laki 1😉Haujapata kazi tu mpaka leo kwani? Kuna yule mwenzio ameshapata kazi ungemwambia akuunge na yule boss anasema kwa siku analipwa laki 1 amekuja humu anachekelea sana tafuta ule uzi wake ujiunge nae ili na wewe akuunge na huyo boss akupe kazi hata yeye alikua km wewe sasa hivi yupo kazini amesaidika
Nani huyo mkuuHaujapata kazi tu mpaka leo kwani? Kuna yule mwenzio ameshapata kazi ungemwambia akuunge na yule boss anasema kwa siku analipwa laki 1 amekuja humu anachekelea sana tafuta ule uzi wake ujiunge nae ili na wewe akuunge na huyo boss akupe kazi hata yeye alikua km wewe sasa hivi yupo kazini amesaidika
Simu siyo ya kwangu mkuuView attachment 3701319
We jamaa noma sana ..kama ishu ni serious hivyo kwanini usiuze hiyo simu ujipange upya?