Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Tuletee full list ya Kamati Kuu na Baraza Kuu tulinganishe. Hawa ndo haswa wenye CHAMA na wenye maamuzi ya mwisho, si sekretarieti. Sekretariet ni vijana wa kazi wanaofanya kazi walizotumwa na bosi ambaye ni KAMATI KUU na BARAZA KUU.

BADO DAMU YA UCHAGA INANUKA NDANI YA CHADEMA.[/QUOTE

CCM katika sekretarieti ya watu sita wataty wanatoka Singida: NAPE, CHILIGATI, MWIGULU
 
MODERATORS OR WHATEVER U CALL YOURSELF mnakandamiza demokrasia na uhuru wa watu kutoa mawazo yao,sioni LOGIC ya thread yangu " MAKABILA HAYA HAYAFAI KUPEWA KUONGOZA NCHI: NYERERE" kuidumbukiza katika thread ya Nape na uchaga! my thread is an independet thread that needs its own space and critical contribution,kuingiza huku ni either kutaka kupindisha ukweli au kuipotezea kabisa ili watu wasijue kinachoendelea! sasa nawaomba it is better muifute kabisa au nitairudisha upya mwenyewe! lasivyo tutaonana wabaya humu ndani! this is totaly against ur ethics coz the issue of Nyerere is different from NAPE! And if u read carefully the comments u will notice two different views concerning the two threads
 
- Siasa ni mchezo mchafu sana, ukiona hoja hafifu ni muhimu sana kutoijibu hasa kwenye siasa za taifa, ukianza kukurupuka kujibu kwa hasira na haraka za ajabu, inaweza ikaishia kuleta hisia nyingi sana mojawapo ikiwa unajaribu kuficha nini? Kama ni pumba kwa nini kutojibu ili wenye akili waone aliyenazo na asiyenazo!

- Siasa sometimes ni mitego kuliko ukweli!

FMEs!
 
Nataka muelewe kuwa haya maneno siyo ya Nape. Ukisikia mtoto anasema kitu nyeticha familia elewa kuwa mazungumzo hayo yalikuwa ya baba na mama. Sishangai hata kidogo. Nape amekuwa vuvuzela tu la kupigia mbiu na wala siyo yeye kamwe. CCM wanalijua hili fika! Na hata vyeo na madaraka wanavyopewa watu wa kabila hilo ni kuwahonga tu ili ionekane kuwa wako pamoja. Kiukweli wachaga wanaonekana tishio hata ndani ya CCM na wanawaogopa. Uoga huu sijui unatokana na nini ila historia inaweza kuwa imejirudia!
Mwalimu alilijua na aliwaheshimu wachaga kwa harakati! Wakati huo Nyerere aliwahi kukutana na Mangi Marealle UN akidai Uhuru wa wachaga! Nyerere alichukulia hili kama watu hatari sana! Sitoshangaa mbegu hii ikiendelea kuwepo CCM! Mwalimu ilibidi awe rafiki na Mangi Marealle! Nani asiyejua kuwa hata typewriter ya kwanza na secretary wa kwanza wa mwalimu alipewa na Mangi Marealle.
So taratibu wanaanza kuibua vile vi-genetic vilivyojengeka tangu zamani.
Nape ni muathirika wa wachaga na sipoangalia watammaliza maana vita aloanzisha hataimaliza dawa tu ni kuomba radhi kwa wachaga!
 
Nafikiri wengi tumeshuhudia katika awamu hii ya nne ya uongozi wa nchi yetu mambo mengi ambayo watanzania hawakuyazoea yameanza kujitokeza na mojawapo likiwa ni la siasa za udini na hivi sasa unaingia ukabila. Kauli kama hizi zimekuwa zikianzishwa na viongozi waandamizi wa ccm dhidi ya vyama vya upinzani baada ya kuona kuwa ccm inakosa mvuto kwa jamii ya watanzania. Huko ni kutapatapa kwani watanzania sasa hawataki bla bla ila wanataka maendeleo endelevu na sio siasa za makundi, udini, ukabila, visasi, ufisadi kama ccm walivyozoea kuwagawa watanzania.
 
MODERATORS OR WHATEVER U CALL YOURSELF mnakandamiza demokrasia na uhuru wa watu kutoa mawazo yao,sioni LOGIC ya thread yangu " MAKABILA HAYA HAYAFAI KUPEWA KUONGOZA NCHI: NYERERE" kuidumbukiza katika thread ya Nape na uchaga! my thread is an independet thread that needs its own space and critical contribution,kuingiza huku ni either kutaka kupindisha ukweli au kuipotezea kabisa ili watu wasijue kinachoendelea! sasa nawaomba it is better muifute kabisa au nitairudisha upya mwenyewe! lasivyo tutaonana wabaya humu ndani! this is totaly against ur ethics coz the issue of Nyerere is different from NAPE! And if u read carefully the comments u will notice two different views concerning the two threads
Ukabila wako uishie hukohuko nyumbani kwako.
 
Nataka muelewe kuwa haya maneno siyo ya Nape. Ukisikia mtoto anasema kitu nyeticha familia elewa kuwa mazungumzo hayo yalikuwa ya baba na mama. Sishangai hata kidogo. Nape amekuwa vuvuzela tu la kupigia mbiu na wala siyo yeye kamwe. CCM wanalijua hili fika! Na hata vyeo na madaraka wanavyopewa watu wa kabila hilo ni kuwahonga tu ili ionekane kuwa wako pamoja. Kiukweli wachaga wanaonekana tishio hata ndani ya CCM na wanawaogopa. Uoga huu sijui unatokana na nini ila historia inaweza kuwa imejirudia!
Mwalimu alilijua na aliwaheshimu wachaga kwa harakati! Wakati huo Nyerere aliwahi kukutana na Mangi Marealle UN akidai Uhuru wa wachaga! Nyerere alichukulia hili kama watu hatari sana! Sitoshangaa mbegu hii ikiendelea kuwepo CCM! Mwalimu ilibidi awe rafiki na Mangi Marealle! Nani asiyejua kuwa hata typewriter ya kwanza na secretary wa kwanza wa mwalimu alipewa na Mangi Marealle.
So taratibu wanaanza kuibua vile vi-genetic vilivyojengeka tangu zamani.
Nape ni muathirika wa wachaga na sipoangalia watammaliza maana vita aloanzisha hataimaliza dawa tu ni kuomba radhi kwa wachaga!

- Confession?

Eeka Mangi, aika mae/mbe, naomba usiturudishe nyuma kwenye historia ya kupigania uhuru na mchango wa Mangi Mkuu, Thomas Marealle, sio tuu aliomba uhuru wa Wachagga peke yake, bali pia alimhujumu Mwalimu Tanganyika isipate uhuru!. Mangi Mkuu alikuwa kibaraka wa Wakoloni Waingereza. Waingereza walitumia ule utawala wa indirect rule kwa kuwakweza machifu kwa kila aina ya favours ikiwemo kupewa makazi London, yeye na familia yake kuwa favoured at the expense ya the masses.

Siungi mkono ubaguzi wa aina yoyote hata huu wa kikabila, lakini pia nalaani baadhi ya makabila kujiona bora zaidi kuliko mengine. Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa favourate regions kwa mkoloni kutokana na zao la biashara la kahawa. Kutokana na jina lako, utakuwa unaifahamu vizuri Kilimanjaro, hebu pandisha njia ya Machame au Marangu kupitia Marangu Mtoni, hapo unaambiwa ni kijijini mgombani, ni mambo ya lami mpaka milangoni, mahekalu ya ghorofa yaliyoshehenezwa ma satelite dishes mpaka na AC.

Pata nafasi ukavitembelee vijijini vya Singida, Dodoma au Tandahimba, ile lami ya Kibongoto ni afadhali mara mia. Unaamini kuna mikoa kama Mtwara na Lindi ilikuwa ni vumbi mpaka mjini, Mkapa ndio amepeleka lami juzi juzi tuu!. Sikumbuki tena nyumba za nyasi Moshi, mpaka banda la ng'mbe ni bati, huku wenzao Dodoma, hata nyasi ya kuezekea ni issue wanaezekea matope (tembe) halafu tunazungumzia usawa.

Nimesema kweli Tanzania hatuna ukabila wa kuzungumza, bali kuna ukabila mbaya zaidi ndani ya mioyo ya watu wa makabila yenye ukabila!.
 
Juzi Nape ameliponda kabila fulani! Naam Hakuishia Kuliponda hilo kabila Bali alienda Mbali Kuwakashifu Viongozi wote waliowahi kutokea CCM tangu kuanzishwa kwa Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa. Nape alinukuliwa akisema hivi

" CHADEMA imezoea kuinoea CCM kwa sababu CCM haijawahi kupata Mtu Makini wa Kujibu Hoja zao sasa nimepatikana mimi Nape wanaanza kutapatapa"

Nape anamaanisha kwamba Tangia kuundwa Kwa Mfumo wa vyama vya Siasa hajawahi kutokea Kiongozi Mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, yaani waliokuwepo walikuwa "VILAZA' kwa lugha za kisasa

Hebu tujikumbushe hawa Viongozi ambao kwa Nape si Chochote si Lolote yaani ni Magamba

1: Alli Hassan Mwenyi ( Aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM)
2: Benjamini William Mkapa ( Aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM)
3: Jakaya Mrisho Kikwete ( Mwenyekiti wa sasa wa CCM na Baba yake Riziwani)
4: Philip Mangula ( Aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM)
5: John Samwel Malecela aka Tingatinga ( Aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti CCM pia ni Baba yake Wiliam) Naye ni Kilaza Machoni mwa Nape
5: Yusuph Makamba ( Baba yake January Makamba) Alikuwa Katibu Mkuu, huyu naye alikuwa ni Kilaza ( siyo maoni yangu ni Maoni ya Nape)
6: Pius Msekwa
7: John Chiligati

Hao ni Miongoni Mwa Watu Wazito ndani ya CCM ambao wametuhumiwa na Nape kwamba walishindwa Kujibu Hoja za CHADEMA na kupelekea Chama Cha Mapinduzi Kuchukiwa na Uma

Mnasemaje?
 
- Msemaji wa chama ni Katibu mwenezi, labda ungeorodhesha waliowahi kushika hiyo nafasi in the past na ndio hasa hoja ya Nape na ni valid, kwamba makatibu wenezi wa CCM waliopita wameiangusha sana CCM! I mean tungejuaje Mwenyekiti kukiuzia chama chake malori mabovu kwa hela zote hizo za ajabu sana kwa watetezi wa wanyonge?

Mbona hili Lilishazungumzwa na CHADEMA wenyewe kabla hata Nape hajaja na Kile alichokiita SIRI?
 
Ni hatari kwa taifa kugawa watu kiimani,na kikabila, machafuko yaliyotokea nchi za jirani tumeyaona, wachaga sio wengi kiasi cha kutishia usalama wa nchi, lakini si wachache kiasi cha kupuuzwa

Nape angeongea tu kuwa hakuitaka CDM kwasababu ya sera mbovu au mapenzi aliyonayo kwa CCM na si ukabila, hii ina maana kina Mwanri na wengineo walioshinda kwenye majimbo ya kilimanjaro kwenye 'wachagga' wengi ni mapandikizi huko CCM ?

Watanzania kadhaa wenye nyadhifa muhimu serikalini na nje watokanao na kabila hilo ambao si wana CDM wakueleweje ?

All in all u need to go back to the drawing board and re-visit ur strategy ...

Kila chama lazima kina waanzilishi hivyo kama walioanzisha au waasisi ni kabila fulani haijalishi maana kwenye manifesto yao watanzania wote wanakaribishwa kujiunga na hata sasa mwitikio wa watanzania kwa chama hiki mpaka kuwa chama kikuu cha upinzani, ni kasi inayoumiza vichwa!

CDM ilijizolea kura nyingi hata wasiko wachagga...imeingiza idadi kubwa ya wabunge katika miji mikubwa nchini ambao si wachagga..mwitikio wa chama hiki ni mkubwa na CCM kabla hakijawa chama kikuu cha upinzani kisikosoe kwa weak strategies kama hizi..

CDM songa mbele, I want to live long enough to witness CCM being the main opposn party in TZ!!
 
Back
Top Bottom