Pole sana,jitunze na ongeza kusali Novena na kusubili majibu ya Mungu,kwani njia mbaya huja haraka ila iliyonjema huchelewa. Naomba sali sana pia SALA ILIYOKUTWA KWENYE KABURI LA YESU 1503AD(huwa Mimi naitumia sana ili kutafuta ufumbuzi wa jambo kwaharaka). Mimi nami nitaanza kukupigania kiroho na ninaimani mafanikio yanakujaHabari za Jumapili wanajamii.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32 kwa sasa. Napitia katika changamoto kubwa sana.
Hapo mwanzo kipindi ninasoma niliona si vyema kujiingiza katika mahusiano ya kufanya mapenzi kwani niliona yatanivuruga na ningejikuta napitia katika mahusiano mengi kitu ambacho sijawahi kukipanga maishani.
Nikamaliza chuo vizuri namshukuru Mungu.katika kutafuta ilikuwa ngumu kidogo nilitafuta mpaka nikakata tamaa nikaomba Mungu mpaka nikaona inatosha. Katikati ya kukata tamaa nikamuomba Mungu basi anipe kitu kimoja kwanza mme au kazi. Ila la kazi ndio nililoliwekea msisitizo kwani kwa kipindi hicho familia yangu ilikuwa inapitia changamoto nyingi kwa hiyo nikaona kazi itanisaidia kupunguza changamoto ama la basi niolewe ili nipunguze mzigo kwa familia yangu.
Siku isiyotarajiwa nikaitwa interview na nikapata kazi nzuri ambayo sikuwahi hata kufikiria wala kuiwaza. Nikashukuru Mungu na kuanza maisha mapya ya kazi na kusaidia familia yangu. Nikajikita kwenye kumuomba Mungu anijalie mme mwema atakayenifaa na kuongoza familia tutakayoipata katika misingi ya imani ta dini ya kikristo. Sikubagua kabila wala atakuwa mkirsto wa aina gani maadamu awe anaabudu jumapili maana mimi nilikuwa tiari kuhama katoliki ili tulee familia yetu tukiwa na muongozo wa dini moja.
Sikuwahi kudhani nitafikia huku maana mpaka sasa imekuwa ngumu kama ni Mungu hachelewi ama hawahi basi kwangu mimi kwa sasa imekuwa ni shida kubwa. Nimefunga novena nimesali sana mpaka naona nimeanza kuathirika na hili swala. Mwaka jana tarehe moja nikaona basi kama mme wangu hayupo nipate tu mwanamme nitakae zaa nae lakini awe mkirsto maana siko tiari kumtenga baba na mtoto wake hata kama hamhudumii, nikiamini kuwa uwezo wa kulea mwenyewe ninao hata kama watoto watakuwa zaidi ya mmoja niko tiari kupambana na maisha.
Nikaona kwa sababu nitakuwa pekeangu nikaanza kuwekeza ili watoto wangu wanikute nimejiandaa. Na penyewe Mungu akaona wakati wangu bado. Mwaka huu mwezi wa pili akatokea mme wa mtu kitu ambacho sijawahi hata fikiria kuwa kunasiku nitaangukia huko, Mwanzoni nilitaka tuzungumze mapema kabla hatujazoena sana matakwa yangu lakini akawa mtu wa kuona nampangia sheria mapema na kudai hizo mipango ninazotaka kupanga nae tukiwa hatujafika mbali ni mipango gani. Nikaona isiwe tabu.
Ikafika siku ya kukutana nikamwambia mimi sijawahi kabisa hakuamini na nikamwambia kama anajiamini aendelee ila ajue atakuwa na deni la kulipa, akatafakari akaona viatu ni vikubwa akaondoka.
Chenga zikaongezeka nikajiuliza ni nini shida, tukapanga tukutane ili tuone hatima ni nini kati yetu. Akaja na kudai yeye hayuko tiari kutoa bikira ya mtu asiye na mpango nae. nikamuelewa na nikaona yuko sahihi.Nikamuuliza wewe ulivyoanza ulitegemea mimi ni mti sina hisia za kufanya mapenzi akadai alijua anajihusisha na mapenzi ya kila mtu ana mtu wake hivyo wanakutana kulizishana tu. Akaniambia nahitaji nini hasa kwake nikamwambia kama ulishaona hisia zangu unadhani nahitaji nini? Niliona nisianze kutaja shida niliyonayo kwanza nimsikilize yeye ndio na mimi niseme ya kwangu. Yeye akadai aliona ni mahusiano ya kula na kuondoka. Akaniambia kama niko tiari ataweka sheria za kutuongoza za maandishi ili baadae tusijekupeana shida. Nikamwambia sheria zako utazoniwekea nitazifuata vilivyo japo najijua ninawivu lakini wewe ni mme wa mtu tiari nitavumilia.
Akaja na sheria na mipango mingi sana asee.sheria nyingi nilivyotafakari nikaona nyingi zinamlenga mtoto ambaye mimi ndio ninayemhitaji zaidi. na yeye akaona labda ni mmoja tu wakati mimi nishajipangia wakunitosha kabisa. Kwa maelezo yake nikaona hayuko tiari kuwa na mtoto nje ya familia na nikitokea kumpata basi nitoe mimba ama atamchukua. Nilichoka viungo vyote. Akaniuliza unalolote nikamwambia nizungumze nini wakati sheria zimekuwa ngumu.
Haki ya Mungu yaani natamani siku zirudi nyuma nizunguke na wanaume kama wafanyavyo wengine. Hukukujitunza kwangu kunanifanya nilie kila siku na kuomba Mungu usiku kucha kisa nilimtunzia mtu bikira. Jamii inayonizunguka itanitia wazimu maana swali la unaolewa lini limenichosha kabisa. Basi kama siolewi hata mtoto tu ni shida kumpata.
Kwasasa ninashida na mtoto kuliko maelezo na niendako nadhani nitawehuka. Msaada wenu tafadhalini sana.
NB. Hapo mwanzo nilifunga novena kwa muda wa mwaka mmoja na kuomba na kukabidhi mwili wangu uwe kwa ajili ya mtu mmoja tu ambaye ndio atakayekuwa mme au baba wa watoto wangu. Ndio maana inaniwia vigumu kuingia mahusiano mbalimbali.
Mkuu funguka tu kama unatafuta ngoja niweke bond kabisa mimi ni mvulana wa miaka 22 ni tag kama utatoa fursa.Hii post hii post!!
Siyo kwamba nakupinga ila kwa mwanamke umri una maana kubwa sana mkuu .Pole m-dada....
Kwangu kwa umri uliotaja bado mbona u-mdogo. Tamaa uliyokata ni kubwa saana kuliko umri. Vuta pumzi kuna wenzako wanaolewa kwenye 35 na wanazaa kwenye huo umri.
Kwa upande wa pili.
Unataka mwanaume je unajiweka kimtego mtego au bado unabehave kama mwanafunzi wa sekondari asiyehitaji mazoea anatunza bikra yake??
Wanaume tunachukia over protective women.. Siku hizi ni wanaume wachache wanaopoteza muda wao kuzungushana na wanawake wanaowapush.
nitakushauri haya.
1. Kuwa mwanamke, pendeza, ishi kwa tabasamu, watege wanaume bila kuwaonyesha unawatega.
2.Najua sio wote mmepewa sura na maumbo lakini wanawake wangapi wasio na sura na maumbo mazuri wameolewa? Mwanamke kauli, pendeza na uvutie.
3. Toa stress za kudhani ushapitwa. Hili linakutesa akilini. Sahau You are still young.
"bora uzae na mwanaume ambae hajaanza kuwa na familia,familia yako ndo iwe ya kwanza."Unaishi kwa ajili ya watu??usiombe kulea watoto mwenyewe dear..unaona ni rahisi kwa kuwa bado hujawapata.
1.unataka watoto wako waje kuishi bila baba yao kisa wti umri unaenda??tafakari.
2.unataka wasome katika mazingira magumu?
3.unaonekana unataka kuwafurahisha watu.ishi maisha yako.
4.inaonekana unafanya maombi yako kwa malalamiko.ni kama unamlaumu Mungu kwanini akupi unalolihitaji.kama unafanya hivyo acha mara moja.
5.Unataka kuolewa au kupata watoto kwa sababu marafiki uliomaliza nao chuo au unaofanya nao kazi wana watoto au wameolewa.nakusisitiza ishi maisha yako wewe hayo unayoyalazimisha yawe wakati muda wake bado,,utakuja kulia jua likiwa linawaka na usiamini.
6.usithubutu kuzaa na mume wa mtu mpendwa.kabisa usithubutu utakuja kulia machozi ya damu.bora uzae na mwanaume ambae hajaanza kuwa na familia,familia yako ndo iwe ya kwanza.
Mume wa mtu utazaa nae lkni ikifika jioni huyoooo kwa mke wake anakuacha bado unamuhitaji.atakuwa anakuona kwa kificho kwa sababu anaipenda familia yake ya kwenye ndoa.
Muda wako utafika tu usiishi kwa kufuata maishi ya watu kuwa wewe.punguza haraka.ulishawahi kujiuliza kwanini ulimuomba Mungu akupe mume na kazi lakini akaamua kukupa kazi na sio mume na vyote uliviomba kwake?????shukuru kwa kila nyakati unayopitia hutoamini majibu yatakayotoka hapo.
Naomba niishie hapa.uwe na wikend njema mpedwa.
Aliyetoa hiyo post ameshindwa kuelewa kuwa at 45 ndo muda ambao wanawake wengi duniani kizazi kinafunga exceptional kwa wale wa oman ambao wao at 50 ndo mwisho sjajua sababu hasa .sasa unaoa at 40 unapata mtt wa kwanza at 41 hapo hajapumzuka 1 year au 2 so kama ni 2 at 43 anabeba mimba anazaa ata 44 mara paap kizazi hakitotoi tena at 45 na bado unahitaji watoto .Yani fote 40 kabsaa kwa mwanamke mii sikubali kwa mwanamke punguza tena saaa
Mzee wa fursaUmri wako unaenda hapo utaishia kupata hao hao waume za watu na mwisho utafanyiwa kitu mbaya na wenye waume zao,na ukipata mwanaume asiye na mke atakuja kukupiga pesa na kusepa so take care utashangaa unazeeka tu kwa maelezo zaidi njoo PM
Nina uhitaji wa Mtoto poa mkewangu ananikera sana nahisi nikimchapa na kichanga cha nje akili zitamnyooka...njoo pm tuyajenge na ntakutuza hutajuta!!

Habari za Jumapili wanajamii.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32 kwa sasa. Napitia katika changamoto kubwa sana.
Hapo mwanzo kipindi ninasoma niliona si vyema kujiingiza katika mahusiano ya kufanya mapenzi kwani niliona yatanivuruga na ningejikuta napitia katika mahusiano mengi kitu ambacho sijawahi kukipanga maishani.
Nikamaliza chuo vizuri namshukuru Mungu.katika kutafuta ilikuwa ngumu kidogo nilitafuta mpaka nikakata tamaa nikaomba Mungu mpaka nikaona inatosha. Katikati ya kukata tamaa nikamuomba Mungu basi anipe kitu kimoja kwanza mme au kazi. Ila la kazi ndio nililoliwekea msisitizo kwani kwa kipindi hicho familia yangu ilikuwa inapitia changamoto nyingi kwa hiyo nikaona kazi itanisaidia kupunguza changamoto ama la basi niolewe ili nipunguze mzigo kwa familia yangu.
Siku isiyotarajiwa nikaitwa interview na nikapata kazi nzuri ambayo sikuwahi hata kufikiria wala kuiwaza. Nikashukuru Mungu na kuanza maisha mapya ya kazi na kusaidia familia yangu. Nikajikita kwenye kumuomba Mungu anijalie mme mwema atakayenifaa na kuongoza familia tutakayoipata katika misingi ya imani ta dini ya kikristo. Sikubagua kabila wala atakuwa mkirsto wa aina gani maadamu awe anaabudu jumapili maana mimi nilikuwa tiari kuhama katoliki ili tulee familia yetu tukiwa na muongozo wa dini moja.
Sikuwahi kudhani nitafikia huku maana mpaka sasa imekuwa ngumu kama ni Mungu hachelewi ama hawahi basi kwangu mimi kwa sasa imekuwa ni shida kubwa. Nimefunga novena nimesali sana mpaka naona nimeanza kuathirika na hili swala. Mwaka jana tarehe moja nikaona basi kama mme wangu hayupo nipate tu mwanamme nitakae zaa nae lakini awe mkirsto maana siko tiari kumtenga baba na mtoto wake hata kama hamhudumii, nikiamini kuwa uwezo wa kulea mwenyewe ninao hata kama watoto watakuwa zaidi ya mmoja niko tiari kupambana na maisha.
Nikaona kwa sababu nitakuwa pekeangu nikaanza kuwekeza ili watoto wangu wanikute nimejiandaa. Na penyewe Mungu akaona wakati wangu bado. Mwaka huu mwezi wa pili akatokea mme wa mtu kitu ambacho sijawahi hata fikiria kuwa kunasiku nitaangukia huko, Mwanzoni nilitaka tuzungumze mapema kabla hatujazoena sana matakwa yangu lakini akawa mtu wa kuona nampangia sheria mapema na kudai hizo mipango ninazotaka kupanga nae tukiwa hatujafika mbali ni mipango gani. Nikaona isiwe tabu.
Ikafika siku ya kukutana nikamwambia mimi sijawahi kabisa hakuamini na nikamwambia kama anajiamini aendelee ila ajue atakuwa na deni la kulipa, akatafakari akaona viatu ni vikubwa akaondoka.
Chenga zikaongezeka nikajiuliza ni nini shida, tukapanga tukutane ili tuone hatima ni nini kati yetu. Akaja na kudai yeye hayuko tiari kutoa bikira ya mtu asiye na mpango nae. nikamuelewa na nikaona yuko sahihi.Nikamuuliza wewe ulivyoanza ulitegemea mimi ni mti sina hisia za kufanya mapenzi akadai alijua anajihusisha na mapenzi ya kila mtu ana mtu wake hivyo wanakutana kulizishana tu. Akaniambia nahitaji nini hasa kwake nikamwambia kama ulishaona hisia zangu unadhani nahitaji nini? Niliona nisianze kutaja shida niliyonayo kwanza nimsikilize yeye ndio na mimi niseme ya kwangu. Yeye akadai aliona ni mahusiano ya kula na kuondoka. Akaniambia kama niko tiari ataweka sheria za kutuongoza za maandishi ili baadae tusijekupeana shida. Nikamwambia sheria zako utazoniwekea nitazifuata vilivyo japo najijua ninawivu lakini wewe ni mme wa mtu tiari nitavumilia.
Akaja na sheria na mipango mingi sana asee.sheria nyingi nilivyotafakari nikaona nyingi zinamlenga mtoto ambaye mimi ndio ninayemhitaji zaidi. na yeye akaona labda ni mmoja tu wakati mimi nishajipangia wakunitosha kabisa. Kwa maelezo yake nikaona hayuko tiari kuwa na mtoto nje ya familia na nikitokea kumpata basi nitoe mimba ama atamchukua. Nilichoka viungo vyote. Akaniuliza unalolote nikamwambia nizungumze nini wakati sheria zimekuwa ngumu.
Haki ya Mungu yaani natamani siku zirudi nyuma nizunguke na wanaume kama wafanyavyo wengine. Hukukujitunza kwangu kunanifanya nilie kila siku na kuomba Mungu usiku kucha kisa nilimtunzia mtu bikira. Jamii inayonizunguka itanitia wazimu maana swali la unaolewa lini limenichosha kabisa. Basi kama siolewi hata mtoto tu ni shida kumpata.
Kwasasa ninashida na mtoto kuliko maelezo na niendako nadhani nitawehuka. Msaada wenu tafadhalini sana.
NB. Hapo mwanzo nilifunga novena kwa muda wa mwaka mmoja na kuomba na kukabidhi mwili wangu uwe kwa ajili ya mtu mmoja tu ambaye ndio atakayekuwa mme au baba wa watoto wangu. Ndio maana inaniwia vigumu kuingia mahusiano mbalimbali.
Yan kwa maelezo hayo u fit in every way with a woman of my dreams, ispokua umri tu maana m 24yrs.. m pretty sure out there kuna mume wako all u have to do is, fanya mambo yako na uendelee kusali, hakika Mungu atakuletea mwanaume ambaye analingana na thamani yako na ambaye atajiona ni mwenye bahati kuwa na wewe...Habari za Jumapili wanajamii.

Kwani tunazitoa kwa kula ugali? Nani anazitoa? Hao mlowatoa mliwaoa?"bora uzae na mwanaume ambae hajaanza kuwa na familia,familia yako ndo iwe ya kwanza."
![]()
![]()
![]()
Na bikra mngekuwa mnatutunzia ili na sisi tuwe wanaume wenu wa kwanza ingependeza zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu