Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,096
- 8,199
Pole sana mpendwa usikate tamaa wakati wa Bwana ukifika atakupatia hitaji la moyo wako.
MAMBO AMBAYO BINTI ANATAKIWA AYAEPUKE ILI KILA MWANAUME ATAMANI KUMUOA 🤭
Kabla sijaandika hayo mambo binti lazima ujue kwamba mwanaume kabla hajaamua kujilipua kwako anasoma hili andiko 

*Mwenye busarahuyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia* .
Mwanaume kabla hajafanya maamuzi ya kusema wewe unamfaa huchunguza mabaya yako .
Akiona unavituko anaweka alama 

Sasa naomba tuangalie vijitabia ambavyo binti unatakiwa uviepuke kabisa ili uwe wa kuvutia kisura na kitabia pia .Huku ukichanua kama 

JAMBO LA KWANZA 

Epuka kuwa mwongeaji saana .
Kuna mabinti akianza kuongea na mwanaume anaongea kama cherehani yaani hapumziki .
JAMBO LA PILI 

Epuka sana mazoea ya haraka .
Mara tu ukutanapo na huyo mwanaume usioneshe kumzoea sana na kuongea naye kana kwamba ni shemeji yako atakukimbia
♂
♂
♂
♂
Wiki moja unaanza Oooh nimekumiss ,Oooh unamiradi gani , unabiashara gani , mara ooooh umekula nini 

JAMBO LA TATU 

Epuka kuwazoea marafiki wa yule mwanaume .
Kuna mabinti mara tu wakutanapo na marafiki za mwanaume tayari kanaanza kiherehere cha kujichekesha ovyo .
Yaani siku ya kwanza tu kanaomba namba za simu na za what's app .

Hata marafiki zake watamwambia , 

JAMBO LA NNE

Epuka kuweka picha zako mtandaoni sana ukiwa na mapozi ya kihuni , mara umebinua midomo , mara umeonyesha maziwa 

Akikuona huko unajipost ovyo na likes 500 plus 200 comments tena wengi ni wanaume
JAMBO LA TANO 

Epuka saana uvaaji unaopingana na imani yako .
Suruali na Kaptura pamoja nguo za kukuchora na kuanika mwili wako na vingine vingi ambavyo vinadhalilisha mwili wa mwanamke .
JAMBO LA SITA
Jiepushe na marafiki wasio na ushuhuda mzuri 

Sipati picha hayo mabazazi yalivyojazana huko PM kwako yakipambana kupewa ruhusa ya kuivunja bikra yako!!!!Habari za Jumapili wanajamii.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32 kwa sasa. Napitia katika changamoto kubwa sana.
Hapo mwanzo kipindi ninasoma niliona si vyema kujiingiza katika mahusiano ya kufanya mapenzi kwani niliona yatanivuruga na ningejikuta napitia katika mahusiano mengi kitu ambacho sijawahi kukipanga maishani.
Nikamaliza chuo vizuri namshukuru Mungu.katika kutafuta ilikuwa ngumu kidogo nilitafuta mpaka nikakata tamaa nikaomba Mungu mpaka nikaona inatosha. Katikati ya kukata tamaa nikamuomba Mungu basi anipe kitu kimoja kwanza mme au kazi. Ila la kazi ndio nililoliwekea msisitizo kwani kwa kipindi hicho familia yangu ilikuwa inapitia changamoto nyingi kwa hiyo nikaona kazi itanisaidia kupunguza changamoto ama la basi niolewe ili nipunguze mzigo kwa familia yangu.
Siku isiyotarajiwa nikaitwa interview na nikapata kazi nzuri ambayo sikuwahi hata kufikiria wala kuiwaza. Nikashukuru Mungu na kuanza maisha mapya ya kazi na kusaidia familia yangu. Nikajikita kwenye kumuomba Mungu anijalie mme mwema atakayenifaa na kuongoza familia tutakayoipata katika misingi ya imani ta dini ya kikristo. Sikubagua kabila wala atakuwa mkirsto wa aina gani maadamu awe anaabudu jumapili maana mimi nilikuwa tiari kuhama katoliki ili tulee familia yetu tukiwa na muongozo wa dini moja.
Sikuwahi kudhani nitafikia huku maana mpaka sasa imekuwa ngumu kama ni Mungu hachelewi ama hawahi basi kwangu mimi kwa sasa imekuwa ni shida kubwa. Nimefunga novena nimesali sana mpaka naona nimeanza kuathirika na hili swala. Mwaka jana tarehe moja nikaona basi kama mme wangu hayupo nipate tu mwanamme nitakae zaa nae lakini awe mkirsto maana siko tiari kumtenga baba na mtoto wake hata kama hamhudumii, nikiamini kuwa uwezo wa kulea mwenyewe ninao hata kama watoto watakuwa zaidi ya mmoja niko tiari kupambana na maisha.
Nikaona kwa sababu nitakuwa pekeangu nikaanza kuwekeza ili watoto wangu wanikute nimejiandaa. Na penyewe Mungu akaona wakati wangu bado. Mwaka huu mwezi wa pili akatokea mme wa mtu kitu ambacho sijawahi hata fikiria kuwa kunasiku nitaangukia huko, Mwanzoni nilitaka tuzungumze mapema kabla hatujazoena sana matakwa yangu lakini akawa mtu wa kuona nampangia sheria mapema na kudai hizo mipango ninazotaka kupanga nae tukiwa hatujafika mbali ni mipango gani. Nikaona isiwe tabu.
Ikafika siku ya kukutana nikamwambia mimi sijawahi kabisa hakuamini na nikamwambia kama anajiamini aendelee ila ajue atakuwa na deni la kulipa, akatafakari akaona viatu ni vikubwa akaondoka.
Chenga zikaongezeka nikajiuliza ni nini shida, tukapanga tukutane ili tuone hatima ni nini kati yetu. Akaja na kudai yeye hayuko tiari kutoa bikira ya mtu asiye na mpango nae. nikamuelewa na nikaona yuko sahihi.Nikamuuliza wewe ulivyoanza ulitegemea mimi ni mti sina hisia za kufanya mapenzi akadai alijua anajihusisha na mapenzi ya kila mtu ana mtu wake hivyo wanakutana kulizishana tu. Akaniambia nahitaji nini hasa kwake nikamwambia kama ulishaona hisia zangu unadhani nahitaji nini? Niliona nisianze kutaja shida niliyonayo kwanza nimsikilize yeye ndio na mimi niseme ya kwangu. Yeye akadai aliona ni mahusiano ya kula na kuondoka. Akaniambia kama niko tiari ataweka sheria za kutuongoza za maandishi ili baadae tusijekupeana shida. Nikamwambia sheria zako utazoniwekea nitazifuata vilivyo japo najijua ninawivu lakini wewe ni mme wa mtu tiari nitavumilia.
Akaja na sheria na mipango mingi sana asee.sheria nyingi nilivyotafakari nikaona nyingi zinamlenga mtoto ambaye mimi ndio ninayemhitaji zaidi. na yeye akaona labda ni mmoja tu wakati mimi nishajipangia wakunitosha kabisa. Kwa maelezo yake nikaona hayuko tiari kuwa na mtoto nje ya familia na nikitokea kumpata basi nitoe mimba ama atamchukua. Nilichoka viungo vyote. Akaniuliza unalolote nikamwambia nizungumze nini wakati sheria zimekuwa ngumu.
Haki ya Mungu yaani natamani siku zirudi nyuma nizunguke na wanaume kama wafanyavyo wengine. Hukukujitunza kwangu kunanifanya nilie kila siku na kuomba Mungu usiku kucha kisa nilimtunzia mtu bikira. Jamii inayonizunguka itanitia wazimu maana swali la unaolewa lini limenichosha kabisa. Basi kama siolewi hata mtoto tu ni shida kumpata.
Kwasasa ninashida na mtoto kuliko maelezo na niendako nadhani nitawehuka. Msaada wenu tafadhalini sana.
NB. Hapo mwanzo nilifunga novena kwa muda wa mwaka mmoja na kuomba na kukabidhi mwili wangu uwe kwa ajili ya mtu mmoja tu ambaye ndio atakayekuwa mme au baba wa watoto wangu. Ndio maana inaniwia vigumu kuingia mahusiano mbalimbali.
Ungekuwa wewe ungeweza kuvumilia nyege miaka 30?Usipanic life begins at 40 ukiacha desperation wako atakuja ila sasa hivi ikikurupuka utaumia atajitokea mhuni akulize. God's time is the best loh , hafu zawadi ya maisha ni muhimu kuliko huyo mume unayemlilia ukiona case za wanawake kuhangaika kuwatuliza waume kuanzia kanisani had kwa waganga ungetulia tu upate sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri yajipeleke kizembe bila tahadhar kama hayajabakwa na kutolewa hiyo nanii wanayoifata kuitoa.Sipati picha hayo mabazazi yalivyojazana huko PM kwako yakipambana kupewa ruhusa ya kuivunja bikra yako!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini nivumilie lazima Nile ujana, hafu ka hujawahi Fanya unaona kawaida tu, kosa ukianza ndo shida
Sasa huyu mwenzako kaibanabana inataka kumuozea sasaKwanini nivumilie lazima Nile ujana, hafu ka hujawahi Fanya unaona kawaida tu, kosa ukianza ndo shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari Sana!! Ila huyu mtoa Mada ni mwanamke bana hawezi kuwabakaSubiri yajipeleke kizembe bila tahadhar kama hayajabakwa na kutolewa hiyo nanii wanayoifata kuitoa.
Watu wakija hivi chukua tahadhar kabla hujajipeleka PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hafu walioshindikana hupata chapchap huyu inaonyesha ana complicate maisha, sasa ukiwa bikra hafu kuna vitabia flani visivopendeza lazima ile kwako loh
Aisee hata kama angeweka picha na vyeti vya kuzaliwa nenda kwa tahadhar.Hatari Sana!! Ila huyu mtoa Mada ni mwanamke bana hawezi kuwabaka
Sent using Jamii Forums mobile app
nina ugwadu sijabandua demu siku nyingi.Habari za Jumapili wanajamii.