Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,022
- 28,078
Baki nacho mwenyewe, sio kuja kuongopea watu hapa.Ndo hivyo mkuu..kila mtu abaki na anachoamini..
Baki nacho mwenyewe, sio kuja kuongopea watu hapa.Ndo hivyo mkuu..kila mtu abaki na anachoamini..
Kwani nikweli alichezea mavumbi?Umeenda msibani badala ya kuungana na ndugu kwenye maombolezo wewe unafanya kazi ya kutafuta umbea wabongo bwana, Sasa si bora ungebaki kwenu tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe huwa mnaumia. Nikajua mnagongesha cheers makaburini.
Kuondoa Gugu ndani ya shamba hakufanywi kwa siku moja maana hata ukilikata juu mizizi ipo chini.Hii inathibitisha ni kwa namna gani wamekuwa dhaifu kiuongozi, mikaka miwili tangu JPM aondoke kwanini hawajarekebisha huo mfumo?
Kazikwe pembeni mwa membe pumbavu wewe usitupigie makelele,kama wewe ulikuwa umpendi jpm usitulazimishe tulipende hilo li mzoga linalooza rondo.Mimi naandika tu. Wewe unatisha watu ndio una kazi. Mimi sijawahi kuitwa mnyonge nikaitika nyie mlioitwa wanyonge ndio mnalaani hata kazi za mungu kwa viumbe wake?
Ujinga wa kihalaiki unakusumbua sana wewe na kundi lenu. Wazazi wako wanakunywa mqji ya tope kwa umasikini uliotopea huko vijijini unamlilia bilinear? Wewe ulienda shule kweli? Ukiishia kidato cha ngapi? Ulifaulu au uliiba mitihqni ili ushinde? Huyo JPM alikusaidia nn cha mno na kukutoa hatua moja kwenda nyingine kimaisha?
...mtu mnafiki sana. Kwenye kuapa tumeona anashika biblia. Huku mtaani kila fursa ikitokea utaona kavaa kanzu na kibandiko. Hivi hua anasali wapi huyu mtu tukamfanyie maombi🤣😂Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.
Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.
Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.
Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.
Kweli Mungu fundi.
View attachment 2624587
Kama ingekuwa hivyo, watu wangekuwa wanazaliwa, wanakufa, wakiwaacha watakatifu wa Mungu wakiendelea kuishi.Ndio maana tumeshangazwa na kifo cha mtu mzuri.
#watuwazuriwamefiwa#
Wewe ni nani hata usubirie wengine wafw?Wewe endelea kutaja tu! Mimi sina muda huo! Niko busy na kazi zangu ila uzuri Mungu ni fundi kama ameweza kutuondolea Membe aliyekuwa akifikiri yeye ataishi milele. Tunasubiri wengine sasa.
Kamuulize mzee Makamba alisema watu wazuri hawafi. Hivyo sisi wazuri hatufi mkuu. Pia muulize Nape aliyesema Mungu ameshaamua ugomvi. Hivyo kuuondoka kwa Membe, Mungu ameshaamua ugomvi pia!Wewe ni nani hata usubirie wengine wafw?
Mwenye uweza wa kusubiria wengine ni Baba wa mbinguni pekee maana yeye ndiye aliyetoa kipimo cha kila mtu cha kuishi hapa Duniani.
Unaodhani unawasuburia ushuhudis maziko yao, wanaweza kuyashuhudia maziko yao.
Kumbuka pamoja na mapungufu yetu yote na huruma kubwa ya Mungu wetu, Baba yetu hafurahishwi na wanaoyakufuru mamlaka yake, na hapo ndipo, kwa hekima yake, mara kadhaa huonesha ukuu wake.
Fanya toba kwa kufuru hii uliyoifanya ya kusema unasuburia misiba ya wengine kama vile wewe ndiye unaogawa uhai kwa wanadamu.
Kwa nini hampendi hata kurejea kwa baadhi ya matukio?
Mtikila alimwambia Lowasa kuwa ikulu siyo hospitali, yeye aliyekuwa na afya njema yuko wapi?
Cecilia Kombani alisema kuwa Lowasa anautafuta Urais ili maziko yake yafanywe na Serikali, yeye maziko yake yalifanywa na nani?
Filikunjombe, licha ya kusaidiwa pesa nyingi na Lowasa, wakati wa kampeni akasema kuwa Lowasa amekwishachoka ndiyo maana anajinyea, yeye ambaye hakuwa amechoka, leo hii yupo?
Ufahamu kuwa wakati wote kuna watu wapo ICU, wengine hospitalini wamelazwa, na wapo watu wengi wazima kabisa, lakini cha ajabu miongoni mwa hao walio wazima kabisa huwa wapo wanaiacha Dunia huku wale waliopo hospitali wakiendelea kupigania uhai wao, na wengi hutoka wakiwa wazima.
So Jiwe alikuwa upande gani kati ya mwema au muovuTeam wema hawafi mnaomba busara?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na bado nyau nyie
Mimi nasema hata tufe dunia nzuma hakuna shida kwani kitendo cha Jiwe kufa ni zawadi tosha kabisaKamuulize mzee Makamba alisema watu wazuri hawafi. Hivyo sisi wazuri hatufi mkuu. Pia muulize Nape aliyesema Mungu ameshaamua ugomvi. Hivyo kuuondoka kwa Membe, Mungu ameshaamua ugomvi pia!
So mkuu na wewe ni masikini kwa sababu siyo fisadi? 🤣Yap.. Kwa sababu siyo mafisadi
Una maana na wewe umeshazikwa pembeni ya kaburi la mwendakuzimu?Dada hizi hasira zako unamtolea nani hapa?
Waandishi hata baba yako Kikwete aliua, unamkumbuka Mwangosi wewe?
Kama vipi kazikwe pembeni ya kaburi lake
Ukitaja hilo jina unaonekana ni mtu mnyonge kweli kweli, huyo ni mwendakuzimuHii inathibitisha ni kwa namna gani wamekuwa dhaifu kiuongozi, mikaka miwili tangu JPM aondoke kwanini hawajarekebisha huo mfumo?
Kuna na yule alitaka kumuua Lissu, kiko wapiHatimaye jambazi sugu Membe limezikwa,lilimua balozi wa libya,kiko wapi?
Zawadi kwa mama yako na mzoga wa ndugu zako!Mimi nasema hata tufe dunia nzuma hakuna shida kwani kitendo cha Jiwe kufa ni zawadi tosha kabisa
Mpinge kwa hoja ndugu?Zawadi kwa mama yako na mzoga wa ndugu zako!
Kwani yeye amenipinga kwa hoja!!?Mpinge kwa hoja ndugu?
Elezea kwa nini kifo chake sio zawadi