Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

George Maige Nhigula Jr.

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
470
149
Tuwapuuze hawa ccm na DIVISIVE PROPAGANDA Zao, kwani wachaga sio watanzania? wachaga hwastahili kushiriki kwenye siasa za nchi hii? kwanini chadema kama ni chama cha wachaga hawakushinda majimbo mengi au yote kilimanjaro? na wasukuma wa shinyanga ndo wamekipa chadema wabunge wengi? hivi huyu Nape ndo mtu makini ccm wanaejidai? mtu ambae yupo tayali kuwagawa watanzania kwa makabila, eti yeye sio mchaga! this is an offensive statement na hata wachaga wengi ambao ni wana ccm need to call him out immediately!
Sekretariati ya CHADEMA​

Sekretariati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
slaa_sk.jpg

Katibu Mkuu
Mhe. Willibrod Peter Slaa (62)
Kutoka Karatu, Arusha
slaa@chadema.or.tz

Naibu Katibu Mkuu - Bara
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (35)
Kutoka Mwandiga, Kigoma Kaskazini
zito_sk.jpg

hamad_sk.jpg

Naibu Katibu Mkuu - Zanzibar
Hamad Mussa Yussuf (33)
Kutoka Kaskazini Pemba
hamad@chadema.or.tz

Mkurugenzi Fedha na Utawala
Anthony Bahati Calisti Komu (47)
Kutoka Moshi vijijini, Kilimanjaro
komu_sk.jpg

sk_mrema.jpg

Mkurugenzi Bunge na Halmashauri
John Mrema (33)
Kutoka Vunjo, Kilimanjaro
mrema@chadema.or.tz

Mkurugenzi Habari na Uenezi
Erasto Kichamo Tumbo (46)
Kutoka Kisesa, Shinyanga
tumbo_sk.jpg

msafi_sk.jpg

Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)
Msafiri Abdulrahaman Mtemelwa (47)
Kutoka Rufiji, Pwani
mtemelwa@chadema.or.tz

Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
john_sk.jpg

ben_sk.jpg

Mkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzo
Singo Kigaila Masalamakali Benson (44)
Kutoka Kibakwe, Dodoma
kigaila@chadema.or.tz

Mkurugenzi Sheria
Tundu Lissu (42)
Kutoka Ikungi, Singida
lissu_sk.jpg

sk_jumbe.jpg

Afisa Baraza la Wanawake
Mary Jumbe (64)
Kutoka Mtwara
mary@chadema.or.tz

Afisa Kampeni na Uchaguzi
Suzan Kiwanga (49)
Kutoka Kilombero, Morogoro
suzi_sk.jpg

ali_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Ali Omar Chitanda (41)
Kutoka Nachingwea, Lindi
chitanda@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Baraza la Vijana
Regia Mtema (25)
Kutoka Ifakara, Morogoro,regia@chadema.or.tz
regia_sk.jpg

mhon2_sk.jpg

Afisa Mwandamizi Mambo ya Nje
Mhonga Said Ruhwanya (32)
Kutoka Mwamgongo, Kigoma
mhonga@chadema.or.tz

Afisa Mwandamizi Sheria
Halima James Mdee (33)
Kutoka Same, Kilimanjaro
mdee_sk.jpg

sk_dadi.jpg

Afisa Oganizesheni na Mafunzo
Dady Igogo (26)
Kutoka Rorya, Mara
dady@chadema.or.tz

Afisa Ulinzi na Usalama
Hemed Sabula (43)
Kutoka Mwanza
sabula_sk.jpg

blank.gif

Afisa Utawala
Zacharia L. Jorojig (61)
Kutoka Mbulu, Manyara
 
safi sana tunahitaji watu wanaoongea kwa data kama wewe, lkn hapo kwa mnyika sahihisha kidogo
 
Tuletee full list ya Kamati Kuu na Baraza Kuu tulinganishe. Hawa ndo haswa wenye CHAMA na wenye maamuzi ya mwisho, si sekretarieti. Sekretariet ni vijana wa kazi wanaofanya kazi walizotumwa na bosi ambaye ni KAMATI KUU na BARAZA KUU.

BADO DAMU YA UCHAGA INANUKA NDANI YA CHADEMA.
 
Posts : 11
Thanks0Thanked 1 Time in 1 Post

Rep Power : 0
 
Kwanza Kabisa nikiri kwamba Sifahamu Kabila la Nape Nnauye, silifahamu kwa Sababu hata siku moja sikuwahi kufikiri kwamba Kabila la Mtu laweza kuwa Kigezo cha Mtu kuongoza au Kujiunga na Chama au Kuajiriwa na Taasisi

Nape Ametukana Wachagga

1: Kwamba Wachaga siyo watu wa Kuchangama nao ndio maana Hakujiunga CHADEMA kwa sababu aliamini ni Chama cha WACHAGGA.

2. Kwamba Ili Uwe CCM ni Lazima kwanza Usiwe Mchagga, kwamba Wachaga wa CCM wanajipendekeza

Hayo ni Maneno yaliyotoka Kinywani Mwa Kiongozi wa Juu wa CCM ( Chama kinachotawala) Ambaye Mwenyekiti wake alsema kwamba Linasemwa na Nape ni Lake ( yeye Mwenyekiti)

Nape Unaweza kuja clear na Kueleza ni nini Hasa hawa Watanzania Wenzetu wamekukosea?

Je WACHAGGA wakiamua Kurevenge Utaweza kweli kuhimili?

Je huna Mpango wa Kwenda Moshi kuvua Magamba Chama Chako?

Je Uko Tayari Kuwaomba radhi WACHAGGA wote?

Pole Nape Vita uliyoianzisha unaifanya kuwa Ngumu sana
 
Tuletee full list ya Kamati Kuu na Baraza Kuu tulinganishe. Hawa ndo haswa wenye CHAMA na wenye maamuzi ya mwisho, si sekretarieti. Sekretariet ni vijana wa kazi wanaofanya kazi walizotumwa na bosi ambaye ni KAMATI KUU na BARAZA KUU.

BADO DAMU YA UCHAGA INANUKA NDANI YA CHADEMA.

Kwa hiyo wana ccm kupitia kwa Nape mmetangaza vita na wachaga kutoshiriki siasa za nchi hii au wachaga wakiwa ccm ndo sio hatari? mmeanza kuwabagua wachaga, who is next? Wanyakyusa, wasukuma, wakurya? ccm mnapotea kwenye ramani ya siasa za nchi hii taratibu
 
AU MAGU SIKU HIZI IKO MKOA WA KILIMANJARO, KAKA USIONE KILA MTU MWEUPE UKADHANI NI MCHAGA , INAONYESHA MNAWAOGOPA SANA WACHAGA EEH, KUNA SIKU HATA BINTI YANGU ALIVYO MWEUPE MTAANZA KUMUSEMA MCHAGA
lAKINI PIA HATA WACHAGA NI WATU WA NCHI HII TENA WAMEISAIDIA SANA , HATA KATIKA ORODHA YA MAFISADI SERIKALINI WALE JK ELEVEN NAFIKIRI NI MRAMAB TU NDIYO MCHAGA PALE , MLE KUN BALALI, MKAPA , KIKWETE,KINJE........, JE HAO NAO NI WACHAG?
 
Kwanza Kabisa nikiri kwamba Sifahamu Kabila la Nape Nnauye, silifahamu kwa Sababu hata siku moja sikuwahi kufikiri kwamba Kabila la Mtu laweza kuwa Kigezo cha Mtu kuongoza au Kujiunga na Chama au Kuajiriwa na Taasisi

Nape Ametukana Wachagga

1: Kwamba Wachaga siyo watu wa Kuchangama nao ndio maana Hakujiunga CHADEMA kwa sababu aliamini ni Chama cha WACHAGGA.

2. Kwamba Ili Uwe CCM ni Lazima kwanza Usiwe Mchagga, kwamba Wachaga wa CCM wanajipendekeza

Hayo ni Maneno yaliyotoka Kinywani Mwa Kiongozi wa Juu wa CCM ( Chama kinachotawala) Ambaye Mwenyekiti wake alsema kwamba Linasemwa na Nape ni Lake ( yeye Mwenyekiti)

Nape Unaweza kuja clear na Kueleza ni nini Hasa hawa Watanzania Wenzetu wamekukosea?

Je WACHAGGA wakiamua Kurevenge Utaweza kweli kuhimili?

Je huna Mpango wa Kwenda Moshi kuvua Magamba Chama Chako?

Je Uko Tayari Kuwaomba radhi WACHAGGA wote?

Pole Nape Vita uliyoianzisha unaifanya kuwa Ngumu sana
mwenye akili na asikie maneno haya asemayo nnape
 
namuunga mkono mheshimiwa executive, ccm wanakaribia kufutika kwenye ramani ya siasa za nchi hii. Wameanza kwa wachaga, wanyakyusa wananyemelewa nyemelewa, watafuata wameru, then wasukuma, kisha watakuja wamburu.....hizi ni sia sa zakufilisika kimawazo.

Nape is just bull shit, he doesn't have the qualities he pretends to have. He is at the fore of smear politics.......na kimsingi asubiri kumalizika kisiasa once anayemtegemea atakapomaliza muda wake.

Siasa za ccm ni za kurithishana....makamba, nnauye, kikwete, masauni, karume, mwinyi, kawawa, malecela, mongela.....

Watanzania hatuyataki hayo.....tunaomba atuache tuendeshe maisha yetu mabovu, yaliyoharibiwa na ccm........five decades since independece, the country rings on extrem poverty, it's a huge shame....go to hell ccm.
 
Nape usitukane wakunga si unategemea kwenda Kilimanjaro kufanya mikutano utawaeleza nini watu wa Moshi ambao huwataki, acha matusi kijana spidi yako itakufikisha pabaya.
 
Kwanza Kabisa nikiri kwamba Sifahamu Kabila la Nape Nnauye, silifahamu kwa Sababu hata siku moja sikuwahi kufikiri kwamba Kabila la Mtu laweza kuwa Kigezo cha Mtu kuongoza au Kujiunga na Chama au Kuajiriwa na Taasisi

Nape Ametukana Wachagga

1: Kwamba Wachaga siyo watu wa Kuchangama nao ndio maana Hakujiunga CHADEMA kwa sababu aliamini ni Chama cha WACHAGGA.

2. Kwamba Ili Uwe CCM ni Lazima kwanza Usiwe Mchagga, kwamba Wachaga wa CCM wanajipendekeza

Hayo ni Maneno yaliyotoka Kinywani Mwa Kiongozi wa Juu wa CCM ( Chama kinachotawala) Ambaye Mwenyekiti wake alsema kwamba Linasemwa na Nape ni Lake ( yeye Mwenyekiti)

Nape Unaweza kuja clear na Kueleza ni nini Hasa hawa Watanzania Wenzetu wamekukosea?

Je WACHAGGA wakiamua Kurevenge Utaweza kweli kuhimili?

Je huna Mpango wa Kwenda Moshi kuvua Magamba Chama Chako?

Je Uko Tayari Kuwaomba radhi WACHAGGA wote?

Pole Nape Vita uliyoianzisha unaifanya kuwa Ngumu sana
Huu upuuzi wa NApe usiachwe nyinyi CDM ni lazima uongozi wa njuu uitishe mkutano wa waandishi wa habari kulaani hii simu inayoenezwa na huyu kijana
 
Mimi Nawashauri CDM wasichukue Muda Mwingi kushindana na Nape. CDM ina nguvu ya Umma Nyuma yake na yeyote anayeenda Kinyume na CDM anaenda Kinyume na Nguvu ya Umma na Nguvu ya Umma hakika Itamhukumu

Sipendi ila Natabiri Nape Kupopolewa na Mawe kwa Baadhi ya Maeneo
 
Back
Top Bottom