Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

jmushi, asante kwa kuita hoja zangu porojo na pumba. Naomba nijiquote mwenyewe ili kuzipepeta hizo pumba zangu angalau japo chenga tuu zipatikane.

Nasisitiza, hakuna mwenye wivu na makabila fulani kuendelea kuliko mengine, haswa ukizingatia miongoni mwa hayo makabila, yameweza kupata maendeleo kutokana na advantage ya mazao ya biashara, wamisionari nao wakasheheneza mashule maeneo hayo, hivyo familia zao kuwa na kipato cha kuweza kusomesha watoto walioleta maendeleo ya maeneo yao.

Nyerere hili aliliona, akataifisha shule zote za misheni na kufutilia mbali ada ili kila Watanzania wote wapate fursa na kupata elimu na kujiletea maendeleo.

Nasisitiza niliyoyasema, ubaguzi mbaya kabisa, sio huo aliousemea Nape, bali ni ule uliomo ndani ya mioyo ya wenzetu kutoka makabila fulani, kujiona wao ni bora kuliko wengine kwa vile wana hiki na kile. Sipingi maendeleo ya maeneo fulani, bali napinga unfair advantage ya maeneo fulani kuendelezwa eti kwa sababu wana mazao fulani.

Amini usiamini, level ya infrastructure development ya makao makuu ya wilaya fulani fulani ni kubwa kuliko makao makuu ya miko fulani fulani. Huu ndio ubaguzi ninaozungumzia mimi ni ubaguzi mbaya kabisa!.

Naungana na falsafa ya Mwalimu, Binadamu wote ni sawa na Afrika ni Moja. Watanzania wote ni Sawa na Tanzania ni Moja.
Nashukuru sana mkuu kwa uchujaji,however bado kuna kapumba kamebakia.lets analyze it...Kwenye red umenishtua kidogo.Mazao kama yako demanded in either local or international market then yasizalishwe kwasababu yako kwa wachagaa ama wasukuma?Ndo hayo niliyosema yanaturudisha nyuma.Ebu fikiria zaidi kuhusu hilo uone kama hutapata jibu la tofauti.Crabs in the bucket mentality in work.
Yani unataka kusema kinacho determine nini kizalishwe si demand?Eti unfair advantage,kweli tuna kazi watanzania.Bado sana,ndo maana wengine tumewaachia linchi lenu.
 
Acha upuuzi mkuu wangu,wewe si umesema walipedendelewa na wamishenari?Kwa maana kwamba mnawakomoa ili walingane kwa umasikini na maeneno mengine?Pambaf kabisa!Na mimi nasema kuwa walipigania haki na maendeleo yao na hawakupendelewa.We kweli hamnazo...Unadhani mzungu ni mtu wa kutoa kitu kwasababu anakupenda?Unaota wewe!Wabaguzi ndo nyie mnaofisadi Taifa na kuwasingizia wachgaa.Wapelekeeni wananchi maendeleo na si kupora mali za Taifa na kuedelea kutawala kwa kutumia chuki dhidi ya wapenda maendeleo.Nchi mmeharibu nyie wabaguzi.Mnaliibia Taifa kwasababu kuna "Grey Area" mnayotake advantage for.Kuna wakati mtanzania anasahahu adui yake.NINYI NDO MAADUI WA TAIFA!

Teh teh teh
Kawaida mtu huongea anacho ki kitenda ktk shughuri za kila siku. Teh teh teh naona Nape amepigilia mstari kwa wakati muafaka
 
Msumari gani?Mwisho wenu upo nyie mabaguzi.Si alishasema hachangamani na wachagga,msumari gani kapigilia,labda kajipigilia.Na kwa taarifa yako,hapa sitetei chadema wala ccm yenu.Kama hachangamani na wachagga haijalishi kama ni kwenye vyama vya siasa ama kwingine.Baguzi ni baguzi tu everywhere.
 
Waambie wenye wivu wa kike hao..kuwa maendeleo ya mkoa wa a kilimanjaro yameletwa na wana mkoa wenyewe.....wakati tunapata uhuru ..hali ya mkoa tayari ilikuwa imeendelea....baada ya uhuru Kilimanjaro imekuwa ikiwekewa vigingi sana ...lakini kama si kubanwa banwa mkoa ungekuwa mbali sana...na kwa miaka yote ya uhuru Mkoa wa kilimanjaro na kanda ya kaskazini kwa ujumla wamefayiwa vitimbi ..vya ajabu..vya kuwafanya kama vile wao sio raia...wa nchi hii ..na hawa watu wanayo macho ...sasa hili la kuwatenga hata kwenye vyama vya siasa ni baya zaidi...CCM hamuwataki watu wa kaskazini......hata walio upinzani nao mnawasengenya...ni wazi inaelekea hamtaki watimize haki yao ya kiraia ikiwemo kujiunga na vyama, au hata haki ya msingi ya kuchaguliwa....
Phillemon Mikael, hakuna mwenye wivu wa kike dhidi ya maendeleo ya eneo fulani, wala hakuna ubishi kuwa maendeleo ya maeneo fulani huletwa na wenye eneo husika ndio maana watu wa mikoa yenye mazao ya biashara, waliyabuni hayo mazao wenyewe na kuwaalika wamishenari na kujenga mashule na kutengeneza fedha zao na kujiletea maendeleo.

Pia ni kweli wakati tunapata uhuru, watu wa maeneo fulani tayari walishapiga hatua kubwa ya kimaendeleo, hadi kufikia kufunga safari hadi UNO kujiombea uhuru wa maeneo yao, na wa`lipokutana na Nyerere akiomba uhuru wa Tanganyika yote, waliside na wakoloni uhuru usipatikane.

Nasisitiza tena na tena, baadhi ya watu wa maeneo fulani kujiona wao ni bora zaidi, eti kwa sababu ya maendeleo ya maeneo yao, pia hii ni form fulani ya ubaguzi mbaya kabisa, uliojijenga ndani ya mioyo ya watu wenye ukabila, ambao ndio mbaya kabisa kuliko hata huo ukabila ulitajwa kwa kauli.

Watanzania ni wamoja na YTanzania ni moja, na kila eneo la Tanzania ni sawa na eneo jingine!.
 
Msumari gani?Mwisho wenu upo nyie mabaguzi.Si alishasema hachangamani na wachagga,msumari gani kapigilia,labda kajipigilia.

Ona sasa umefura kama nyoka hata huoni maandishi. teh teh teh teh
 
Mkamap huwa najutia kupoteza muda kujadiliana na wewe kwasababu you're very difficult to understand!You bounce around too much and you dont stick to the points.Kila ukija na hoja,nikikuuliza haujibu,una hand pick vijimaneno halafu unakuja na conclusions za kifala.Si lazima ujibu everything endapo umeishiwa na hoja.Sina muda wa kuendeleza malumbano.Jibu kwanza hoja,otherwise tupotezeane.Nyoka ndo nyie wa magamba,ama umesahahu?
 
Mkamap huwa najutia kupoteza muda kujadiliana na wewe kwasababu you're very difficult to understand!You bounce around too much and you dont stick to the points.Kila ukija na hoja,nikikuuliza haujibu,una hand pick vijimaneno halafu unakuja na conclusions za kifala.Si lazima ujibu everything endapo umeishiwa na hoja.Sina muda wa kuendeleza malumbano.Jibu kwanza hoja,otherwise tupotezeane.

wewe angalia hapo juu umeshindwa kuelewa mstari mmoja tu, nimesema mstari wewe unasisitiza msumari. wewe unaona unaweza jenga hoja kweli maana unajadili sijui ukiwa umekasirika kama kobra , tema kwanza hiyo fundo shingoni ujadili ukiwa umetulia. huoni hata nini kinaandikwa.
 
Hata kama ulisema mstari,still the meaning can be the same.Bongolala wewe.Uelewa wako ni wa mashaka sana...Na mstari unapigiliwa vipi kama si ulofa huu?
 
Teh teh teh teh teh, kwa heri
 
Unatuletea bei ya fusso za kubebea maparachichi hizi za Chadema ni tofauti special kwa kazi fulani ni kama bei ya ambulance si sawa na ya Hiace ya daladala.

Sawa nakubali, lete picha zake hapa na vipaza sauti vya milioni 222. Tujadiliane kwa hoja na data
 
Nashukuru sana mkuu kwa uchujaji,however bado kuna kapumba kamebakia.lets analyze it...Kwenye red umenishtua kidogo.Mazao kama yako demanded in either local or international market then yasizalishwe kwasababu yako kwa wachagaa ama wasukuma?Ndo hayo niliyosema yanaturudisha nyuma.Ebu fikiria zaidi kuhusu hilo uone kama hutapata jibu la tofauti.Crabs in the bucket mentality in work.
Yani unataka kusema kinacho determine nini kizalishwe si demand?Eti unfair advantage,kweli tuna kazi watanzania.Bado sana,ndo maana wengine tumewaachia linchi lenu.
jmushi, kwanza nakubali kuendelea kumwaga pumba. Wewe unazungumzia demand ya mazao, mimi nazungumzia the root cause.

Kabla ya ujio wa wamisionari, walitangulia explorers (wavumbuzi), waliopeleka taarifa wapi kuna nini, ndipo wamisionary wakafuatia. Wewe unadhani ni Wachagga ndio waligundua kahawa na ni ni wao ndio waliamua kuilima baada kujua ina demand?. No, ujio wa wamisionari maeneo yenye maslahi fulani, is not by chance, it was a plan na kwa taarifa yako, sio plan ya Wachagga bali wakoloni kwa sababu zile zile za ule mkutano wa Berlin wa 1884.

Hivyo Kilimanjaro ikajikuta on the advantage side na ndio wananchi wake wakapaa. Jee, wakoloni waliitumia advantage hii kuendeleza maeneo mengine less advantage?. No!. Shule za sekondari zilijaa watoto wa mikoa yenye advantage tuu na wale wengine wasio na advantage, misheni iliokoa jahazi.

Silent classes za wenye nacho na wasionacho ndio was order of the day. Nyerere aliliona hili, akafutilia mbali, u chiefdom, akataifisha shule zote na kufuta ada ili Watanzania wote tupate fursa sawa.

Baada ya uhuru, watu wa makabila yenye advantage, walijisikia wao ndio wao na kuwadharau makabila mengine na hapa ndipo ilipoibuka hiyo silent notion kuwa watu wa makabila fulani fulani, kamwe wasiiguse top post!. Its only a notion, haukusemwa popote, haukuandika popote na wala hawazuiliwi na yoyote na watu wa makabila husika hilo wanalijua ndio maana kwenye chama cha majangili, hawadhubutu hata kusogelea form za ukiranja mkuu!.

Natolea mfano mji mdogo tuu wa Same, nenda pale same mjini ambao ni makao makuu ya wilaya, kuna zao gani la biashara, au shughuli gani kubwa kiuchumi ilipelekea developmental level iliyoko pale.

Toka Same nenda Lindi, hapa ni makao makuu ya mkoa, ni vumbi, hakuna umeme, hakuna maji etc. Kama Tanzania ni moja, kwanini wengine wapate advantage na wengine wakose?.

Nenda mji mdago wa Mwadui zinakochimbwa Almasi, ukiondoa pale mgodini, Wasukuma wanauzunguka mji huo wana nini?. Nothing at all!. Nenda Loliondo, pima Ortello anachovuna na ulinganishe na anacho acha, Wamadsai wamefukuzwa kwenye natural habitat yao, kisa kumkaribisha mwekezaji, and what do they get in return?. Nenda Yaeda Chini kaone!.

Kama Tanzania ni moja, kwa nini baadhi ya maeneo, yenye advantage, yameachiwa kuitumia advantage yake kuyjiletea maendeleo huku mengine yenye maliasili au madini, kuporwa rasilimali hizo kwa maendelo ya taifa zima!. Hii ndio ninayoiita anfair advantage!.

Namalizia kwa kurudia kauli yangu hii na nitairudia kila nitakacho jibu kwenye thread hii.

Ubaguzi mbaya zaidi wa ukabila, sio huu unaosemwa, bali ni ule uliojijenga ndani ya mioyo ya makabila ya wenye ukabila, kujiona wao ni bora zaidi eti tu kwa sababu wana hiki na kile.

'Mtu Muone Tuu Kama Mtu, Sio Mpaka Awe na Kitu'-Marijani Rajab
 
Nimewasoma wote na Pasco. Nahitimisha mbuzi hapa ni PASCO. Inferioriity complex yake ingawaje ni msomi inamfanya ajihisi kubaguliwa. Wewe unajjuaje wanajiona bora kabla wewe hujajiona mdhaifu? Fanya kazi na mzungu uwe mzembe, hujui kuwasiliana na watu na hushughulikii mambo yako kwa wakati utaanza kuwaita wabuguzi kumbe ni wewe umeshindwa kujichnganya.
Kama kilimanjaro ilikuwa na advantage thats good 4 them. Maeneo yote hayawezi kulingana. Unasema wachaga waliwekwa kwenye top posts ulisikia lini mchaga kawa rais au waziri mkuu?

Mara nyingi anayehisi kubaguliwa ana matatizo au ana au kashindwa kufika vwango fulani.

Pasco sidhani wachaga wanajiona bora na pengine ingekuwa makabila mengine ndo yana advantage hiyo ingekuwa balaa hapa. Mi si mchaga natoka kabila dogo sana lakin cjawaona wachaga kama watu wanaojiona bora kuliko hayo makabila yasiyokuwa na maendeleo .

Wanaowaona wachaga wabaguzi ndio wabaguzi wenyewe.
 
Thesi, please don't make this personal!. Kwa vile humu jf tunalog kwa pen names, hivyo huwezi kumjua memba gani ni kabila gani. Please assume Pasco ni Mchagga, anayotokea Sumi, Kirua Vunjo Moshi, anashukia Kawawa Rd na kupandisha kupitia Uparo.
Nakushauri hebu unijubu tena ukiasume na mimi ni mchagga ili nione kama ungenijubu tofauti!.
 
- Bob vipi conflict of interest hapo kwa Mwenyekiti kukiuzia chama chake mwenyewe anachokiongoza magari yake binafsi, I mean mbona Mwakyembe tulimshambulia sana hapa kwenye kuhusika na umeme na kamati ya Richmond? au Chadema hawaguswi na hizi standards?
ES!
Mkuu nakuelewa sana unapozungumzia Conflict of interest zinzpotumiwa na mtu kwa sababu ya madaraka yake...

Yaani unaanzisha mradi na kuwauzia serikali kibiashara hali wewe ni kiongozi, lakini ktk swala la Chadema ni kwamba mwenyekiti ambaye ana uwezo mkubwa kuliko chama amewaopa offer ya yeye kukunua magari matatu ambayo yanatakiwa na chama kwa gharama kadhaa kisha chama kitamrudishia fedha zake. Ingekuwa sawa na swala la Mwakyembe kama Mbowe angefungua au kuwa na biashara ya kuuza magari..

Na kabla ya yeye au chama kuyanunua magari hayo ombi limepita ktk kamati inayotakiwa kupitisha makubaliano hayo na ndipo Mbowe akanunua hayo magari na kuwauzia chama. Na wala hii sii mara ya kwanza kwa Mbowe kutumia fedha zake kisha chama kikamrudishia kwa awamu kutokana na kwamba chama hakina credit nzuri ya kupata mikopo mikubwa ya kimaendeleo hasa ukizingatia kwamba kila hatua ya Chadema hukutana na vizingiti..

Muhimu kwako wewe na mimi ni kutazama gharama za hayo magari, uwezo wa chama na njia zipi ambazo chama ingetumia badala ya kuendelea kumtumia Mbowe kwa sababu mimi na wewe hatufahamu ni nguvu gani huyu Mbowe kaiweka katika kukiimarisha chama kama vile watu hapa JF wasivyojua kina Maxence wanavyosumbuka kuiweka tovuti hii hewani. na wepesi sana wa kulaumu na kutukana kwamba JF ni tovuti ya Umma lakini pia wazito kujitolea kwa fedha..

Hata wakati wa TANU kuna watu wengi sana walijiuliza mchango wa John Rupia, Rajan, Virani na kina Dossa kwa mtazamo finyu wa kimaslahi wakati wanajua fika kwamba pasipo msaada mkubwa wa kifedha, chama hicho kisingeweza kusimama na Chadema kama chama bado kabisa kinahitaji nguvu kubwa ya kifedha toka kwa matajiri na hakika Mbowe ni mfano mzuri sana isipokuwa wengi tunajiuliza maswali ya inda na uchovu kufikiria tu kwamba Mbowe ambaye ni mchagga (steriotype), hawezi kufanya haya pasipo kuwepo maslahi ya kifedha..sasa sijui kama JK , Lowassa na Rostam nao ni wachagga maana hoja imebadilika toka Ukabila kwenda Ufisadi kutafsriwa kwa kabila..

Kikubwa zaidi kwa watu kama mimi na wewe ni kutazama UFISADI umefanyika wapi lakini ufisadi hauwezi kuwa uwakilishi wa mwenyekiti ktk manunuzi ya magari ambayo chama inayahitaji isipokuwa hawana uwezo kifedha kununua mapya au hata chakavu kwa bei poa kama iliyowakilishwa..Ufisadi ikiwa na maana ya UHARIBIFU iwe wa fedha au kudhoofisha ndilo somo kubwa zaidi lakini pale kwenye kukineemesha chama haiwezi kuwa ni Ufisadi..
 
Du yale yale ya Wayahudi ( holocaust). Wale jamaa wa Europe walianza hivyo hivyo lakini mwisho wake ni 1948! sasa wakina nape na @NYC wako kutimiza mission 2012. Mungu mkubwa na akiwa upande wetu nani atakaye kuwa against us. Zambi ya kuanza kuchukia kabila moja ni hatua ya mwisho ya kufinga ukingoni.

Tafadfhali sisi watu wa kusini tusijiunge na hawa waswahili kulea hii mbegu ya kishetani kabisa kaitka taifa letu
 
- Masikini wa Mungu, huruma kweli ha! ha! ha!

William @ NYC, USA.
 
Mkuu nakuelewa sana unapozungumzia Conflict of interest zinzpotumiwa na mtu kwa sababu ya madaraka yake...

Yaani unaanzisha mradi na kuwauzia serikali hali wewe ni kiongizi, lakini ktk swala la Chadema ni kwamba mwenyekiti ambaye ana uwezo mkubwa kuliko chama amewaopa offer ya yeye kukunua magari matatu ambayo yanatakiwa na chama kwa gharama kadhaa kisha chama kitamrudishia fedha zake. Ingekuwa sawa na swala la Mwakyembe kama Mbowe angefungua au kuwa na biashara ya kuuza magari..

Na kabla ya yeye au chama kuyanunua magari hayo ombi limepita ktk kamati inayotakiwa kupitisha makubaliano hayo na ndipo Mbowe akanunua hayo magari na kuwauzia chama. Na wala hii sii mara ya kwanza kwa Mbowe kutumia fedha zake kisha chama kikamrudishia kwa awamu kutokana na kwamba chama hakina credit nzuri ya kupata mikopo mikubwa ya kimaendeleo hasa ukizingatia kwamba kila hatua ya Chadema hukutana na vizingiti..

Muhimu kwako wewe na mimi ni kutazama gharama za hayo magari, uwezo wa chama na njia zipi ambazo chama ingetumia badala ya kuendelea kumtumia Mbowe kwa sababu mimi na wewe hatufahamu ni nguvu gani huyu Mbowe kaiweka katika kukiimarisha chama kama vile watu hapa JF wasivyojua kina Maxence wanavyosumbuka kuiweka tovuti hii hewani. na wepesi sana wa kulaumu na kutukana kwamba JF ni tovuti ya Umma lakini pia wazito kujitolea kwa fedha..

Hata wakati wa TANU kuna watu wengi sana walijiuliza mchango wa John Rupia, Rajan, Virani na kina Dossa kwa mtazamo finyu wa kimaslahi wakati wanajua fika kwamba pasipo msaada mkubwa wa kifedha, chama hicho kisingeweza kusimama na Chadema kama chama bado kabisa kinahitaji nguvu kubwa ya kifedha toka kwa matajiri na hakika Mbowe ni mfano mzuri sana isipokuwa wengi tunajiuliza maswali ya inda na uchovu kufikiria tu kwamba Mbowe ambaye ni mchagga (steriotype), hawezi kufanya haya pasipo kuwepo maslahi ya kifedha..sasa sijui kama JK , Lowassa na Rostam nao ni wachagga maana hoja imebadilika toka Ukabila kwenda Ufisadi kutafsriwa kwa kabila..

Kikubwa zaidi kwa watu kama mimi na wewe ni kutazama UFISADI umefanyika wapi lakini ufisadi hauwezi kuwa uwakilishi wa mwenyekiti ktk manunuzi ya magari ambayo chama inayahitaji isipokuwa hawana uwezo kifedha kununua mapya au hata chakavu kwa bei poa kama iliyowakilishwa..Ufisadi ikiwa na maana ya UHARIBIFU iwe wa fedha au kudhoofisha ndilo somo kubwa zaidi lakini pale kwenye kukineemesha chama haiwezi kuwa ni Ufisadi..

- Bob wewe ninakuheshimu sana I mean you better than this bro, this is below your usual haliteteeki hili mkuu wangu, please! Mwenyekiti wa chama cha siasa hawezi kukiuzia chama chake malori yake machakavu it is just out of the line!

William @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom