<br /><font color="navy"><font size="3"><font face="Lucida
Console">Huyu Tambwe Hiza 2.0 (Nape) ana matatizo ya kufikiri. Kwa mfano sielewi ana-justify vipi kauli yake kuwa CHADEMA ni chama cha wachaga. Kama watanzania wengine wakiwa na akili kama Tambwe 2.0 (Namaanisha Nape), basi hawana budi kudai kuwa serikali ta Tanzania ni ya kiislam kutokana na viongozi wengi kuwa waislam (Rais, Makamu wa Rais, Jaji Mkuu, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na mawaziri kibao). <br />
Hata hivyo mimi siwezi kudai kuwa hii serikali ni ya kiislam eti tu kutokana na uwiano wa viongozi wa kiislam na dini zingine, kwa sababu mtanzania yeyote ana haki ya kuchaguliwa au kuteuliwa kushika wadhifa wowote ndani ya nchi au kuwakilisha Tanzania kwenye nchi za kigeni au mashirika ya kimataifa. Hii lugha anayotumia Nape (Tambwe 2.0) ndiyo yenye kuleta chuki kwenye jamii (Ukabila). Haya ni matusi kwa wachaga ambao wengine ni wananchama wa CCM. Kama ana busara nina hakika atawaomba radhi wachaga maana naamini katika ziara zake hizi atafika Kilimanjaro kujitambulisha na kuwaomba wengine wajiunge na chama chake</font></font></font>.
Lakini
Regia Mtema , mbunge wa viti maalum , aliposema ccm inaongozwa na koo tano, mbona hamukukasirika kama leo? leo yule mnyama mwizi wa asali amejapa ktk muzinga wa nyuki nini?
chungwa limewekwa na gundi kwenye mwembe soon litadondoka lenyewe tu coz no mawasiliano
Hivi nikitaja viongozi wa ccm mkoa wa Mtwara ama Tanga nikasema ccm ni ya wadigo ama wamakonde nitakuwa right?Wekeni ushahidi wa ku convince.Tujiridhishe kwanza ndani ya Chadema hii ina ashiria nini: Mdee(mchaga),Grace Kiwelu(mchaga),Owenya(mchaga),Komu viti maalum(mchaga),Komu afisa CDM makao makuu(mchaga),Mbowe(mchaga),Ndesamburo(mchaga),Erasto Kweka Afisa wa mambo ya. Bunge CDM(mchaga),Edwin Mtei(mchaga),Suzan Lyimo(mchaga)....... Jamani tumuogope Mungu tusimlaumu Nape angalia orodha hiyo hapo utapata jibu kama CDM sio ya Wachaga!
Tujiridhishe kwanza ndani ya Chadema hii ina ashiria nini: Mdee(mchaga),Grace Kiwelu(mchaga),Owenya(mchaga),Komu viti maalum(mchaga),Komu afisa CDM makao makuu(mchaga),Mbowe(mchaga),Ndesamburo(mchaga),
Erasto Kweka Afisa wa mambo ya. Bunge CDM(mchaga),Edwin Mtei(mchaga),Suzan Lyimo(mchaga)....... Jamani tumuogope Mungu tusimlaumu Nape angalia orodha hiyo hapo utapata jibu kama CDM sio ya Wachaga!
Tujiridhishe kwanza ndani ya Chadema hii ina ashiria nini: Mdee(mchaga),Grace Kiwelu(mchaga),Owenya(mchaga),Komu viti maalum(mchaga),Komu afisa CDM makao makuu(mchaga),Mbowe(mchaga),Ndesamburo(mchaga),Erasto Kweka Afisa wa mambo ya. Bunge CDM(mchaga),Edwin Mtei(mchaga),Suzan Lyimo(mchaga)....... Jamani tumuogope Mungu tusimlaumu Nape angalia orodha hiyo hapo utapata jibu kama CDM sio ya Wachaga!
Hii kauli sio ya kudharau kwani inawezekana ametumwa na Boss wake JK, hivyo inabidi ifanyiwe kazi na kuilaani kwa nguvu zote.
Itakumbukwa kuwa mbegu ya Udini ilianzishwa na Boss wake kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka jana. Sumu ile imewaingia watu na mpaka sasa hivi inalitafuna taifa kwa kasi ya ajabu.
Kwa kweli huenda hajajua kuwa kiongozi ni karama na kitu kikubwa cha kuomba katika uongozi ni Hekima. Kijana achunge sana mwendo kasi alionao otherwise hatafika mbali.
Kwasababu ni kweli hizo koo tano hutazikuta kenye chama kingine bali CCM. Kwani kuna mtoto wa Makamba, Mwinyi, Kikwete, Karume, au Kawawa aliyeko chama kingine chochote zaidi ya CCM? Zaidi ya hapo sio kwamba wana kadi tu bali ni viongozi pia. I have no problem with that because I have no political affiliation; lakini ukweli lazima usemwe. CDM wanasapoti kubwa kwenye wilaya/mikoa isiyo na wachaga e.g. Mara-Tarime. Lazima tuelewe kwamba wachaga wako pia CUF , CDM, CCM, TLP, NCCR, etc. Kuna waliozaliwa kwenye familia ambazo wazazi ni CCM lakini vijana wakaingia upinzani. This is very common in Kilimanjaro. Hapa Nape amechemsha hamna ujanja. He played the wrong card!!!