
O ooh! Kweli nimepitwa...
Hii inabidi twende,japo sina kiingilio ila ntavamia tuNo, kama ni kupitwa ni kukosa mnuso JF party!
Hii inabidi twende,japo sina kiingilio ila ntavamia tu
We twende hatushindwi kuwachangia. We utawaponda mabega mi ntashuhulika na miguuMmh. Si watanivunja mguu hizi mutu mbili. Zina hasiiiiiira, lol.
We twende hatushindwi kuwachangia. We utawaponda mabega mi ntashuhulika na miguu