mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,639
101% Truth !Unaweza usiipate hiyo nafasi ya kushangilia. Waweza kutangukia wewe kuliko unaowasubiria. Kifo ni fumbo hakiangalii umri, cheo, utajiri au namna nyingine yoyote uwayo.
101% Truth !Unaweza usiipate hiyo nafasi ya kushangilia. Waweza kutangukia wewe kuliko unaowasubiria. Kifo ni fumbo hakiangalii umri, cheo, utajiri au namna nyingine yoyote uwayo.
Kama huwezi kusema membe alifanya nn kibaya zaidi ya kugombea uraisi na baadae kudukuliwa na waliomdukua kuonekana mashujaa basi wewe ni mwenye chuki zitokanazo na ujinga wa kihalaiki tu. Ungekuwa rational ungeweka wazi alifanya nn?Kumbe hujui Membe alifanyanini!!? Basi nimeishia hapa. Mabeberu wanasema "Don't argue with a fool people might not notice the difference"
One good turn deserves the other !!Sasa wewe nitakujibu nn hata jina unajiita la mtu. Umejawa na mahaba yaliyochanganyika na ukabila, udini, ukanda na ujinga wa kihalaiki? Mkuu unashangilia kifo cha membe? Membe alikuwa nani kwenye hii nchi mzee? Huyu si alikuwa wazir mstaafu tu? Alishawahi kumkosea nani? Sasa. Kafiwa nape au familia ya membe?
Elimu, elimu, elimu
Sasa inatofauti gani na mwanamke kushangilia bwana wake akipigwa na vibaka tu kwa sababu huwa anampiga na yete?
Nchi imepatwa na nn hii????
Hakumaliza kazi. Yaani ile tarehe 11 jioni ungemfata saa 11 jioni umuambie kesho saa tatu asubui we ni maiti, Membe angekufungulia kesi ya madai jioni ile ile.Huyo Membe mbona alishamaliza kazi yake? Na alikua akiishi maisha yake?
Unataka kuaminisha watu kuwa kifo ni laana, je kama kifo ni laana, vipi kuhusu mtu aliyefia madarakani tena akiwa ametoka kushinda uchaguzi. Uchaguzi ambao alihakikisha wabunge wote wanaopita ni wabunge wa kwake watakaomsaidia kybadili katiba ili aongezewe muda wa kutawala?
Muwe mnatumia akili, siyo mnatoka kuka.,zwq mnakimbilia kuanzisha nyuzi
Ndiyo maana ya alikua akiishi maisha yake.Hakumaliza kazi. Yaani ile tarehe 11 jioni ungemfata saa 11 jioni umuambie kesho saa tatu asubui we ni maiti, Membe angekufungulia kesi ya madai jioni ile ile.
Masuti suti na matai tai huwa yanaficha mambo mengi !!Ila kale ka clip bhana jamaa alibugi sana, kwamba Mungu kaamua ugomvi na bahari imetulia. Hivi unaweza kumshirikisha Mungu kwenye haya mambo ya kibinadamu? Hivi unaweza kumpangia Mungu kwamba watu wazuri ni fulani na fulani na hawatakiwi kufa!?
Ni kawaida sana kwa binadamu yule uliyekuwa ukimuona ni mwema sana kwenu mtu huyo huyo huwa anaonekana ni muovu kwa wengine !Waambieni hao Watu wazuri hata wakifa bado Wanaishi.
Membe kazi aliyotumwa na Mungu aliikamilisha hivyo muda ulifika, je kuna aliyechoma Mbuzi na kunywa bia/ Togwa?
Binadamu na Usolo/ Usoro tuna vinasaba nao ndio maana watoto wachanga huupenda na asisahau kwa watoto ufalme wa Mungu ni wao.
Kaitwa na Mungu yes, Maisha yake yalisababisha watu wasage meno! No
Kumfananisha Membe na yule mwovu ni kuonyesha upungufu mkubwa wa kimaaadili, kiakili na mwono hafifu.
Nawasilisha
Membe ni mwovu na ni shetani mkubwa hata Mungu anajua hivyo!! Hakuna cha kumpambapamba ukweli ndio huo hata Nape anajua hivyo na ataendelea kulialia kama mtoto mdogo kwa kujua uovu waliofanya.Waambieni hao Watu wazuri hata wakifa bado Wanaishi.
Membe kazi aliyotumwa na Mungu aliikamilisha hivyo muda ulifika, je kuna aliyechoma Mbuzi na kunywa bia/ Togwa?
Binadamu na Usolo/ Usoro tuna vinasaba nao ndio maana watoto wachanga huupenda na asisahau kwa watoto ufalme wa Mungu ni wao.
Kaitwa na Mungu yes, Maisha yake yalisababisha watu wasage meno! No
Kumfananisha Membe na yule mwovu ni kuonyesha upungufu mkubwa wa kimaaadili, kiakili na mwono hafifu.
Nawasilisha
Ndio maana tumeshangazwa na kifo cha mtu mzuri.Waambieni hao Watu wazuri hata wakifa bado Wanaishi.
Membe kazi aliyotumwa na Mungu aliikamilisha hivyo muda ulifika, je kuna aliyechoma Mbuzi na kunywa bia/ Togwa?
Binadamu na Usolo/ Usoro tuna vinasaba nao ndio maana watoto wachanga huupenda na asisahau kwa watoto ufalme wa Mungu ni wao.
Kaitwa na Mungu yes, Maisha yake yalisababisha watu wasage meno! No
Kumfananisha Membe na yule mwovu ni kuonyesha upungufu mkubwa wa kimaaadili, kiakili na mwono hafifu.
Nawasilisha
Membe alikuwa na uovu gani?Ni kawaida sana kwa binadamu yule uliyekuwa ukimuona ni mwema sana kwenu mtu huyo huyo huwa anaonekana ni muovu kwa wengine !
Taja uovu wa Membe nami niutaje wa yule mwovuMembe ni mwovu na ni shetani mkubwa hata Mungu anajua hivyo!! Hakuna cha kumpambapamba ukweli ndio huo hata Nape anajua hivyo na ataendelea kulialia kama mtoto mdogo kwa kujua uovu waliofanya.
Kwa sababu hata wakifa huwa Wanaishi.Ndio maana tumeshangazwa na kifo cha mtu mzuri.
#watuwazuriwamefiwa#
Wewe endelea kutaja tu! Mimi sina muda huo! Niko busy na kazi zangu ila uzuri Mungu ni fundi kama ameweza kutuondolea Membe aliyekuwa akifikiri yeye ataishi milele. Tunasubiri wengine sasa.Taja uovu wa Membe nami niutaje wa yule mwovu
Watu wazuri hawafi sijui imekuaje huyu Membe amekufa!!Kwa sababu hata wakifa huwa Wanaishi.
Kitendo Cha kushangazwa maana unadhani hakustahili?
Kila nafsi itaonja umauti kumbuka
Mamilioni tulimshukuru Mungu kutuondolea lile subiani la kihutu.Nilikuwa sijui kama ni wengi waliumizwa na kifo cha kipenzi chetu JPM.
Kifo cha Membe ni kama kimeibua upya maumivu ya watu juu ya kifo cha JPM.
Ninaandika huku nikitokwa na machozi. Namkumbuka JPM.
Tunaoendelea kumlilia JPM tunyooshe mikono hapa.
Kwa hiyo unafikiri wewe tu ndiyo mwenye kazi?Wewe endelea kutaja tu! Mimi sina muda huo! Niko busy na kazi zangu ila uzuri Mungu ni fundi kama ameweza kutuondolea Membe aliyekuwa akifikiri yeye ataishi milele. Tunasubiri wengine sasa.
" NAPE ndiye aliyemuweka JPM madarakani" ?? 😂Nape ndiye aliyemuweka madarakani JIWE kwa wizi wa kura kule masaki akishirikiana na Kinana na January , nyie chawa muwe na heahima hata ya uongo basi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app