Nape achezea udongo kwenye mazishi ya Membe

Nape achezea udongo kwenye mazishi ya Membe

Yaani Afe Membe halafu iwe Mungu kamjibu Nape?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na hawa wengine wanaokufa kila siku Mungu humjibu Nani? Ni Mungu yupi huyo anayejibu Kwa vifo?

Na kifo cha bwana Yule Mungu alikuwa anamjibu Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]? Wafuasi wa bwana Yule mnachekesha sana
Aliyeamuliwa ugomvi naye
 
Yaani Afe Membe halafu iwe Mungu kamjibu Nape?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na hawa wengine wanaokufa kila siku Mungu humjibu Nani? Ni Mungu yupi huyo anayejibu Kwa vifo?

Na kifo cha bwana Yule Mungu alikuwa anamjibu Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]? Wafuasi wa bwana Yule mnachekesha sana
We Marytina sikia,

Si nyie mlisema kifo cha jiwe mungu wenu kajibu maombi yenu?

Basi na kifo cha kachero wako mungu kajibu maombi
 
Kwa hiyo jirani yako akikukosea akipatwa na tatizo wewe unashangilia kwa sababu alikukosea? Your too low brother. Kama kina nyerere wangeeneza chuki kama alivyoeneza magufuli nchi hii watu wangeshauana kitambo wala yeye asingekuwa raisi
Safari hii team wema hawafi mtataga dagaa!

Yani leo ndio unaona hivyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na bado


Mungu kaamua ugomvi
Mungu fundi
Bahari imetulia
Hatasimama tena
Wema hawafi
 
Sasa aliyekwambia membe alikuwa mzuri ni nani? Unasumbuliwa na sonon tu huna lolote ujualo wewe. Wamekufa mitume na maisha Ynaendelea wewe unasononeka na kufiwa na wachunga NG'ombe.
Badala ya Magufuli ulitaka mungu amchukue nani ili uone ingekuwa sawa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Utalia sana tu
 
Safari hii team wema hawafi mtataga dagaa!

Yani leo ndio unaona hivyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na bado


Mungu kaamua ugomvi
Mungu fundi
Bahari imetulia
Hatasimama tena
Wema hawafi
Mm sijawahi kuwa na team achilia mbali ku support chama cha wezi mafisadi na wezi wa kura. Napenda utu na ungwana.sipendi ukabila, udini wala chuki zitokanazo na mambo ya kishamba
Mliokuja mjini juzi na kuijua ccm kupitia jf ndo mna nongwa nayo na ushamba mwingi!
 
Aliyefariki ni Ben Membe, hizi threads mnazozijaza hapa JF sio uungwana. Ben Membe alikuwa mtu mwema, ameacha famili na marafiki. Hizi dhihaka kuhusu msiba wake sio za kuziendekeza.

BTW, kufurahia kifo cha Magufuli pia haikuwa sawa kwa mtu yeyote. Kila mtu atakufa eventually.

Leo unaweza kuwa unaandika ujinga hapa alafu kesho msiba utahamia nyumbani kwako. Tujifunze utu na uungwana.
Hayo maneno ungeyatoa pia nyakati za msiba wa JP!!kinyume na hapo waache watu wale huleeeee!(wafurahi) ,ukiona Hawa wanafurahi ,ujue waliumizwa pia kwa wale wengine waliofurahi, kwa hiyo ni Kama nao wamejibiwa maombi yao.
 
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.

Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.

Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.

Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.

Kweli Mungu fundi.

View attachment 2624587
Wasukuma bhana
 
Sasa wewe nitakujibu nn hata jina unajiita la mtu. Umejawa na mahaba yaliyochanganyika na ukabila, udini, ukanda na ujinga wa kihalaiki? Mkuu unashangilia kifo cha membe? Membe alikuwa nani kwenye hii nchi mzee? Huyu si alikuwa wazir mstaafu tu? Alishawahi kumkosea nani? Sasa. Kafiwa nape au familia ya membe?
Elimu, elimu, elimu
Sasa inatofauti gani na mwanamke kushangilia bwana wake akipigwa na vibaka tu kwa sababu huwa anampiga na yete?
Nchi imepatwa na nn hii????
Mkuu wafuasi wa jiwe wanajipoozea machungu kwa Membe kitu ambacho hakihusiani wala kufanana hata kidogo ..Jpm na Membe hawafanani...
 
Kwa akili yako hii ni ngumu kuelewa. Hata unachoandika hakieleweki. Wakati mwingine hata ukiishia kusoma tu inatosha. Si lazima uandike.
Sasa sheiza tukianza kujadili kuhusuakili za watu hapa wewe utakuwa kundo gani? Huwezi elewa ninayoandika kwa sababu hayana maana kwa wote au kwasababu sikuungi mkono ujinga N chuki zalo unazopandikiza miongoni mwetu.
Wewe ni KASUKU TU unaimba mwimbo wiwote mkuu.
 
Back
Top Bottom