Kama unasema ukweli jaribu kuangalia safari ya Wana Israel? Hivi unafikri kwa umbali wa kutoka misri hadi kanani wangeweza kutumia muda wa miaka 40.
Kama ulimuomba Mungu akupe kazi na alikupa kwa nini saizi unamuona Mungu hawezi kukupa Mme.
Unamkatia tamaa Mungu ambaye ndo aliyeshika uhai wako.
Soma mapito aliyopitia Ayubu je unafikiri angekata tamaa mwisho wake ungekuaje?
Unafikri kuolewa ni suluhisho la Furaha ya mwanadamu? Je , hujaona watu wako kwenye ndoa lakini hawana watoto?
Yesu anasema mfurahini mnapopita katika majaribu maana baada ya hayo mtavikwa Taji.
Wana Israel walipokua wanamwacha Mungu na kugeukia miungu mengine walikua wanapigwa na maadui zao vibaya. Rudi usifanye kupata mke na mtoto ndo awe Mungu wako.
Tafakari ni mangapi Mungu amefanya kwako then rudi kwa Mungu.
Sent using
Jamii Forums mobile app