Napitia katika changamoto kubwa

Napitia katika changamoto kubwa

Ukiwa bikra kabla hujawaza kupata mume au mtoto ni vyema zaidi kuyawaza mapenzi yenyewe, na uyaishi hayo mapenzi angalau yakuzoee halafu ndiyo mengine yatafuata.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Trust me, The essence of a good life is HAPPINESS.

Married woman and unmarried one both are looking for Happiness.
Rich and poor they are looking for happiness.

We fall in love to be happy
We search for money so as to be happy.

And this happiness should come from our within,, it may not come easily, it may be so hard, but TRUST ME, it will always be there .

Nmesoma komenti nyingi zinakushauri Sijui acha mapozi sijui wanaume hawapendi kusumbuliwa...NIAMIN JANE, IZO NI KAULI ZA WANAUME WAJANJA WANAOKUTAMAN KIMWILI SABABU WAMESHAONA MTELEMKO, IZO NIKAULI AMBAZO LENGO LAO HUWA NI KUMFANYA MTU UJIONE UNAMAKOSA NAKWAMB WEWE NDIO CHANZO CHA KUTOOLEWA ,NDO CHANZO CHA KUTOPATA MWANAMME.

NIAMIN, IZO NIKAULI ZA WANAUME DHAIFU. WASOJIAMIN. WAJANJA WAJANJA KTK MAISHA .

DONT EVER CHANGE YOUR ORIGINALITY FOR THE SAKE OF OTHERS , USITHUBUTU KUBADILIKA NA KUA CHEAP LADY ..USITHUBUTU KUITAFUTA NDOA KWA LAZIMA NA NGUVU, USITHUBUTU KUMTAFUTA MTOTO KWA LAZIMA NA NGUVU.

KAMWE USITHUBUTU KULAZIMISHA YOU TO FIT IN WAKATI ULIZALIWA KUA NJE YAKE, ILI KATIKA HIYO NJE UPATE KITI UNACHOKISTAHILI. KINACHOKUFAA KWA WAKATI SAHIHI NA NJIA SAHIHI.

NINAAMIN UMWANAMKE MZURI, MWENYE UMBO ZURI LAKUPENDEZA NA KUVUTIA.,UMWANAMKE MCHA MUNGU. NA MWENYE KAZI SIKIA WANAUME WANAOKUKIMBIA NIWALE WAZEE WANAOPENDA KULA MIZIGO TU. WANAOPENDA WEPESI, WANAOPENDA VINYONGE. WANAOPENDA KUTUMIA SASA WAKIKUTANA NAWEWE WANAKUKUTA NIMWANAMKR JASIRI. UNAYEJIELEWA ,USOYUMBISHWA ,WANAISHIAA KUKIMBIA WENYEWE.

NAWANAPOKUKIMBIA KAMWE USIHISI WEE NDO MWENYE KASOROUKWELI NIKWAMBA WANAOGOPA MAPIGO YAKO. WANAOGOPA KUKUCHEZEA.

niamin mimi..MUNGU HUWA HAMTUPI MJA WAKE..KAMA ALIKUPA KAZI NZURI. ATASHINDWA KUKUPA MUME BORA NA WATOTO WAZURI?????

kwann utake kumfukuru Mungu wako kisa unaona umechelewa?????.

Hujachelewa, upo ktk time zone yako, usilazimishe ufanane nawenzako kisa wanawatoto na wameolewa, LAZIMA UJIFUNZE KUA SUBIRA ILI UPATE KINACHOKUFAA WEWE...hao waloolewa hujui tu wanavyonyanyaswa kto ndoa ,wenginr wameletewa mpaka namagonjwa ndani....HII YOTE NISABABU WALITAMAN NDOA KWANNGUV NAHAWAKUJIPA MUDA WA KUCHAGUA VINAVYOWASTAHILI MWISHO WAKAOLEWA NAWATU AMBAO HAWAKUZALIWA KUA WAO.

NIAMIN, UKILAZIMISHA SANAAAAAA UTAISHIA KUPATA MAGONJWA TU HUSUSAN UKIMWI ......

KUA MAKINI.,, ILI BANGO ULOLIWEKA MIFISI HUMU NDANI ,INAKUFATA KWA KASI, HUENDA NDO LILIKUA DHUMUN LAKO...... ILA NAKUHAKIKISHIA KUA MAKIN SANA, TUMIA AKILI SANA, VINGENEVO NAWW UTAKUA N MMOJA YA WANAWAKE WALOLETA MIREJESHO HUMU JF WAKILIA LIA OVYO !!!.


NAKUAMBIA, HUJACHELEWA. MUME MWEMA YUPO NJIANI. BAKIA KUA IVOIVO. USITOE BIKRA YAKO KWA MTU ANAYEPITA KISA MTOTO,,, UTAJIKUTA UNAPOTEZA KIOA KITU.


HUJACHELEWA BADO UNA MUDA NAHUO MUDA NI WAKWAKO KUKAA NA KUCHAGUA MWANAUME GANI AWEJE AWE NASIFA IPI NDIO AKUOE... usitafute ndoaa kwa lazima au mtoto UKAISHIA kuja kuachika ndoani huku tayar status ya Afya yako imebadilika......NAHISI NDIO UTAJUTA KUPITA NYAKAT ZOTEEEE TOKA UMEZALIWA.
 
Sema nn....miaka 32 na Bikra unayo....

HONGERA SANAA ,UMEKUJA KUWAPROVE WRONG MADEMU WA HUMU WANAOSEMAGA

"""""""Unatafuta bikra ,Zaa wakwako""""""

Kisa wao walifumuliwa wakiwa namiaka 15 nampaka sasa unakuta katembea na wanaume wengiiiiiiiiiiii kuliko hata Umri wake.
 
Pole.
Ila nikwambie kitu hakuna kitu kizuri kama subir(subra).
Vuta subra mpendwa God's timing is the best mwache Mungu atende kwa muda wake.

Sasa hivi point uliyofikia si nzuri kiwa makini maana waweza pata mwanaume akakuumiza maana waonekana unashida sana.

Endelea kumtegemea Mungu,kuwa na moyo wenye kusubiri.
Chukua hii point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia historia ya kwenu kama kuna ndoa?
Angalia jina ulilo nalo la kurithi ama? Kama ndio huyo mtu alio olewa?

Kama ndio, pita ktk toba na rehema ili kujitoa huko ili uwe huru, hudhuria maombi, usiishie maombi ya Novena tu

Kuna mahali inabidi uombe zaidi ya novena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi naona kama umri unaenda sana hivyo nahofia kukosa mtoto kabisa. Tatizo kubwa nililonalo ninapenda sana watoto na kwa sasa namhitaji kuliko ninavyoweza zungumza.
wanaume wenye utu na upendo wa dhati tupo kibao" ajabu mnahangaika" Mbona sis hatuna bahati ya kukutana na nyie wenzetu mnaishi sayari ipi ""?

nimeshalipia TANGAZO
 
Kibongo bongo ukishaolewa hata hivyo mara moja hlf ukachika inaafadhali maana zile kelele za walimwengu zinapungua. Hapo ni km ametoa nuksi.
Daaah! Ukiishi kwa kuridhisha watu utatoboa kweli!!!
 
1.Inategemea na umri maana anaweza kuwa mdogo sana na yenyewe hiyo ni ishu nyingine.
2.niko mwanza
3.mpendwa wangu niombe nini kingine.
daaahh Mungu anipe nini mimi" nashukuru leo amejibu maombi Yangu"" mimi mwenye nilikuwa natafuta mwanamke wa kuishi na kujenga nae family"ugumu ulikuwa ni kwenye kumpata mwenye hofu ya Mungu""... Mpendwa naomba tuwasiliane naimani imeandikwa uje kuwa mke wangu...
 
Unajua watoto wa kike wengi hawalijui hili:
Kadri mtoto wa kike anavyokuwa au/na anavyoongeza kiwango cha elimu ndivyo anavyopunguza idadi ya wanaume wa kuwa nao.
Mwanaume wa umri wako anaweza kuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 18 lakin wewe huwezi olewa na kijana wa umri huo.
Tafatuta wale waliokutongoza kipindi cha nyuma unaweza bahatika kuzaa na mmojawapo.
 
Back
Top Bottom