Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Hebu tupeni picha za vipaza sauti vilivyogharimu milioni 222.
Mkuu wangu hizi habari zote ambazo hazina ushahidi wa kimaandishi kuonyesha manunuzi hayo siwezi kuupa nguvu ya hoja. Ila yale ambayo nayaona na yapo wazi kwa kila mtu kuyaona kwani unapozungumzia vipaza sauti pasipo idadi yake, quality na kadhalika suwezi kushabikia. zaidi ya hapo kama hivi vipaza sauti vipo vingi kwa ajili ya mikoa na majimbo yote Tanzania, hizo millioni 222 zilizotumika ni kidogo sana..

kwa hiyo wewe nambie ni vipaaza sauti vingapi vilinunuliwa na vya aina gani hapo mimi na wewe tunaweza kuwa na hoja ya msingi laa sivyo si sawa na kujadili matumizi ya CCM ktk ununuzi wa magwanda ya Kijani ukiambiwa walitumia billioni 2 - Quantity na quality matters..

Ila nmachojua na kipo wazi ni kwamba CCM imejitenga ktk makundi mawili.. CCM bara na CCM visiwani na kwa uhakika CCM bara wanahakikisha wao ndio watawala wa chama hicho, moja kwa moja kutawala serikali ya Muungano..
 
Mkuu wangu hizi habari zote ambazo hazina ushahidi wa kimaandishi kuonyesha manunuzi hayo siwezi kuupa nguvu ya hoja. Ila yale ambayo nayaona na yapo wazi kwa kila mtu kuyaona kwani unapozungumzia vipaza sauti pasipo idadi yake, quality na kadhalika suwezi kushabikia. zaidi ya hapo kama hivi vipaza sauti vipo vingi kwa ajili ya mikoa na majimbo yote Tanzania, hizo millioni 222 zilizotumika ni kidogo sana..

kwa hiyo wewe nambie ni vipaaza sauti vingapi vilinunuliwa na vya aina gani hapo mimi na wewe tunaweza kuwa na hoja ya msingi laa sivyo si sawa na kujadili matumizi ya CCM ktk ununuzi wa magwanda ya Kijani ukiambiwa walitumia billioni 2 - Quantity na quality matters..

Ila nmachojua na kipo wazi ni kwamba CCM imejitenga ktk makundi mawili.. CCM bara na CCM visiwani na kwa uhakika CCM bara wanahakikisha wao ndio watawala wa chama hicho, moja kwa moja kutawala serikali ya Muungano..

Mkuu,
Komu yule jamaa wa fedha ndo katoa matamushi hayo , labda hukupata nafasi wa kuisoma ,lakini habari ndo hiyo.Vipaza sauti milioni 222. ni vipaza sauti vilivyo katika fuso tatu tu mkuu. Kumbe nakuonea bure ktk hilo huna info za kutosha
 
Tuwapuuze hawa ccm na DIVISIVE PROPAGANDA Zao, kwani wachaga sio watanzania? wachaga hwastahili kushiriki kwenye siasa za nchi hii? kwanini chadema kama ni chama cha wachaga hawakushinda majimbo mengi au yote kilimanjaro? na wasukuma wa shinyanga ndo wamekipa chadema wabunge wengi? hivi huyu Nape ndo mtu makini ccm wanaejidai? mtu ambae yupo tayali kuwagawa watanzania kwa makabila, eti yeye sio mchaga! this is an offensive statement na hata wachaga wengi ambao ni wana ccm need to call him out immediately!

Sekretariati ya CHADEMA​

Sekretariati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
slaa_sk.jpg

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zito_sk.jpg


hamad_sk.jpg

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz

Mkurugenzi Fedha na Utawala
Anthony Bahati Calisti Komu (47)
Kutoka Moshi vijijini, Kilimanjaro
komu_sk.jpg



sk_mrema.jpg

Mkurugenzi Bunge na Halmashauri
John Mrema (33)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
mrema@chadema.or.tz

Mkurugenzi Habari na Uenezi
Erasto Kichamo Tumbo (46)
Kutoka Kisesa, Shinyanga
tumbo_sk.jpg



msafi_sk.jpg

Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)
Msafiri Abdulrahaman Mtemelwa (47)
Kutoka Rufiji, Pwani
mtemelwa@chadema.or.tz

Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
john_sk.jpg



ben_sk.jpg

Mkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzo
Singo Kigaila Masalamakali Benson (44)
Kutoka Kibakwe, Dodoma
kigaila@chadema.or.tz

Mkurugenzi Sheria
Tundu Lissu (42)
Kutoka Ikungi, Singida
lissu_sk.jpg



sk_jumbe.jpg

Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (64)
Kutoka Mtwara
mary@chadema.or.tz

Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (49)
Kutoka Kilombero, Morogoro
suzi_sk.jpg


ali_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Ali Omar Chitanda (41)
Kutoka Nachingwea, Lindi
chitanda@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (25)
Kutoka Ifakara, Morogoro,regia@chadema.or.tz
regia_sk.jpg


mhon2_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (32)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (33)
Kutoka Same, Kilimanjaro
mdee_sk.jpg


sk_dadi.jpg

Afisa Oganizesheni na Mafunzo
Dady Igogo (26)
Kutoka Rorya, Mara
dady@chadema.or.tz

Afisa Ulinzi na Usalama
Hemed Sabula (43)
Kutoka Mwanza
sabula_sk.jpg


blank.gif

Afisa Utawala
Zacharia L. Jorojig (61)
Kutoka Mbulu, Manyara
watu walikua hawamjui vizuri nape nafikiri hapo alipowekwa pata dhihirisha upumbavu wake, Nape endelea kuanika ujinga wako walikua hawakujui fanya kama ulivyokua ukifanya pale nsumba
 
Mkuu,
Komu yule jamaa wa fedha ndo katoa matamushi hayo , labda hukupata nafasi wa kuisoma ,lakini habari ndo hiyo.Vipaza sauti milioni 222. ni vipaza sauti vilivyo katika fuso tatu tu mkuu. Kumbe nakuonea bure ktk hilo huna info za kutosha
Mkuu hujanionea na wala huwezi kunionea, isipokuwa wewe ndio umeparamia gari moshi kwa mbele..

Mjadala huu hauhusiani kabisa na hoja uliyoiweka licha ya kwamba sijasoma bandiko la huyo Komu. Hata hivyo itakuwa vizuri sana kama wewe uliyeelewa unambie ni vipaza sauti vingapi vilivyopatikana kwa bei hiyo..Hakuna sababu ya kuzunguka mada hadi mada wakati wewe unajua
alichozungumza Komu..
 
Mkuu hujanione aisipokuwa wewe ndio umeparamia gari moshi kwa mbele..
Mjadala huu hauhusiani kabisa na hoja uliyoiweka licha ya kwamba sijasoma bandiko la huyo Komu nadhani itakuwa vizuri sana kama wewe uliyeelewa unambie ni vipaza sauti vingapi vilivyopatikana kwa bei hiyo..Hakuna sababu ya kuzunguka mada hadi mada wakati wewe unajua
alichozungumza Komu..

Ukiona ndefu sana unaweza kimbilia ktk rangi hapo chini


CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Katibu Mkuu wake, Dk. Willibrod Slaa, hajawahi kuomba wala kushinikiza alipwe mshahara mnono.

Badala yake, chama hicho ndicho kilimshinikiza na kumwomba kimlipe vizuri, chini kidogo ya maslahi ya Mbunge, kwa kuthamini mchango wake katika uchaguzi mkuu uliopita, hasa ikizingatiwa kuwa kama angegombea ubunge angeshinda, lakini alikubali ombi la chama la kugombea urais, ambao alishinda akachakachuliwa.

Chama hicho kimesema kitaendelea kuenzi mchango wa Dk Slaa kwa kumwezesha ipasavyo ili asitetereke katika kukiongoza CHADEMA kwenye harakati na mapambano ya kukiondoa CCM madarakani miaka minne ijayo.

Malezo hayo yalitolewa jana na Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa CHADEMA, Anthony Komu, alipozungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.

Komu alikuwa ameita vyombo vya habari kuzungumzia alichokiita porojo za Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, na Katibu Mkuu wake, Wilson Mukama, ambao wameamua "kujilipua" kwa kuwatetea mafisadi wakubwa ndani ya chama kw akigezo cha kujivua gamba.

Alisema kinachowauma CCM ni kwamba wanatambua kwamba Dk. Slaa na mwenyekiti wake Freeman Mbowe wakiendelea kusitawi, ndiyo mwisho wa utawala wa CCM.

Komu alisema kauli za viongozi wa CCM wanaotapatapa haziwezi kukinusuru chama hicho tawala, na haziwezi kukizuia CHADEMA kufanya kazi yake ya kuwatumikia wananchi kwa kuwaamsha dhidi ya watawala wabovu.

Alisema kauli za Nape ni propaganda zisizo ma mashiko, ambazo Watanzania watazipuuza, kwa sababu wanajua kazi nzuri iliyofanywa na Dk Slaa na wenzake wakiwa Bungeni, wakati wa uchaguzi na sasa katika operesheni inayoendelea kuamsha wananchi juu ya haki zao na wajibu wa serikali.

Alisema kauli za Nape hazitapunguza kasi ya CHADEMA kupambana na mafisadi, kwani haziwezi kupunguza ugumu wa maisha ya Watanzania, wala hazitaweza kudhibiti mipango mkakati ya chama hicho.

Kwa nyakati tofauti, Mukama na Nape wamekaririwa wakiwashutumua viongozi wakuu wa CHADEMA, Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dk. Willibrod Slaa, kwa maelezo kuwa wameshnikiza mshahara mkubwa wa Sh milioni 7.5 kwa Dk Slaa, na uuzaji wa magari matatu ya Mbowe kwa pesa nyingi mno.

Komu jana alisema kwanza Mukama na Nape wanapotosha umma kuhusu ukweli wanaoujadili, na akasema hata hiyo sehemu ya ukweli wanaougeuza tuhuma imeshapitwa na wakati, kwa kuwa CHADEMA hakifanyi mambo kwa kificho, na kilishafafanua hoja hizo.

Alisema Dk. Slaa hajawahi kushinikizwa alipwe Sh.7.5 milioni. "Kwanza, hatumlipi kiasi hicho, lakini pia Dk. Slaa hajawahi kuomba, kushinikiza wala kuchagiza kulipwa kiasi hicho cha fedha kama ambavyo viongozi wa CCM wanavyotaka kuaminisha umma," alisema Komu.

Badala yake, alisema, chama ndicho kilipanga jinsi ya kumwezesha Dk Slaa kwa kuwa ndicho kilichomwomba agombee urais, huku kikujua kuwa angegombea ubunge na kushinda kirahisi.

Lengo la chama kufanya vile ni kumwezesha Dk Slaa kutenda vema kazi zake za katibu mkuu kama alivyokuwa akitenda kazi za ubunge; hivyo kwa pamoja wakakubaliana awezeshwe kulingana na masharti ya utumishi katika nafasi ya ubunge.

Huku akikosoa takwimu za Nape, Komu alisema Dk. Slaa analipwa Sh 7,174,000 kama kwa mwezi, na si Sh. 7,500,000.

Alisema vilivyochukuliwa vipengele vichache sana katika marupurupu ya mbunge, hivyo si sahihi kusema kuwa Dk. Slaa alipwa sawa na mbunge.

Mkurugenzi huo yalisema vipengele hivyo ni mshahara wake Sh. 1,725,000, wakati mbunge analipwa Sh. 2,305,000 kabla ya kukatwa kodi.

Komu alisema kiongozi huyo analipwa mafuta ya kwenda ofisini na kurudi nyumbani kwake lita 30 kwa siku, sawa na lita 900 kwa mwezi; kwa bei ya kila lita moja Sh. 2000.

Wakati mbunge analipwa lita 1,000 kwa mwezi kwa bei ya kila lita moja Sh. 2,500, bei ambayo haipo, lakini Bunge limeridhia kulipa.

Alisema sekretarieti ya Kamati Kuu ilipeleka pendekezo hilo katika vikao vya Kamati Kuu na Baraza Kuu kupitishwa kwa njia ya uwazi na likaingizwa katika mpango kazi wa chama.

"Wakati wote wa kujadili pendekezo hilo, Dk. Slaa aliachia nafasi yake na kikao kiliendeshwa na katibu wa Wanawake, Dk. Naomi Kaihula, ambaye ni mbunge wa Viti Maalum kutoka Mbeya," ilisema.

Alisema mbunge akikaa katika kikao cha Kamati ya Bunge au akihudhuria mkutano wa Bunge analipwa Sh. 70,000 kama posho ya kikao, Sh. 30,000 posho ya mafuta na Sh. 80,000 posho ya kujikumu akiwa Dodoma.

Na akiwa Dar es Salaam, mbunge analipwa Sh. 50,000 kama posho ya mafuta, Sh. 70,000 posho ya kikao na Sh. 80,000 kama posho ya kujikimu huku fedha hizo zikilipwa bila kujali kama mbunge huyu amekuja na gari lake Dar es Salaam na amekwenda nalo Dodoma.

Akahoji: "Mbona hakuna mtu alishawahi kuuliza wakati hizo zote ni fedha za umma?"

Alihitimisha kwamba Dk. Slaa anastahili kulipwa kiasi hicho kwa kuwa aliombwa na chama kugombea urais, naye kukubali, zaidi kukubaliwa na umma pamoja na wanachama kutokana na ukweli wake katika kazi ya siasa.

"Baada ya kukubaliwa na umma, alionyesha umakini, umahiri na uwezo wa hali ya juu katika kujenga hoja zenye tija kwa taifa, na kwamba Dk. Slaa alithibitisha na bado anaendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi bora na shupavu anayestahili kulipwa mshahara mzuri," alisema Komu.

Alisema matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo Dk. Slaa alikuwa mgombea wao wa urais yanathibitisha kuwa hata bila kuzingatia uchakachuaji wa kura, ameanzisha ukurasa mpya wa mwisho wa mwanzo wa zama za mwisho wa CCM.

Akifafanua kuhusu tuhuma za Mbowe kuhusu kuuzia chama magari chakavu, alisema CHADEMA ndiyo iliomba kuuziwa hicho wanachoita "magari chakavu."
Alisema hayo si magari ya kawaida na hayawezi kufananishwa kwa kiwango chochote na magari ya FUSO yanayotembea mitaani, na kwamba hiyo ni mitambo maalumu ya uenezi wa siasa.

Alisema katika magari hayo kuna vipaza sauti vyenye thamani ya dola za Marekani 148,000 sawa na Sh. milioni 222, jenereta tatu zilizonunuliwa kwa Sh. milioni 47 kwa kila gari kwamba yana bodi maalumu yenye uwezo wa kubeba watu wasiopungua 12.

Pia alisema magari hayo kila moja lina uwezo wa kubeba mapipa ya mafuta ya helikopta, jukwaa la kuhutubia na vifaa vya matangazo ambavyo vyote vimejengwa kwa Sh. milioni 48.4
.

Alisema Mbowe aliombwa, na kamati kuu iliunda kamati ya watu wanne chini ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Mohammed Issa kumwomba akiachie chama mitambo hiyo baada ya majadiliano marefu.

Wajumbe wengine wa Kamati hiyo, waliobariki kuwa ni Mabere Marando, Mkurugenzi wa Rasilimali, Suzan Lyimo (MB) na Anthony Komu, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala.

Aidha Komu alisema dai la CHADEMA kwamba inanunua magari chakavu si jipya kwao, kwani inao uwezo mdogo wa kifedha na kwamba imezoea kununua magari chakavu siku zote Japani na Uarabuni.

"Kwanza magari yanayozungumziwa chakavu yamenunuliwa nje na kuanzia kazi CHADEMA mpaka leo, na hayajawahi kutumiwa na Mbowe," alisema
Alisema kama CHADEMA imeweza kuweka wazi hoja walizozielekeza kwao, ni vema na wao wakawaeleza Watanzania fedha walizozitumia katika uchaguzi mkuu na mshahara wa Katibu Mkuu wao Mukama, badala ya kukwepa hoja za msingi.

"Tunasisitiza kuwa CHADEMA imeweka wazi malipo ya viongozi wake, gharama za uchaguzi na vyanzo vyake vya mapato na jinsi inavyotumia mapato yake...tunaitaka CCM nayo iweke wazi malipo ya viongozi wake wakuu, gharama za uchaguzi na vyanzo vya mapato yake," alisema.

Alisisitiza kwamba CCM ni chama cha kifisadi kwa kuwa viongozi wake ni mafisadi, wanafiki na wasio wa kweli kwa kuwa walikiri wenyewe katika hicho wanachoita kujivua gamba kuwa katika siku 90 wanachana na mafisadi.

Alisema CHADEMA wanataka kuona hilo likifanyika bila visingizio na kuelekeza mashambulizi kwa Nape hana hadhi ya kuinyoshe akidole chama kwa kuwa si mtu makini mwenye agenda kwa watanzania.

Na kwamba Nape anatakiwa kuonwa na watanzania ama kuitwa vuvuzela anayecheza ngoma asiyoijua na kwamba ni mnafiki, mzushi na mtu asiye na msimamo.

Komu alisema CHADEMA inao ushahidi wa kutosha kuwa ni mmoja wa watu walionufaika na fedha za wizi wa EPA kupitia kwa kwa Jeetu Patel ambaye ameeleza vizuri jambo hili katika maelezo yake mbele ya kamati ya rais kwamba alitumia fedha hizo katika kampeni zake.

Komu alisema hivi sasa Nape analipwa mshahara wa ukuu wa wilaya na huku akilipwa na CCM na kutumia fedha za serikali kufanya kazi za CCM.

Alienda mbali zaidi na kusema kwamba baada ya kushindwa kupata nafasi ya kugombea Ubunge kupitia CCM aliomba agombee kupitia CHADEMA akakataliwa kwa kuwa hakuwa na sifa za kumzidi John Mnyika.

Mbali na hilo alisema pia ni mmoja wa waasisi wa chama cha CCJ na kuhoji iweje leo awe na ubavu wa kuionyeshea kidole CHADEMA?

Aidha alisema yeye (Nape) ndiye aliyetumwa CCM kuiwakilisha katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA 2010 na kukisifia chama hicho: "CHADEMA inaenda vizuri kama taasisi na kwa hoja."

Katika hatua nyingine madiwani wa CHADEMA katika manispaa ya Kinondoni wanatarajia kuuelezea umma sababu ya kuibuka kwa vurugu katika baraza la bajeti la 2011/ 2012 lililoketi hivi karibuni.

Licha ya kuuelezea umma pia wanajipanga kutoa tamko juu ya kukiukwa kwa sheria na kanuni na baraza hilo kuamua kupitisha bajeti isiyokuwa na tija kwa wananchi.

Wakizungumza jana na Tanzania Daima kwa nyakati tofauti madiwani hao walisema kuwa umma unapaswa kufahamu yale yaliyojitokeza ndani ya baraza hilo ambapo bila kuweka jitihada za pamoja kuna uwezekano kata zinazoshikiliwa na wapinzani kushindwa kupata maendeleo.

Diwani wa Saranga Ephraim Kinyafu alisema kuwa bajeti hiyo imejaa uozo huku wakiacha kuweka kipaumbele katika masuala ya maendeleo.

Alisema ili kuondoa dhana ya madiwani wa chadema ni wakorofi suala hilo linatarajiwa kufikisha kwa wananchi na kuwafafanulia suala la milioni 95 kutumika kwa ajili ya ulinzi wa mkurugenzi wa manispaa hiyo.

"Hata kama wameipitisha bajeti hiyo…tunaamini wananchi watakuwa waamuzi wetu tutawafahamisha sababu za sisi kuipinga bajeti maana haiwezekani mavazi ya madiwani yatengewe sh milioni 100 hizo fedha ni nyingi zipoelekwe katika miradi ya maendeleo," alisema.

Alieleza kuwa iwapo manispaa hiyo ingeweza kuongozwa na chama hicho basi wanahakiki wangepiga hatua kubwa katika maendeleo kuliko ilivyo hivi sasa masuala ya anasa yanapewa kipaumbele.

Alifafanua kuwa imeshangaza kuona kuwa kata kubwa kama ya ubungo kushindwa kupewa miradi jambo ambalo linaashiria kuwa viongozi wa eneo hilo waonekane kwa wananchi kuwa hawawezi kuwajibika.

Diwani wa Viti Maalum Kata ya Kawe, Esther Samanya alisema kuwa si kwamba madiwani walipanga kufanya vurugu bali walikuwa wakipigania maendeleo kwani haifurahishi kuona thamani za ofisi zikitengewa fedha huku miradi ya maendeleo ikipewa kisogo.

Alisema pamoja na kujitokeza kwa masuala hayo bado madiwani wa chama hicho wamepanga kutoa tamko na kupinga bajeti hiyo ambayo haina tija kwa wananchi.

"Hivi kweli viongozi makini wanaweza kuacha kuwapigania wananchi na wakasimama kwa ajili ya kutetea watumishi wa idara ambapo wanalipiwa maji na umeme wakati jukumu hilo si la manispaa,"alihoji.

Bajeti ya mwaka wa fedha 2011/ 2012 ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ilielezwa kuwa ya kifisadi, hali iliyosababisha kutokea kwa vurugu baada ya madiwani wa CHADEMA kuamua kuipinga.

Kikao hicho kilitanguliwa na vikao vya siku tano vya kamati za kudumu za madiwani wa Manispaa ya Kinondoni lakini katika hatua ya upitishaji wa bajeti hiyo, mabishano makali yaliibuka baada ya madiwani wa CHADEMA kuipinga bajeti hiyo wakieleza kuwa vipaumbele havijazingatiwa kwenye baadhi ya kata, huku wale wa CCM ambao ni wengi wakiiunga mkono.

Madiwani hao wa CHADEMA pia walihoji kiasi cha zaidi ya sh milioni 44 kuwekwa katika bajeti ya manispaa kwa ajili ya kuandaa ilani ya uchaguzi wa CCM unaotarajiwa kufanyika mwakani, hali ambayo ilisababisha mvutano mkali kwa madiwani wa CHADEMA na CCM.

Mvutano huo wa madiwani baina ya pande mbili ulisababisha baadhi ya madiwani kuchana hansard za bajeti wakidai kuwa bajeti ni ya kihuni na isiyokuwa na masilahi kwa ajili ya wananchi kuweza kupata maendeleo.
 
Hivi unasoma posting za wenzio kabla ya kujibu?Aliyeiharibu Kilimanjaro ni sera za chama tawala soma vizuri.Jitihada ni kuiondoa ccm madarakani na kuweka misingi mipya ya kimaendeleo kwa Taifa.Kabla hujafafanua ulichosema kuhusu kubalance,unaruka ruka tu na hoja za kipanzi panzi,sina muda.

Teh teh teh
Kubalance ni kwamba kulingana na mazingira ya kikoloni, walijenga maendeleo sehemu hizo na pia ina maana walikuwa tayari wanauwezo wa kifedha ambao kwa ushindani huo watu kutoka sehemu nyingine wasingeshindana ktk uwanja ulio sawa. Ni sawa na leo kwamba watoto wa masikini kutoweza kushindana na mafisadi.

tukubaliane tu kwamba upendeleo wa wammision kule mbeya , kilimanjaro, na bukoba ndo kuliwainua, nawala tusitake kudanganyana hapa. Hizo shule nyingi za mission ni wanakilimanjaro ndo walijenga ama wazungu?

Kwahiyo una maana Tuondoe ccm na sera zake za kuwabagua wana kilimanjaro, na ili tuwaingize chadema kutetea masilahi ya kilimanjaro? ama sikuelewi maana mwanzo ulisema wanaivuruga kilimanjaro
 
Sasa uchagga upo wapi hapa? Halima Mdee mwenyewe ni Mpare!

Tanzania will continue to be bedeviled by problems of sectionalism, tribalism, nepotism etc. which are threatening to tear us apart. I think this generation should take a good look at the present situation and confront it

Isn't it time to open up the good God-given country to all her citizens? I think it is time to abolish requiring people to declare their "Area of origin." Rather we should be concerned with people's domicile -- where they currently permanently live in and intend to remain at. I think it is time to move away the suspicion we have of each other and fear of ethnic domination: it is time to open up the country. I know that my idea is revolutionary in a country where oflate we have been made to believe that the most important thing in your life is your "Tribe or area of origin", but it takes a revolution to change our colonial way of thinking, which was devised by the imperialists, who divided us into arbitrary parts, in order to facilitate their rule over us.CCM and her leaders are Doing the same.Shame!

Just pause and think what this type of policy will do for Tanzania. It will elevate the country, and break the chains of sectionalism which has deterred the development of the country.Let us champion strategies and ideas that will make People move to the communities where they can find work, and establish domicile there, knowing that they are not going to be discriminated against. The best brains who could get the job done will take up offices round the country, and the mediocres will slide down the social ladder. In choosing our leaders, the primary consideration will be their past achievements and their philosophies and beliefs, not their "Tribes or area of Origin."


Let us be the generation that sets this country on the path of greatness!We have all what it takes to make this Country Great!



 
MkamaP,

Sasa mkuu wangu cha ajabu ni kipi hapa ikiwa umemsoma vizuri Komu.. kasema hivi:-

" Magari hayo kuna vipaza sauti vyenye thamani ya dola za Marekani 148,000 sawa na Sh. milioni 222, jenereta tatu zilizonunuliwa kwa Sh. milioni 47 kwa kila gari kwamba yana bodi maalumu yenye uwezo wa kubeba watu wasiopungua 12.

Pia alisema magari hayo kila moja lina uwezo wa kubeba mapipa ya mafuta ya helikopta, jukwaa la kuhutubia na vifaa vya matangazo ambavyo vyote vimejengwa kwa Sh. milioni 48.4.'

Mimi nilichoelewa ni kwamba hapa Komu alikuwa akijibu tuhuma za ufisadi na katoa thamani ya magari hayo ambayo watu walishindwa kuelewa thamani yake ukilinganisha na idadi yake.. Na kachambua vitu vilivyomo ktk magari hayo kwa kuthaminisha, na hiyo yawezekana kabisa kuwa ndio bei zake..kwani bus moja la usafiri kwa kampeni za senate au mbunge hapa Canada lina thamani zaidi ya dollar 100,000 na halina cha maana zaidi..iweje leo iwe taabu kwako wewe kuelewa hata baada ya kupewa viambatanisho vya magari hayo..

Labda turudi nyuma, wee tafuta bei halisi ya magari hayo yakiwa mapya pamoja na vifaa vyote hivyo kisha ndio tutatafuta uhalali wa bei waliyotozwa Chadema..
 
MkamaP,

Sasa mkuu wangu cha ajabu ni kipi hapa ikiwa umemsoma vizuri Komu.. kasema hivi:-

" Magari hayo kuna vipaza sauti vyenye thamani ya dola za Marekani 148,000 sawa na Sh. milioni 222, jenereta tatu zilizonunuliwa kwa Sh. milioni 47 kwa kila gari kwamba yana bodi maalumu yenye uwezo wa kubeba watu wasiopungua 12.

Pia alisema magari hayo kila moja lina uwezo wa kubeba mapipa ya mafuta ya helikopta, jukwaa la kuhutubia na vifaa vya matangazo ambavyo vyote vimejengwa kwa Sh. milioni 48.4.'

Mimi nilichoelewa ni kwamba hapa Komu alikuwa akijibu tuhuma za ufisadi na katoa thamani ya magari hayo ambayo watu walishindwa kuelewa thamani yake ukilinganisha na idai ya magari.. Na kachambua vitu vilivyomo ktk mabagari hayo kwa hiyo yawezekana kabisa kwani bus moja la usafiri kwa kampeni za senate au mbunge hapa Canada lina thamani zaidi ya dollar 100,000..iweje leo iwe taabu kwako wewe kuelewa hata baada ya kupewa viambatanisho vya magari hayo..

Labda turudi nyuma tafuta bei halisi ya magari hayo yakiwa mapya pamoja na vifaa vyote hivyo kisha ndio tutatafuta uhalali wa bei waliyotozwa Chadema..

Rudia tena, hizo ni hesabu tofauti tofauti akisema generata bei 3@47 milioni, milioni 222 vipaza sauti, bodi milioni ......., fuso lenyewe milioni..........

Huoni kama kuna tatizo? pia katafute jumla ya bei moja la fuso ni zaidi ya huyo wa canada na bus lake harafu uje wa canada ni bus jipya, Mkandara acha kututania.
Mkandara
Magari hayo CHADEMA imeuziwa yakiwa makuu kuu sio mapya.mhhhh
 
Rudia tena, hizo ni hesabu tofauti tofauti akisema generata bei 3@47 milioni, milioni 222 vipaza sauti, bodi milioni ......., fuso lenyewe milioni..........

Huoni kama kuna tatizo?
Labda nambie wewe, kasema Fuso yenyewe ni kiasi gani vile?..All I know, Uchambuzi huu ni kuhusiana na total amount paid kwa hayo magari kama ambavyo CCM walihoji mwanzo..
 
Labda nambie wewe, kasema Fuso yenyewe ni kiasi gani vile?..All I know, Uchambuzi huu ni kuhusiana na total amount paid kwa hayo magari kama ambavyo CCM walihoji mwanzo..

- Bob vipi conflict of interest hapo kwa Mwenyekiti kukiuzia chama chake mwenyewe anachokiongoza magari yake binafsi, I mean mbona Mwakyembe tulimshambulia sana hapa kwenye kuhusika na umeme na kamati ya Richmond? au Chadema hawaguswi na hizi standards?

ES!
 
Labda nambie wewe, kasema Fuso yenyewe ni kiasi gani vile?..All I know, Uchambuzi huu ni kuhusiana na total amount paid kwa hayo magari kama ambavyo CCM walihoji mwanzo..

Ndiyo total amount ni karibu milioni 600. Ndo maana amevipachika vipaza sauti pekee kwa milioni 222. Ha ha ha ha ha ha
 
Ha ha ha kama una justfy kwa staili hiyo, basi na NAPE yuko sahihi.

Hapana koo zilizotajwa ni tano lakini katika hizi koo hawa watu wanatoka makabila tofauti. Nafikiri kila mtu anajua tofauti ya koo na kabila. I don't think I need to go there.
 
napongeza chadema kwa ufafanuzi mzuri zidi ya madai ya wananchi /nape kwa kuto orodha ya uongozi wa chadema. sasa nafikiri nivizuri kutoa pia takwimu ya mishahara wanyopata mh. mbowe kama mwenyekiti wa chama na dkt slaa kama katibu watu wana hamu sana.
 
Teh teh teh
Kubalance ni kwamba kulingana na mazingira ya kikoloni, walijenga maendeleo sehemu hizo na pia ina maana walikuwa tayari wanauwezo wa kifedha ambao kwa ushindani huo watu kutoka sehemu nyingine wasingeshindana ktk uwanja ulio sawa. Ni sawa na leo kwamba watoto wa masikini kutoweza kushindana na mafisadi.

tukubaliane tu kwamba upendeleo wa wammision kule mbeya , kilimanjaro, na bukoba ndo kuliwainua, nawala tusitake kudanganyana hapa. Hizo shule nyingi za mission ni wanakilimanjaro ndo walijenga ama wazungu?

Kwahiyo una maana Tuondoe ccm na sera zake za kuwabagua wana kilimanjaro, na ili tuwaingize chadema kutetea masilahi ya kilimanjaro? ama sikuelewi maana mwanzo ulisema wanaivuruga kilimanjaro
Ni shida kukuelewesha coz nina suspect juu ya ufahamu wako wa historia na uwezo wako wa uchambuzi wake.Unaposema mikoa inashindana sikuelewi.Hatushindani kwasababu ujenzi wa nyumba moja ugombeaji wa fito dont make no sense.Wamishenari walibanwa na waelewa na wakalegeza..Kuwaonea wivu wananchi wa maeneo fulani kutokana na maendeleo ndo wivu wenyewe wa kike.Kwahiyo unataka kusema maenedeleo hayo ni kwasababu wazungu waliwapenda wachagga?Ama Wahaya na wanyakyusa?Kama wote ni wabongo halafu tunaelewa historia kwa namna ya tofauti then tuna shida kubwa!Nina uhakika kuwa kuna tabaka linaiharibu Tanzania through this B.S.
Kama huelewi hata nusu ya historia ya Kilimanjaro,na pia Taifa,then ni shida kukusaidia.
 
Acheni maigizo, sasa nakubali usemi usemao nchi hujengwa na wenye moyo na hutafunwa na wenye meno. hainiigii akilini ni usawa upi wanasiasa hasi kama ninyi mnataka watanzania wawaeleweni? madai ya nape ni kwamba dkt slaa naye ana nyumba ya vioo kama ya mafisadi katika maana ya terms anazopata hazifananani na kile anachotaka watanzania waamini? kumbuka amekuwa padri na ni mcha mungu, kima cha chini anakijua vizuri na sisi tunamtegemea awe mfano kuanzia kwenye chama chetu zidi ya matumizi. angalia madiwani wetu wa chadema kwa sasa wanavyohangaika kutimiza ahadi zao kwa gharama zao na bila ya malipo yoyote kwao. hivii inaingia akilini kweli kiongozi kama huyu akipata atakuwa tifauti na CCM ? AU NDO MSALA
 
Ni shida kukuelewesha coz nina suspect juu ya ufahamu wako wa historia na uwezo wako wa uchambuzi wake.Unaposema mikoa inashindana sikuelewi.Hatushindani kwasababu ujenzi wa nyumba moja ugombeaji wa fito dont make no sense.Wamishenari walibanwa na waelewa na wakalegeza..Kuwaonea wivu wananchi wa maeneo fulani kutokana na maendeleo ndo wivu wenyewe wa kike.Kwahiyo unataka kusema maenedeleo hayo ni kwasababu wazungu waliwapenda wachagga?Ama Wahaya na wanyakyusa?Kama wote ni wabongo halafu tunaelewa historia kwa namna ya tofauti then tuna shida kubwa!Nina uhakika kuwa kuna tabaka linaiharibu Tanzania through this B.S.
Kama huelewi hata nusu ya historia ya Kilimanjaro,na pia Taifa,then ni shida kukusaidia.

Kwenye red hapo, duu kumbe unatuambia kinagaugbaga kwamba wao ndo waelewa kuliko wengine.Mhhhh mbona unaonekana wewe kuwa mbaguzi sana na tena unawatukana live kuliko hata Nape

Yawezekana hata ccm hawakusema na wala hawana sera, ila tambo za namna hii ndo zina triga hisia zote
 
Acha porojo,wachagga nao pia wako tofauti baina yao!Na si wachagga wote wanatokea maeneo uliyoyataja.Kuna Kibosho,Rombo,Uru nk.Na pia ndio maana umesikia kuwa mkoa wenye kuikubali chadema zaidi ni Shinyanga,ambapo nyie na kina Nape mnadai ni kwa wachagga.Ulee upuuzi wa kubana maendeleo ya wengine ili uyahamishie kwingine ni dhana ya kipuuzi inayoturudisha nyuma kimaendekeo.Hayo maeneo yenye umasikini si kwasababu eti maeneo ya wachagga yana maendeleo.Ni ukosefu wa kufikiri unatukupeleka huko.Unataka kumaanisha kuwa wachagga wameyanyonya maeneo mengine na makabila mengine na sasa ndio maana kuna umasikini?Badala ya kuwalaumu wanaowatawala.Ujinga ni shida!Maeneo ambayo hayapati maendeleo pesa zao zinaliwa na mafisadi.Shida ni mafisadi na ccm na si wachagga acheni pumba.
jmushi, asante kwa kuita hoja zangu porojo na pumba. Naomba nijiquote mwenyewe ili kuzipepeta hizo pumba zangu angalau japo chenga tuu zipatikane.

Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote hata huu wa kikabila, lakini pia nalaani baadhi ya makabila kujiona bora zaidi kuliko mengine. Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa favourate regions kwa mkoloni kutokana na zao la biashara la kahawa.

Nimesema kweli Tanzania hatuna ukabila wa kuzungumza, bali kuna ukabila mbaya zaidi ndani ya mioyo ya watu wa makabila yenye ukabila!.

Nasisitiza, hakuna mwenye wivu na makabila fulani kuendelea kuliko mengine, haswa ukizingatia miongoni mwa hayo makabila, yameweza kupata maendeleo kutokana na advantage ya mazao ya biashara, wamisionari nao wakasheheneza mashule maeneo hayo, hivyo familia zao kuwa na kipato cha kuweza kusomesha watoto walioleta maendeleo ya maeneo yao.

Nyerere hili aliliona, akataifisha shule zote za misheni na kufutilia mbali ada ili kila Watanzania wote wapate fursa na kupata elimu na kujiletea maendeleo.

Nasisitiza niliyoyasema, ubaguzi mbaya kabisa, sio huo aliousemea Nape, bali ni ule uliomo ndani ya mioyo ya wenzetu kutoka makabila fulani, kujiona wao ni bora kuliko wengine kwa vile wana hiki na kile. Sipingi maendeleo ya maeneo fulani, bali napinga unfair advantage ya maeneo fulani kuendelezwa eti kwa sababu wana mazao fulani.

Amini usiamini, level ya infrastructure development ya makao makuu ya wilaya fulani fulani ni kubwa kuliko makao makuu ya miko fulani fulani. Huu ndio ubaguzi ninaozungumzia mimi ni ubaguzi mbaya kabisa!.

Naungana na falsafa ya Mwalimu, Binadamu wote ni sawa na Afrika ni Moja. Watanzania wote ni Sawa na Tanzania ni Moja.
 
Kwenye red hapo, duu kumbe unatuambia kinagaugbaga kwamba wao ndo waelewa kuliko wengine.Mhhhh mbona unaonekana wewe kuwa mbaguzi sana na tena unawatukana live kuliko hata Nape

Yawezekana hata ccm hawakusema na wala hawana sera, ila tambo za namna hii ndo zina triga hisia zote
Acha upuuzi mkuu wangu,wewe si umesema walipedendelewa na wamishenari?Kwa maana kwamba mnawakomoa ili walingane kwa umasikini na maeneno mengine?Pambaf kabisa!Na mimi nasema kuwa walipigania haki na maendeleo yao na hawakupendelewa.We kweli hamnazo...Unadhani mzungu ni mtu wa kutoa kitu kwasababu anakupenda?Unaota wewe!Wabaguzi ndo nyie mnaofisadi Taifa na kuwasingizia wachgaa.Wapelekeeni wananchi maendeleo na si kupora mali za Taifa na kuedelea kutawala kwa kutumia chuki dhidi ya wapenda maendeleo.Nchi mmeharibu nyie wabaguzi.Mnaliibia Taifa kwasababu kuna "Grey Area" mnayotake advantage for.Kuna wakati mtanzania anasahahu adui yake.NINYI NDO MAADUI WA TAIFA!
 
Back
Top Bottom