Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,802
- 38,847
Familia yako na ukoo wako hapo bavicha ndio unaiita mamilioni?Mamilioni tulimshukuru Mungu kutuondolea lile subiani la kihutu.
Familia yako na ukoo wako hapo bavicha ndio unaiita mamilioni?Mamilioni tulimshukuru Mungu kutuondolea lile subiani la kihutu.
Mtafute zitto akwambie cha kufanya kama ulimpenda sana huyi mwema wakoKwa hiyo unafikiri wewe tu ndiyo mwenye kazi?
Uovu wa Membe ni nini?
Nami niutaje uovu wa yule bwana Mwenda kulima.
Hata membe alikuwa anajiona yeye mwema sana hata kufa!Niteme nyongo kwa watu waliojingishwa nao wakakubali hadi kuwa wajinga wa kihalaiki??. Hembu jitathmini
Dada hizi hasira zako unamtolea nani hapa?Hujui chochote kuhusu historia ya Tanzania wewe unaweweseka tu.
Huyo aliyesili na mafisadi amewafunga wangapi? Mbona ndiyo kwanza Ali.fukuzq CAG na kuteka na kuua waandishi?
Alitunga sheria ngapi za kudhibiti ufisadi zaidi ya kutunga sheria za kudhibiti hata takwimu?
Unamsifia mtu kupambana na ufisadi wakati yye alikuwa fisadi?
Mbona aliuza nyumba za umma kwa mahala zake kina KABULA? Mbona alijiuzia maghorofa mawili ya NHC Pale dodoma kwa bei ya kutupa?
Amka wewe ccm hakuna aliyemsafi labda atoke mbinguni
Utaishia hivyo hivyo tu lakini haimanishi una kitu kichwani. Mm siandiki kwa hasira naandika vitu nina uhakika navyo mana vilishajadiliwa huko nyuma ukiwa kijijini kwenu usopweni hukoDada hizi hasira zako unamtolea nani hapa?
Waandishi hata baba yako Kikwete aliua, unamkumbuka Mwangosi wewe?
Kama vipi kazikwe pembeni ya kaburi lake
Kila mtu ana haki ya kuandika aaminichoSiamini kama kila mwenye pesa aliathirika na utawala wa JPM, kila utawala una wale watu ambao wanakuwa upande wa neema.
Hata sasa chini ya utawala wa mama yenu, ni nini kimebadilika? Waliofunga maduka pale Kariakoo wakilalamika kuathiriwa na mfumo, wote ni masikini unaowazidi kipato?
Jifunzeni kujadili mada kwa kuleta hoja zenye mashiko.
Uovu wa Membe ni nini?Mbona unahangaika sana wewe taja tu kwani utakuwa wa kwanza!!?
Hawa waliopo wamerithi mfumo wa kikatili na kinyonyaji Toka awamu iliyopita na kikosi kazi.Siamini kama kila mwenye pesa aliathirika na utawala wa JPM, kila utawala una wale watu ambao wanakuwa upande wa neema.
Hata sasa chini ya utawala wa mama yenu, ni nini kimebadilika? Waliofunga maduka pale Kariakoo wakilalamika kuathiriwa na mfumo, wote ni masikini unaowazidi kipato?
Jifunzeni kujadili mada kwa kuleta hoja zenye mashiko.
Na wakifa WanaishiNdio hapo sasa upumbavu wenu unapoonekana!
Kwanini sasa kamkumwambia Makamba amuweke membe kwenye kundi la watu wema? Maana wema hawafi ndio maana kinana bado anadunda.
Zito ndiyo nani?Mtafute zitto akwambie cha kufanya kama ulimpenda sana huyi mwema wako
Haki ya kuandika uaminicho unayo hilo sijakataa, ila hicho unachokiamini kikiwa hakina ukweli wowote ni lazima kikosolewe utakapokileta public kama hivi.Kila mtu ana haki ya kuandika aaminicho
Hii inathibitisha ni kwa namna gani wamekuwa dhaifu kiuongozi, mikaka miwili tangu JPM aondoke kwanini hawajarekebisha huo mfumo?Hawa waliopo wamerithi mfumo wa kikatili na kinyonyaji Toka awamu iliyopita na kikosi kazi.
Kazikwe nae basiUtaishia hivyo hivyo tu lakini haimanishi una kitu kichwani. Mm siandiki kwa hasira naandika vitu nina uhakika navyo mana vilishajadiliwa huko nyuma ukiwa kijijini kwenu usopweni huko
Muulize membeZito ndiyo nani?
Ulishawahi kuliona hili likitokea wapi? Hata like mara ya pili kwangu. Unaweweseka bila factsKazikwe nae basi
Basi kanywe nae chai maana anaishiNa wakifa Wanaishi
Hatimaye jambazi sugu Membe limezikwa,lilimua balozi wa libya,kiko wapi?Aliyefariki ni Ben Membe, hizi threads mnazozijaza hapa JF sio uungwana. Ben Membe alikuwa mtu mwema, ameacha famili na marafiki. Hizi dhihaka kuhusu msiba wake sio za kuziendekeza.
BTW, kufurahia kifo cha Magufuli pia haikuwa sawa kwa mtu yeyote. Kila mtu atakufa eventually.
Leo unaweza kuwa unaandika ujinga hapa alafu kesho msiba utahamia nyumbani kwako. Tujifunze utu na uungwana.
Ndo hivyo mkuu..kila mtu abaki na anachoamini..Haki ya kuandika uaminicho unayo hilo sijakataa, ila hicho unachokiamini kikiwa hakina ukweli wowote ni lazima kikosolewe utakapokileta public kama hivi.
Unless ubaki na unachokiamini kwenye kichwa chako mwenyewe.