Nape achezea udongo kwenye mazishi ya Membe

sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
7,565
11,480
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.

Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.

Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.

Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.

Kweli Mungu fundi.

Screenshot_20230516_221548_YouTube.jpg
 
Kwani JPM hakuwa binadamu?
Mungu kumchukua ilikuwa makosa kwahiyo?
Bwana ametoa na bwana ametwaa haijaeleweka?
Ujinga wa kihalaiki utawaisha lini nyie watu? Unalingqnishaje kifo cha membe na magufuli?
Kwamba kila aliyechukiwa na magufuli baasi ni mbaya kwa wote hii ni aina nyingine ya ujinga mpya mjini
 
Futa rudia tena kuandika ili ueleweke.
 
Aliyefariki ni Ben Membe, hizi threads mnazozijaza hapa JF sio uungwana. Ben Membe alikuwa mtu mwema, ameacha famili na marafiki. Hizi dhihaka kuhusu msiba wake sio za kuziendekeza.

BTW, kufurahia kifo cha Magufuli pia haikuwa sawa kwa mtu yeyote. Kila mtu atakufa eventually.

Leo unaweza kuwa unaandika ujinga hapa alafu kesho msiba utahamia nyumbani kwako. Tujifunze utu na uungwana.
 
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.

Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.

Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.

Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.

Kweli Mungu fundi.

#watuwemawamefiwa#View attachment 2624593
na yy wamzike pembeni yake
 
Aliyefariki ni Ben Membe, hizi threads mnazozijaza hapa JF sio uungwana. Ben Membe alikuwa mtu mwema, ameacha famili na marafiki. Hizi dhihaka kuhusu msiba wake sio za kuziendekeza.

BTW, kufurahia kifo cha Magufuli pia haikuwa sawa kwa mtu yeyote. Kila mtu atakufa eventually.

Leo unaweza kuwa unaandika ujinga hapa alafu kesho msiba utahamia nyumbani kwako. Tujifunze utu na uungwana.
kazikwe naye wewe nyumbu nyie
 
Kwani JPM hakuwa binadamu?
Mungu kumchukua ilikuwa makosa kwahiyo?
Bwana ametoa na bwana ametwaa haijaeleweka?
Ujinga wa kihalaiki utawaisha lini nyie watu? Unalingqnishaje kifo cha membe na magufuli?
Kwamba kila aliyechukiwa na magufuli baasi ni mbaya kwa wote hii ni aina nyingine ya ujinga mpya mjini
Kazi unayo. Unapambana nao kila kona.
 
Aliyefariki ni Ben Membe, hizi threads mnazozijaza hapa JF sio uungwana. Ben Membe alikuwa mtu mwema, ameacha famili na marafiki. Hizi dhihaka kuhusu msiba wake sio za kuziendekeza.

BTW, kufurahia kifo cha Magufuli pia haikuwa sawa kwa mtu yeyote. Kila mtu atakufa eventually.

Leo unaweza kuwa unaandika ujinga hapa alafu kesho msiba utahamia nyumbani kwako. Tujifunze utu na uungwana.
Mngewaambia mapema walipokuwa wanaimba nyimbo za bahari imetulia, Mungu ameamua ugomvi, magufuli hataamka tena, viongozi wawe wanapimwa akili..pengine leo wasingekuwa wanachezea vumbi peke yao wakiwa wapweke makaburini. Wangepata watu wa kulia nao na kuwalilia.

Mungu hajaribiwi. Kifo ni ufundi wa Mungu.
 
Wasio amini kuna Mungu ni hao ndugu zako wema ambao leo wamebaki kucheza na vumbi la eneo la makaburi.
Usichokijua ni kwamba wema haulingani na uovu! Wamekufa viongozi wengi sana. Ulishawahi sikia au kuona watu wakishangilia? Kwanini yeye? Wazazi wa Azory, Ben Sanane, Mawazo, na wale waliokotwa kwenye viroba ilikuwa lazima washangilie maana muovu aliondoka! Sasa unajifariji kwa kifo cha Membe? Membe alikuwa nani hapa nchini? Alimuua nani? Alimteka nani? Alipora pesa za nani? Alibambikiza kesi kina nani? Ujinga wa kihalali unawasumbua nyie.
 
Aliyefariki ni Ben Membe, hizi threads mnazozijaza hapa JF sio uungwana. Ben Membe alikuwa mtu mwema, ameacha famili na marafiki. Hizi dhihaka kuhusu msiba wake sio za kuziendekeza.

BTW, kufurahia kifo cha Magufuli pia haikuwa sawa kwa mtu yeyote. Kila mtu atakufa eventually.

Leo unaweza kuwa unaandika ujinga hapa alafu kesho msiba utahamia nyumbani kwako. Tujifunze utu na uungwana.
Tumefika pabaya mkuu. Kuna majamaa yanamsubiria mtu fulani akate moto ili yafanye sherehe. Sad!

Screenshot_20230516_083848_WhatsApp.jpg
 
Usichokijua ni kwamba wema haulingani na uovu! Wamekufa viongozi wengi sana. Ulishawahi sikia au kuona watu wakishangilia? Kwanini yeye? Wazazi wa Azory, Ben Sanane, Mawazo, na wale waliokotwa kwenye viroba ilikuwa lazima washangilie maana muovu aliondoka! Sasa unajifariji kwa kifo cha Membe? Membe alikuwa nani hapa nchini? Alimuua nani? Alimteka nani? Alipora pesa za nani? Alibambikiza kesi kina nani? Ujinga wa kihalali unawasumbua nyie.
Kama umeumia sana pembeni ya kaburi la Membe bado kuna nafasi ya watu hata watatu. Nenda kaombe uzikwe nae.
 
Kazi unayo. Unapambana nao kila kona.
Mimi naandika tu. Wewe unatisha watu ndio una kazi. Mimi sijawahi kuitwa mnyonge nikaitika nyie mlioitwa wanyonge ndio mnalaani hata kazi za mungu kwa viumbe wake?
Nilikuwa sijui kama ni wengi waliumizwa na kifo cha kipenzi chetu JPM.

Kifo cha Membe ni kama kimeibua upya maumivu ya watu juu ya kifo cha JPM.

Ninaandika huku nikitokwa na machozi. Namkumbuka JPM.

Tunaoendelea kumlilia JPM tunyooshe mikono hapa.
Ujinga wa kihalaiki unakusumbua sana wewe na kundi lenu. Wazazi wako wanakunywa mqji ya tope kwa umasikini uliotopea huko vijijini unamlilia bilinear? Wewe ulienda shule kweli? Ukiishia kidato cha ngapi? Ulifaulu au uliiba mitihqni ili ushinde? Huyo JPM alikusaidia nn cha mno na kukutoa hatua moja kwenda nyingine kimaisha?
 
Back
Top Bottom