Tofauti ya majina katika vyeti

Tofauti ya majina katika vyeti

Grwezaula

New Member
Joined
Sep 9, 2022
Posts
2
Reaction score
0
Habari za muda huu wanajamii,
Ninaomba ushauri katika jambo hili.

Nahitaji kufanya maombi ya chuo ngazi ya diploma, ila nina changamoto ya majina katika vyeti vyangu.

1. Cheti cha elimu ya sekondari kinasoma jina George G Rwezaula.

2. Cheti cha certificate kinasoma majina mawili George Gaspar

Naomba ushauri nini chakufanya ili niwezekukubaliwa kusoma diploma?
 
Ilikuwaje ukajisajili na majina mawili kutoka olevel kwenye certificate?
 
kachukue Deedpoll wizara ya ardhi weka jina unalotaaka kutumia kisha utakuwa unatembea nayo kama cheti kuonyesha hayo yote yalikua majina yako

Back
Top Bottom