Nape achezea udongo kwenye mazishi ya Membe

Nape achezea udongo kwenye mazishi ya Membe

AMbaye hakuathirika na utawala wa Jpm ni wale masikini kindaki ndaki...
Siamini kama kila mwenye pesa aliathirika na utawala wa JPM, kila utawala una wale watu ambao wanakuwa upande wa neema.

Hata sasa chini ya utawala wa mama yenu, ni nini kimebadilika? Waliofunga maduka pale Kariakoo wakilalamika kuathiriwa na mfumo, wote ni masikini unaowazidi kipato?

Jifunzeni kujadili mada kwa kuleta hoja zenye mashiko.
 
Mm sijawahi kuwa na team achilia mbali ku support chama cha wezi mafisadi na wezi wa kura. Napenda utu na ungwana.sipendi ukabila, udini wala chuki zitokanazo na mambo ya kishamba
Mliokuja mjini juzi na kuijua ccm kupitia jf ndo mna nongwa nayo na ushamba mwingi!
Utatema nyongo yote safari hii!


Team wema hawafi mna hali mbaya sana
 
Sasa huyo JPM alikuwa anahujumiwa na kila mtu jamani? Mbona hawakumhujumu mkapa, jk, mwinyi na nyerere? Kwann yeye tu kila kitu anahujumiwa? Alimhujumu kwenye mambo gani?
Kwani Mwinyi, Mkapa na Jk nao walikuwa wana deal na mafisadi?
 
Huyo Membe mbona alishamaliza kazi yake? Na alikua akiishi maisha yake?
Unataka kuaminisha watu kuwa kifo ni laana, je kama kifo ni laana, vipi kuhusu mtu aliyefia madarakani tena akiwa ametoka kushinda uchaguzi. Uchaguzi ambao alihakikisha wabunge wote wanaopita ni wabunge wa kwake watakaomsaidia kybadili katiba ili aongezewe muda wa kutawala?
Muwe mnatumia akili, siyo mnatoka kuka.,zwq mnakimbilia kuanzisha nyuzi
Naona una hasira sana!

Wema hawafi

Mungu kaaamua ugomvi

Bahari imetuli

Mungu fundi

Hatasimama tena
 
Kwani Mwinyi, Mkapa na Jk nao walikuwa wana deal na mafisadi?
Hujui chochote kuhusu historia ya Tanzania wewe unaweweseka tu.
Huyo aliyesili na mafisadi amewafunga wangapi? Mbona ndiyo kwanza Ali.fukuzq CAG na kuteka na kuua waandishi?
Alitunga sheria ngapi za kudhibiti ufisadi zaidi ya kutunga sheria za kudhibiti hata takwimu?
Unamsifia mtu kupambana na ufisadi wakati yye alikuwa fisadi?
Mbona aliuza nyumba za umma kwa mahala zake kina KABULA? Mbona alijiuzia maghorofa mawili ya NHC Pale dodoma kwa bei ya kutupa?
Amka wewe ccm hakuna aliyemsafi labda atoke mbinguni
 
Waambieni hao Watu wazuri hata wakifa bado Wanaishi.

Membe kazi aliyotumwa na Mungu aliikamilisha hivyo muda ulifika, je kuna aliyechoma Mbuzi na kunywa bia/ Togwa?

Binadamu na Usolo/ Usoro tuna vinasaba nao ndio maana watoto wachanga huupenda na asisahau kwa watoto ufalme wa Mungu ni wao.

Kaitwa na Mungu yes, Maisha yake yalisababisha watu wasage meno! No

Kumfananisha Membe na yule mwovu ni kuonyesha upungufu mkubwa wa kimaaadili, kiakili na mwono hafifu.

Nawasilisha
Ndio hapo sasa upumbavu wenu unapoonekana!

Kwanini sasa kamkumwambia Makamba amuweke membe kwenye kundi la watu wema? Maana wema hawafi ndio maana kinana bado anadunda.
 
Back
Top Bottom