George Maige Nhigula Jr.
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 470
- 149
- Thread starter
- #401
- Bob vipi conflict of interest hapo kwa Mwenyekiti kukiuzia chama chake mwenyewe anachokiongoza magari yake binafsi, I mean mbona Mwakyembe tulimshambulia sana hapa kwenye kuhusika na umeme na kamati ya Richmond? au Chadema hawaguswi na hizi standards?
ES!
Kumbuka chama hakikuwa na uwezo wa fedha hapo nyuma kununua hayo magari kama vyama vingi vya upinzani Tanzania vilivyo taabani kifedha, Lakini kwa nia njema ya kutaka kukisaidia chama ili kiweze kujieneza na kutoa ushawishi kwa umma mwenyekiti alijitolea kununua magari hayo na vifaa hivyo, ambavyo vimekuwa msaada mkubwa kwenye kampeni za chadema all across the country, na ilikuwa investment nzuri kwa chama, sasa ccm hawawezi kupenda kuona wapinzani wao wanajijengea uwezo wa kuwafikia wananchi wengi hivyo wanaanzisha fitina kuwakatisha tamaa watu wenye nia njema ya kukisadia chama ili kijijengee uwezo wa kujiendesha na chama kinapofanikiwa ni lazima kuwalipa wale wote waliojitolea kwa mali zao binafsi. Hii ni common sense