Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

Huo ukaguzi uanzie awamu ya 3 ya mzee wa lupaso, had hii ya 6 ya bibi wa unguja, ili tujue ukweli wote hapa.

Sio awamu 1 tyuuh itakua madangi sasa, khaaaah
 
Back
Top Bottom