Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Chonde chonde, Nape anachafua mambo. Majigambo ya nini? sisi tunataka kuona vitendo na ahadi lukuki za ccm zikitekelezwa na maisha ya wanainchi yanakuwa bora. Hatuwezi kukupima kwa kubwata hovyo hovyo tu. Kwanza kauli zako za ukabila zinakigawa chama badala ya kukiimarisha. Nakushauri utulie na kutumia akili badala ya kusema kila linalofika mdomoni mwako. Enzi za propaganda tupu na kurithishana madaraka zimekwisha, usidhani kuwa kama baba yako aliweza na wewe utaweza, we want results and not empty words

Nape kapiga Ikulu na sasa watu wanatapa tapa. Jana mtu mmoja alitaka kupata orodha ya viongozi wote wa CDM katika Sekretarieti, Kamati Kuu, Halmashauri Kuu pamoja na uhusiano uliopo kati ya wabunge wa viti maalum na baadhi ya viongozi. Kilichotokea ni kwamba thread ile imeshapotezewa!
 
mkuu bruce lee, tueleze kwenye chama chenu kwani changuzi nyingi hukubwa na matatizo mengi licha ya kuwa madarakani kwa miaka 50 Mpaka mkafikia kuwa uwa viongozi wengine..kama huna kumbukumbu nijulishe nikukumbushe..
 
Hoja ijibiwe kwa hoja. Owenya, Kiwelu, Lyimo, Ndesa, Lissu na dada yake, Zitto na dada yake, Slaa na mke wake na wengine wengi. Hiki ndicho tunachokihitaji kwa chama mbadala na chenye kuleta matumaini kama CDM? Hapa hawajapata ridhaa itayowapa fursa ya uteuzi katika taasisi mbalimbali. Hali itakuwaje? Tutamkumbuka Shitambala!
 
wakibosho, wamarangu na wamachame bado mko CCM..nilitegemea muwe mesharudisha kadi au muchome moto hizo kadi na takataka zote zenye harufu ya ccm maana msitegemee kuombwa msamaha na ****** au msemaji wake nape..maana alianza kwa kuwatuka watu wa kazikazini mkaa kimya akaona nyie mazoba akaona sasa amerudia tena au hammuelewi? Anasema nyie watu kazikazini hamfai kuongoza nchi hii..
naomba uimfikishie salam nape kwamba anumwa ugonjwa wa kupooza akili
 
...shida ya watanzania si ukabila ..BALI NI WIVU Tu......mara nyingine utafikiri kuwa wachagga wanabaguliwa lakini kumbe ni wivu tu wanawaonea.....na huo wivu si kwa mchaga tu....mtu yeyote akiwa na maendeleo kidogo basi wanamuonea wivu.....

...hali hii inayoendelea ..inawafanya wachagga hata wale walio ndani ya ccm waonekane wako pale kujipendekeza...wivu huu umepanuliwa hadi kwa makabila yenye ukaribu na wachagga ..yaani Makabila ya Kasikazini...hata imefikia watu wanakaa kikao na mtoto wa rais akiwamo wanasema kuwa mwaka 2015 hatutaki rais toka kaskazini...this is too much!

Ha ha ha ha
Huu wivu akiusema Mkapa wa ccm, mnamtupia mawe. Inabidi mtuambie si unit inayotakiwa kutumika.
 
Tatizo la NApe ni kwamba anumwa ugonjwa wa kuppoza akili UOTE=malkiory;1968833]Sasa uchagga upo wapi hapa? Halima Mdee mwenyewe ni Mpare![/QUOTE]
 
Wakuu mimi nawaombeni mwenye orodha ya zile ahadi 68 alizoahidi Kikwete wakati wa kampeni aiweke hapa ile orodha ili tuanze kuangalia ni kitu gani kimefanyika, kuliko kumjadili huyu mpumbavu Nape, kwa sababu alianza na kelele za mapacha watatu sasa single imeshaexpire kabla haijafika sokoni, sasa hivi anataka kulukia vitu hasivyovijuwa, kazi ya chama kinachounda serikali ni kutimiza ahadi zake na kuleta maisha bora. PERIOD. Mshahara wa Dr Slaa mimi utanisaidia nini? kwani Dr Slaa ni mtumishi wa serikali? hapa ndipo utakapopata jibu kwa nini orodha ya division zero inaongezeka nchini. pls wadau anaeweza kuisearch ile orodha ya ahadi za kikwete ipo humu. thread inaitwa JK AWEKEWE JEDWALI LA AHADI ZAKE.

AHADI - ALIZOTOA KIKWETE WAKATI WA KAMPENI 2010.
  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
Remote Control ya Nape ninayo mimi hapa. Nipeni hela nibonyeze kitufe niwaambie kesho ataongea nini manake sio yeye bali tunamwambia sasa ongea hiki. Si ndio tunaomlipa
 
Ukweli ni kuwa Chama cha Mapinduzi kimeishiwa kila kitu. Ukiona chama kilicho na serikali kinaingia kwenye malumbano wakati hali ya nchi inazidi kudidimia kwa umasikini,ujinga,maradhi,rushwa,ufisadi nk ujue kimefikia mwisho wa uwezo wake na maisha yake.
Kuna sababu gani ya Nape na CCM kujibizana na CDM kwa maneno wakati vitendo vya uadilifu,kuleta maendeleo na haki kwa Raia wangevifanya kwa kiwango cha juu lingekuwa jibu tosha mbele ya wananchi? Hivi wanafikiri wananchi ni wajinga kiasi kwamba hawawezi kutofautisha porojo na ukweli? Wajibu wa Chama Tawala ni kuisimamia kikamilifu Serikali ili itimize wajibu wake kwa wananchi lakini CCM ni tofauti,wao ni porojo na kulinda wezi na wala rushwa.
 
niliogopa kuipigia kura chadema hata mie nilisikia ya wachaga, na wanavyojipenda sijui wakiashinda sie wengine tutakaa wapi, watanunu kila kitu chetu, chadema wan kazi ya ziada kujivua gamba hili, wanaochangia waache kujifanya hawalijui hili.....
CHADEMA = WACHAGA
 
Ha ha ha ha
Huu wivu akiusema Mkapa wa ccm, mnamtupia mawe. Inabidi mtuambie si unit inayotakiwa kutumika.

Ni kweli watanzania wana wivu tena ..I Supported mkapa..na ndio maana angalau yeye alifanikiwa kwa kuwa aliona hilo..wivu wa kike....that is it...kaa hata mitaani mtu akifanikiwa tu kubadili nguo na chakula ....utasikia ..aah anaringa tu yule.....badala ya hao wenye chuki nao kujitahidi..WIVU MZURI NI WIVU WA MAENDELEO..

Just imagine mtu hutaki kulima ..hujaomba shamba ukanyimwa ...au ukakosa ukaenda mahali yalipo..yet huyo huyo akiona mwenzake anavuna anamchukia ...why....tuache wivu!!

Namuonea huruma sana huyu ndugu yetu Nape. Kwanza yeye mwenyewe alikiwa kinara wa kuiponda CCM. Lakini alipopewa madaraka tu akazibwa mdomo. Hiyo inatuonyesha wanamapinduzi kuwa yeye shida yake kubwa ni cheo wala si mtetezi wa kweli wa Watanzania.
 
bwana mdogo nape ni sawa na ushuzi ambao unapoanza unakuja kwa mbwembweee,ila kadiri upepo unapokuja ushuzi hupoteaaaa kabisaaa.
 
Eeka Mangi, aika mae/mbe, naomba usiturudishe nyuma kwenye historia ya kupigania uhuru na mchango wa Mangi Mkuu, Thomas Marealle, sio tuu aliomba uhuru wa Wachagga peke yake, bali pia alimhujumu Mwalimu Tanganyika isipate uhuru!. Mangi Mkuu alikuwa kibaraka wa Wakoloni Waingereza. Waingereza walitumia ule utawala wa indirect rule kwa kuwakweza machifu kwa kila aina ya favours ikiwemo kupewa makazi London, yeye na familia yake kuwa favoured at the expense ya the masses.

Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote hata huu wa kikabila, lakini pia nalaani baadhi ya makabila kujiona bora zaidi kuliko mengine. Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa favourate regions kwa mkoloni kutokana na zao la biashara la kahawa. Kutokana na jina lako, utakuwa unaifahamu vizuri Kilimanjaro, hebu pandisha njia ya Machame au Marangu kupitia Marangu Mtoni, hapo unaambiwa ni kijijini mgombani, ni mambo ya lami mpaka milangoni, mahekalu ya ghorofa yaliyoshehenezwa ma satelite dishes mpaka na AC.

Pata nafasi ukavitembelee vijijini vya Singida, Dodoma au Tandahimba, ile lami ya Kibongoto ni afadhali mara mia. Unaamini kuna mikoa kama Mtwara na Lindi ilikuwa ni vumbi mpaka mjini, Mkapa ndio amepeleka lami juzi juzi tuu!. Sikumbuki tena nyumba za nyasi Moshi, mpaka banda la ng'mbe ni bati, huku wenzao Dodoma, hata nyasi ya kuezekea ni issue wanaezekea matope (tembe) halafu tunazungumzia usawa.

Nimesema kweli Tanzania hatuna ukabila wa kuzungumza, bali kuna ukabila mbaya zaidi ndani ya mioyo ya watu wa makabila yenye ukabila!.
Acha porojo,wachagga nao pia wako tofauti baina yao!Na si wachagga wote wanatokea maeneo uliyoyataja.Kuna Kibosho,Rombo,Uru nk.Na pia ndio maana umesikia kuwa mkoa wenye kuikubali chadema zaidi ni Shinyanga,ambapo nyie na kina Nape mnadai ni kwa wachagga.Ulee upuuzi wa kubana maendeleo ya wengine ili uyahamishie kwingine ni dhana ya kipuuzi inayoturudisha nyuma kimaendekeo.Hayo maeneo yenye umasikini si kwasababu eti maeneo ya wachagga yana maendeleo.Ni ukosefu wa kufikiri unatukupeleka huko.Unataka kumaanisha kuwa wachagga wameyanyonya maeneo mengine na makabila mengine na sasa ndio maana kuna umasikini?Badala ya kuwalaumu wanaowatawala.Ujinga ni shida!Maeneo ambayo hayapati maendeleo pesa zao zinaliwa na mafisadi.Shida ni mafisadi na ccm na si wachagga acheni pumba.
 
Binafsi nimekuwa nikifuatilia kwa makini malumbano yanayoendelea baina ya Nape na Chadema kwa upande mwingine. Kifupi ningependa kuona baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba kinazungumzia matatizo yanayowakera wananchi na jinsi ya kuyatatua, ningefurahi zaidi kama Katibu Mwenezi mpya Nape angejifunza kwanza na kuwasoma wananchi wanahitaji nini na wanatarajia kitu gani kabla ya kurukia kujibizana na Chadema ambacho hakina chochote cha kupoteza zaidi ya maneno.

CCM kama chama tawala kina mengi ya msingi ya kuwaambia wananchi zaidi ya mshahara wa Slaa, mfano Nape angesema 'serikali ya CCM inajitahidi na itaendelea kujitahidi kuwapunguzia mzigo wananchi na kwa kuanzia tumepunguza bei ya sukari' hiyo inge-sound louder than kuzungumzia mshahara wa mtu mmoja ambao hata ukipunguzwa hauwezi kuwasaidia wananchi wa kawaida, katika hali hiyo hata kama Chadema wangepinga hilo la bei kupungua kuwa ni wao wamesababisha still Nape angekuwa kwenye safe side kulitetea kuwa limefanywa na serikali ya CCM inayowajali watu wake.

Nape ana mengi sana ya kuzungumzia zikiwemo ahadi za CCM wakati wa kampeni na utekelezaji wake, wasiwasi wangu akiendelea na mtindo huu watu hawatatofautisha CCM ya zamani na hii mpya iliyojivua gamba juzi na matokeo yake watu watazidi kukichukia chama badala ya kurusha imani.

Nape waeleze wananchi watarajie nini kutoka kwenye ahadi hizi.......achana na malumbano yasiyo na tija.

AHADI ZA CCM WAKATI WA KAMPENI 2010.

  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
haahahahahaha mkuu ahadi hazitekelezeki! pili ccm hawajivua wala kuvaa gamba watu wamebaidlishana tu nafasi za uongozi ndani ya chama
 
Kuna baadhi zinatekelezeka mfano ahadi ya Bajaji 400 ni baadhi tu ya ahadi zilizoanza kutekelezwa hilo ndilo lilitakiwa kuongelewa na Nape ili Chadema wakanushe.
 
Mkuu unayo ongea ni kweli kama tungekuwa na vyama sahihi vinavyo fuata siasa sahihi kwa ajili ya masilahi sahihi yani ya wananchi.

Lakini ilivyo sasa, ni ushauri wako hauko sahihi yani ni sawa na watu wawili wanaopigana mmoja unamfunga kamba asirushe ngumi lakini mwingine unamruhusu kuwa huru na akimrushia ngumi ya uso aliyefungwa, wewe mwenyewe uliyemfinga unacheka tena bila siri, ha ha ha ha ha na kumwambia aliyefungwa unaona jamaa anafahamu kurusha ngumi vizuri, amekupa moja ya uso.
 
Correct, those are the promise you made to wananchi and they expect your delivery, dont play defensive as by so docNu doing you are giving credit to chadema and for sure ccam can not perish and cannot fight with slab the very inteligent man and name cannot at all
 
Back
Top Bottom