Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Albedo toka jana nakuona unakuja na mada za kizushizushi tu, you can do better than this man!!

La Zaidi Mjumbe Hauawi, Nimeleta Kile Alichokisema Nape sasa Sijui Nani mzushi Albedo au Nape
 
Mkuu FMes nakushauri sasa uje na Real ID yako. Mapambano yako ni kuelekea kwenye ukatibu tarafa mwenezi. Mimi naanza kuwa na wasiwasi na huyu anayechangia humu! Sidhani kama ni Field Marshall ES tuliyemzoea. Unawezakuta mtoto kakuta computer ya baba akaamua kuchafua hali ya hewa humu. Unless FMes you are getting old man! Huwezi ukatete ukilaza wa Nape hata siku moja! Nape anaropoka tu hana jipya. Hivi hujui kuwa iko siku hawa hawa anaojaribu kupambania ndani ya chama watachoka napumba zake! Hajui kuwa kawekwa pale kama mtego na amini siku ukilipuka utamlipukia yeye mwenyewe. Hata wewe hutakuwa naye!
Ujue tu kuwa Nape ni kilaza nikupe tu scenario moja. Ukiwa mtu makini mwenye kuelewa ni nini unakifanya unatakiwa ujiandae. Nape na kujidai kujua chama chake na katiba yake alitaka kujiingiza katika uongozi wa taasisi ya chama chake bila kujua ukomo wa taasisi yake! Hii nikuonyesha kuwa hakuwa makini! Wakubwa wake wamelijua hili na ili kumfuta kwenye ramani akapewa moto aukalie! Time will tell! Soon Nape he will fade away!

- Ya Nape na CCM hayakuhusu, wala hayatuhusu hapa kinachotuhusu ni taifa kwanza!, otherwsie sio wote hapa ni bendera fuata upepo wa Chadema!

FMEs!
 
- Well, unasema kina Marando wamejitokeza kujibu hoja iliyowahi kusemwa huko nyuma juu ya Chadema na kununua malori chakavu ya Mwenyekiti wake? Na mshaahara wa Slaa? Are you serious?

FMEs!

FMES,
Tuache kuwa na mawazo ya kimaskini, Slaa kupata milioni 7 tunaona ni nyingi sana.. je tunalinganishaje na kazi aliyoifanya kushirikiana na wenzake kuhakikisha CDM inakuwa mojawapo ya chama kikuuu cha upinzani.

Mimi sioni hoja ya yeye kulipwa 7m so long zimepitishwa na vikao halali na ni performance based. Let it be if someone is being paid based on his performance. kumbukuka Slaa alikuwa ni chachu kubwa sana kwa Chadema kupata idadi kubwa ya wabunge.
 
- Msemaji wa chama ni Katibu mwenezi, labda ungeorodhesha waliowahi kushika hiyo nafasi in the past na ndio hasa hoja ya Nape na ni valid, kwamba makatibu wenezi wa CCM waliopita wameiangusha sana CCM! I mean tungejuaje Mwenyekiti kukiuzia chama chake malori mabovu kwa hela zote hizo za ajabu sana kwa watetezi wa wanyonge?

FMEs!

Hamna kitu hapo hata yeye ni walewale hakuna jipya aliloliibua unless kama na wewe ulikuwa umelala usingizi.kabla ya Nape kutangaza chochote Viongozi wa juu wa chadema walitoa taarifa ya kikao chao kamati kuu na yote yalifafanuliwa.

Ndiyo maana wote tulimshangaa Nape kwani tulidhani analo jipya la kuongea.Taarifa ni moja tu kwenu nyote,moto uliowaka hautazimika mpaka umewaunguza wote vema ,na makovu yake yawahukumu milele.
 
Tuwapuuze hawa ccm na DIVISIVE PROPAGANDA Zao, kwani wachaga sio watanzania? wachaga hwastahili kushiriki kwenye siasa za nchi hii? kwanini chadema kama ni chama cha wachaga hawakushinda majimbo mengi au yote kilimanjaro? na wasukuma wa shinyanga ndo wamekipa chadema wabunge wengi? hivi huyu Nape ndo mtu makini ccm wanaejidai? mtu ambae yupo tayali kuwagawa watanzania kwa makabila, eti yeye sio mchaga! this is an offensive statement na hata wachaga wengi ambao ni wana ccm need to call him out immediately!
Sekretariati ya CHADEMA​

Sekretariati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
slaa_sk.jpg

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zito_sk.jpg

hamad_sk.jpg

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz

Mkurugenzi Fedha na Utawala
Anthony Bahati Calisti Komu (47)
Kutoka Moshi vijijini, Kilimanjaro
komu_sk.jpg

sk_mrema.jpg

Mkurugenzi Bunge na Halmashauri
John Mrema (33)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
mrema@chadema.or.tz

Mkurugenzi Habari na Uenezi
Erasto Kichamo Tumbo (46)
Kutoka Kisesa, Shinyanga
tumbo_sk.jpg

msafi_sk.jpg

Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)
Msafiri Abdulrahaman Mtemelwa (47)
Kutoka Rufiji, Pwani
mtemelwa@chadema.or.tz

Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
john_sk.jpg

ben_sk.jpg

Mkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzo
Singo Kigaila Masalamakali Benson (44)
Kutoka Kibakwe, Dodoma
kigaila@chadema.or.tz

Mkurugenzi Sheria
Tundu Lissu (42)
Kutoka Ikungi, Singida
lissu_sk.jpg

sk_jumbe.jpg

Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (64)
Kutoka Mtwara
mary@chadema.or.tz

Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (49)
Kutoka Kilombero, Morogoro
suzi_sk.jpg

ali_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Ali Omar Chitanda (41)
Kutoka Nachingwea, Lindi
chitanda@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (25)
Kutoka Ifakara, Morogoro,regia@chadema.or.tz
regia_sk.jpg

mhon2_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (32)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (33)
Kutoka Same, Kilimanjaro
mdee_sk.jpg

sk_dadi.jpg

Afisa Oganizesheni na Mafunzo
Dady Igogo (26)
Kutoka Rorya, Mara
dady@chadema.or.tz

Afisa Ulinzi na Usalama
Hemed Sabula (43)
Kutoka Mwanza
sabula_sk.jpg

blank.gif

Afisa Utawala
Zacharia L. Jorojig (61)
Kutoka Mbulu, Manyara

Mbona hujamuweka Ndesamburo,Owenya,Kiweru,suzan Lyimo,Mama Komu,Godbless Lema,Freeman Aikael Mbowe na Edwin Mtei! Ambao hawa ni wachaga na ndio wenye sauti wengine ulio waweka ni Vibaraka tu! Uliwasahau hawa au ni kupindisha ukweli kwa makusudi?
 
- Msemaji wa chama ni Katibu mwenezi, labda ungeorodhesha waliowahi kushika hiyo nafasi in the past na ndio hasa hoja ya Nape na ni valid, kwamba makatibu wenezi wa CCM waliopita wameiangusha sana CCM! I mean tungejuaje Mwenyekiti kukiuzia chama chake malori mabovu kwa hela zote hizo za ajabu sana kwa watetezi wa wanyonge?

FMEs!

FMES;
Hela za CHADEMA za kununulia malori au hela za CHADEMA wanazomlipa Dr Slaa kama mshahara ndiyo zimesababisha maelfu ya wananchi wa Mtera wakose maji saafi na salama?Malipo hayo Ndiyo yamefanya wajukuu zetu wawe wana feli kwa kiwango cha kutisha au ndiyo sababu kwa akina mama na watoto wakose huduma bora za afya Mvumi-Misheni?

CCM wanajaribu kutumia njia zilizowahi kutumiwa na akina Hittler na Mussolin kuwaondoa wananchi kwenye kujadili mustakabali wa nchi yao na kujikita kwenye propaganda;CCM watuambie kwa nini TZ inarudi nyuma kimaendeleo kila kukicha?Hoja za CHADEMA zimejikita hapo na sio blah blah hizi za akina Nape na sasa FMES!
 
La Zaidi Mjumbe Hauawi, Nimeleta Kile Alichokisema Nape sasa Sijui Nani mzushi Albedo au Nape

Nilichokipata kwenye thread yako ya jana ni fikra za ukabila zilizopo karibu sana na moyo wako, kwani ni shurti mtu binafsi awe mkabila ndipo atapoweza kuitafsiri kauli ya mtu mwingine katika misingi ya kikabila, hili sikulitegemea kutoka kwako ndugu yangu.

......Ni lazima kwanza mtu awe mkabila ndipo atakapoweza kuitafsiri kauli ya mtu atakayesema CCM ni chama cha Wakwere kuwa ana
chuki na Wakwere.
......Ni lazima kwanza mtu awe mdini ndipo atakapoweza kuitafsiri kauli ya mtu atakayesema CUF ni chama cha Waislamu kuwa ana chuki na
Waislamu.
......Ni lazima mtu awe mdini ndipo atakapoweza kuitafsiri kauli ya mtu atakayesema Chadema ni chama cha Wakristo kuwa ana Chuki na Wakristo.

Na mtu huyo mwenye fikra za kutafsiri hoja kihivyo sikutegemea awe Albedo, no man!!

Ni hii ya leo ni hoja nyingine dhaifu kutoka kwako, ulipaswa uelewe kwanza ni lini Chadema imeanza kuwa tishio kisiasa kwa CCM, actually ni kuanzia hoja ya Buzwagi Bungeni mwaka 2007, sasa kwa wewe kutuletea viongozi wa CCM wa miaka ya 1990 ili kukusaidia kujenga hoja ya Nape ni udhaifu mkubwa sana.
 
- Ya Nape na CCM hayakuhusu, wala hayatuhusu hapa kinachotuhusu ni taifa kwanza!, otherwsie sio wote hapa ni bendera fuata upepo wa Chadema!

FMEs!
Kwani wewe malori ya Chadema na mshahara wa Slaa unakuhusu nini kwako hayo ni masuala ya kitaifa usitumie neno 'Taifa kwanza' kuficha udhaifu you should walk the talk.
 
- Ya Nape na CCM hayakuhusu, wala hayatuhusu hapa kinachotuhusu ni taifa kwanza!, otherwsie sio wote hapa ni bendera fuata upepo wa Chadema!

FMEs!

Then what are you up to man!
I will advice you one thing! IF YOU DONT HAVE ANYTHING TO SAY BETTER SPARE YOUR TIME FOR SOMETHING ELSE. SHUT UP YOUR BIG BOWL!
Yaani hujui hata uko pande gani! Baba yako akirudi mwambie tumemsalimia sana! You are not the same FMes we use to hear!
 
- Ya Nape na CCM hayakuhusu, wala hayatuhusu hapa kinachotuhusu ni taifa kwanza!, otherwsie sio wote hapa ni bendera fuata upepo wa Chadema!

FMEs!

Mkuu Nimeleta Hii Mada makusudi Kabisa, Najua Nawe Umeangukia Katika mtego Mbaya wa Nape, Nape alikuwa na Nafasi ya kuipeleka CCM sehemu nyingine Zaidi LAKINI MGUU ALIOANZA NAO UNAIUA CCM NI BORA AKAJIPANGE SAWASAWA NA MUUMPE MUONGOZO WA KUTOSHA

Mkuu Labda umekuwa Nje kwa Muda Mrefu

Nape amesema yeye na Dr. Slaa tu Mpaka Kieleweke

The Fact ni Kwamba

1. Huwezi Kumsema Dr. Slaa Huku Mitaani kwetu halafu Ukabaki Salama ( Nape alipaswa Kulifahamu Hilo naamini alilifahamu ila alitaka kupima Upepo)

2. Kwa Watanzania Walio wengi Dr. Slaa is Their Hero, Huwezi Kumsema Vibaya na Ukabaki Salama

3. CCM haipendwi na Brand ya Ufisadi ndio imeua CCM, Kwa nape Kumshambulia Dr. Slaa ( Mtu wa Kwanza Kutoka hadharani na Kuorodhesha Mafisadi na Ufisadi wao) Its a Wrong and Failed Stratergy to Start With

Baada ya Nape "Kumlipua" Dr. Slaa CCM ilifanya Mkutano Songea na Kesho yake CHADEMA ikafanya Mkutano Songea ( Nadhani unazo Taarifa za Mikutano hiyo Miwilli) Labda Nape alifikiri Dr. Slaa angepokelewa kwa Mabango la haikuwa hivyo
 
Nape anaanza kukibomoa chama anachojidia kukisafisha mbele ya umma wa watanzania. Mbegu ya ubaguzi aliyoianzisha itamtafuna yeye na chama chake. Kwanza huyu Nape afanye home work yake vizuri na aone kwa nini ccm imeporomoka kabla ya kubwata ovyo. cdm wanazungunzia hali ngumu ya maisha ya wananchi na kuitaka serikali kuchukua hatua za kupunguza makali, yeye badala ya kueleze serikali ya ccm inafanya nini is wasting tax payers money kupandikiza chuki minongoni mwetu na propaganda za kijinga. Tanzania ya leo sio ya enzi za propoganda uchwara na kurithishana uongozi, tumia kichwa na usidhani kuwa utaweza tu kwa vile baba yako aliweza
 
Wakuu mimi nawaombeni mwenye orodha ya zile ahadi 68 alizoahidi Kikwete wakati wa kampeni aiweke hapa ile orodha ili tuanze kuangalia ni kitu gani kimefanyika, kuliko kumjadili huyu mpumbavu Nape, kwa sababu alianza na kelele za mapacha watatu sasa single imeshaexpire kabla haijafika sokoni, sasa hivi anataka kulukia vitu hasivyovijuwa, kazi ya chama kinachounda serikali ni kutimiza ahadi zake na kuleta maisha bora. PERIOD. Mshahara wa Dr Slaa mimi utanisaidia nini? kwani Dr Slaa ni mtumishi wa serikali? hapa ndipo utakapopata jibu kwa nini orodha ya division zero inaongezeka nchini. pls wadau anaeweza kuisearch ile orodha ya ahadi za kikwete ipo humu. thread inaitwa JK AWEKEWE JEDWALI LA AHADI ZAKE.
 
FMES;
Hela za CHADEMA za kununulia malori au hela za CHADEMA wanazomlipa Dr Slaa kama mshahara ndiyo zimesababisha maelfu ya wananchi wa Mtera wakose maji saafi na salama?Malipo hayo Ndiyo yamefanya wajukuu zetu wawe wana feli kwa kiwango cha kutisha au ndiyo sababu kwa akina mama na watoto wakose huduma bora za afya Mvumi-Misheni?

CCM wanajaribu kutumia njia zilizowahi kutumiwa na akina Hittler na Mussolin kuwaondoa wananchi kwenye kujadili mustakabali wa nchi yao na kujikita kwenye propaganda;CCM watuambie kwa nini TZ inarudi nyuma kimaendeleo kila kukicha?Hoja za CHADEMA zimejikita hapo na sio blah blah hizi za akina Nape na sasa FMES!

Yaani kile kitufe cha thanks kimepotea! THANKS MKUU.
Wakati watu wanajaribu kutumia njia za kisasa kuokoa watu wake wao analeta ambulance za bajaj kuwapeleka mama na wake zetu kujifungua! Bado watasimama na kusema maisha bora kwa kila mtanzania naombeni kura zenuuu niwaletee maendeleo!
 
Nilichokipata kwenye thread yako ya jana ni fikra za ukabila zilizopo karibu sana na moyo wako, kwani ni shurti mtu binafsi awe mkabila ndipo atapoweza kuitafsiri kauli ya mtu mwingine katika misingi ya kikabila, hili sikulitegemea kutoka kwako ndugu yangu.

Ni hii ya leo ni hoja nyingine dhaifu kutoka kwako, ulipaswa uelewe kwanza ni lini Chadema imeanza kuwa tishio kisiasa kwa CCM, actually ni kuanzia hoja ya Buzwagi Bungeni mwaka 2007, sasa kwa wewe kutuletea viongozi wa CCM wa miaka ya 1990 ili kukusaidia kujenga hoja ya Nape ni udhaifu mkubwa sana.

Mkuu Wenzako Wameelewa sasa kama wewe Hujaelewa basi utakuwa na Matatizo makubwa
 
Juzi Nape ameliponda kabila fulani! Naam Hakuishia Kuliponda hilo kabila Bali alienda Mbali Kuwakashifu Viongozi wote waliowahi kutokea CCM tangu kuanzishwa kwa Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa. Nape alinukuliwa akisema hivi

" CHADEMA imezoea kuinoea CCM kwa sababu CCM haijawahi kupata Mtu Makini wa Kujibu Hoja zao sasa nimepatikana mimi Nape wanaanza kutapatapa"

Nape anamaanisha kwamba Tangia kuundwa Kwa Mfumo wa vyama vya Siasa hajawahi kutokea Kiongozi Mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, yaani waliokuwepo walikuwa "VILAZA' kwa lugha za kisasa

Hebu tujikumbushe hawa Viongozi ambao kwa Nape si Chochote si Lolote yaani ni Magamba

1: Alli Hassan Mwenyi ( Aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM)
2: Benjamini William Mkapa ( Aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM)
3: Jakaya Mrisho Kikwete ( Mwenyekiti wa sasa wa CCM na Baba yake Riziwani)
4: Philip Mangula ( Aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM)
5: John Samwel Malecela aka Tingatinga ( Aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti CCM pia ni Baba yake Wiliam) Naye ni Kilaza Machoni mwa Nape
5: Yusuph Makamba ( Baba yake January Makamba) Alikuwa Katibu Mkuu, huyu naye alikuwa ni Kilaza ( siyo maoni yangu ni Maoni ya Nape)
6: Pius Msekwa
7: John Chiligati

Hao ni Miongoni Mwa Watu Wazito ndani ya CCM ambao wametuhumiwa na Nape kwamba walishindwa Kujibu Hoja za CHADEMA na kupelekea Chama Cha Mapinduzi Kuchukiwa na Uma

Mnasemaje?

Nape katupa habari nzuri sana ya kuwa CCM ndio kikwazo cha maendeleo ya watanzania kutokana na ubaguzi walionao. Kumbe juhudi zote za wazazi wetu waliopigania uhuru zilikwamishwa na hawa wajamaa CCM na bado zinaendelea kushika kasi kutokana na ubaguzi wao. Ukiangalia hiyo list hapo juu kuna mchaga ambaye amekwamisha CCM isipendwe na wananchi. Yaani kamtusi M/kiti wake hadharani na kutuhakikishia kilicho cha ukweli. Bado kidogo tusikie viongozi wa ccm waliopita walikuwa wanachakachua kura zetu.

Nape endelea kutujuza juhudi zenu za kulijenga taifa letu la watanzania.
 
Then what are you up to man!
I will advice you one thing! IF YOU DONT HAVE ANYTHING TO SAY BETTER SPARE YOUR TIME FOR SOMETHING ELSE. SHUT UP YOUR BIG BOWL!
Yaani hujui hata uko pande gani! Baba yako akirudi mwambie tumemsalimia sana! You are not the same FMes we use to hear!

- Ha! ha! ha! yaani nikisema Mwenyekiti ameuzia mbuzi kwenye gunia chama chake, basi ninatakawiwa kunyamaza! sawa bwana ila ninavunjika mbavu zangu, jinsi Mwenyekiti na katibu wake walivyo wajanja saana kama sungura!

haya bwana nimenyamaza sasa! sirudii tena kusema Mwenyekiti na gunia la mbuzi! ha! ha! ha!

FMEs!
 
Sasa uchagga upo wapi hapa? Halima Mdee mwenyewe ni Mpare!
 
Back
Top Bottom