Nape achezea udongo kwenye mazishi ya Membe

Sasa wewe nitakujibu nn hata jina unajiita la mtu. Umejawa na mahaba yaliyochanganyika na ukabila, udini, ukanda na ujinga wa kihalaiki? Mkuu unashangilia kifo cha membe? Membe alikuwa nani kwenye hii nchi mzee? Huyu si alikuwa wazir mstaafu tu? Alishawahi kumkosea nani? Sasa. Kafiwa nape au familia ya membe?
Elimu, elimu, elimu
Sasa inatofauti gani na mwanamke kushangilia bwana wake akipigwa na vibaka tu kwa sababu huwa anampiga na yete?
Nchi imepatwa na nn hii????
We hujui Membe alimkosea nani? Mbona Membe kawakosea wengi tu.

Membe kalikosea taifa kwa kauli za ajabu baada ya kifo cha Magufuli

Membe kanyanyasa sana vijana pale lumumba waliokuwa na misimamo ya kiitikadi kama kina Ally hapi.

Ni Membe huyu huyu alitangaza ana maadui sita nchini na wajiandae kuhamia Kenya maana anaenda kuwa rais.

Ilikuwa ukitaka kuelewana na Membe basi uikane nafsi yako na uwe tayari kuambatana nae kwenye falsafa na maono yake.

Waliofanya hivyo walienda nae vizuri.
 
Bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga.
Screenshot_20230516_234116.jpg
 
Suala la kufa sio mjadala. Ni mpango wa Mungu kwa maisha ya mwanadamu. Kwenye kifo hakuna jipya.

Ila tuliwashangaa ndugu zenu kushangilia kifo cha mwenzao na kutolea matamko ya furaha kumbe wengine chaji ilibaki jiwe moja.
Kumbe unajua kwamba suala la kufa siyo mjadala maana kipo tu? Sasa kinachokushangaza na kukukimbiza kupandisha nyuzi kisa Nape kashika udongo makaburini ni nini haswa? Kwani aliyekufa ni Nape au ni Membe? Badala ya kushika udongo, wewe ulitaka Nape ashike au achezee nini hapo makaburini?

Hizi ni tabia za kikasuku tu unazoendeleza wewe na kundi lako, ambazo kimsingi zinawaonesha mlivyo na uwezo mdogo kichwani! Huwezi jadili masuala, wewe unadili watu? Sasa mtu kushika mavumbi au udongo kwenye makaburi, nalo ni jambo la kukimbia toka chooni na kupandisha uzi? Habari ni nini hapo?
 
Nilikuwa sijui kama ni wengi waliumizwa na kifo cha kipenzi chetu JPM.

Kifo cha Membe ni kama kimeibua upya maumivu ya watu juu ya kifo cha JPM.

Ninaandika huku nikitokwa na machozi. Namkumbuka JPM.

Tunaoendelea kumlilia JPM tunyooshe mikono hapa.
Wafuasi wenzako wa shetwani wamekusikia.
 
We hujui Membe alimkosea nani? Mbona Membe kawakosea wengi tu.

Membe kalikosea taifa kwa kauli za ajabu baada ya kifo cha Magufuli

Membe kanyanyasa sana vijana pale lumumba waliokuwa na misimamo ya kiitikadi kama kina Ally hapi.

Ni Membe huyu huyu alitangaza ana maadui sita nchini na wajiandae kuhamia Kenya maana anaenda kuwa rais.

Ilikuwa ukitaka kuelewana na Membe basi uikane nafsi yako na uwe tayari kuambatana nae kwenye falsafa na maono yake.

Waliofanya hivyo walienda nae vizuri.
Sasa kama haya unayosema juu ya membe ni kweli mboN hata huyo mungu wa chato alikuwa hivyo hivyo tu? Kwani nape alimkosea nn magufuli?
Makamba alimkosea nn magufuli?
Kinana alimkosea nn JPM?
Huyo membe unayemsimanga hapa alimkosea nn ?
Chuki , ghirba fitna na majungu ni sehemu ya maisha hapo lumumba . Nani msafi hapo?
 
Kwani JPM hakuwa binadamu?
Mungu kumchukua ilikuwa makosa kwahiyo?
Bwana ametoa na bwana ametwaa haijaeleweka?
Ujinga wa kihalaiki utawaisha lini nyie watu? Unalingqnishaje kifo cha membe na magufuli?
Kwamba kila aliyechukiwa na magufuli baasi ni mbaya kwa wote hii ni aina nyingine ya ujinga mpya mjini
Umelewa au umekurupuka
 
Usichokijua ni kwamba wema haulingani na uovu! Wamekufa viongozi wengi sana ulishawahi sikia au kuona watu wakishangilia? Kwann yeye? Wazazi wa
Anzory
Ben sanane
Mawazo
Na wale waliokotwa kwenye viroba ilikuwa lazima washangilie maana muovu aliondoka! Sasa unajifariji kwa kifo cha membe? Membe alikuwa nani hapa nchini? Alimuua nani? Alimteka nani? Alipora pesa zq nani? Alibambikiza kesi kina nani?
Ujinga wa kihalaiki unawasumbua nyie
Hakuna upumbavu na upuuzi na ushetani kama kumsingizia mtu ubaya na kumshutumu kwa ubaya uliomsingizia na baaadaye kumhukumu kwa ubaya unaomsingizia kuaminisha watu kuwa ni kweli aliufanya huo ubaya. Kwanza ujue pamoja na juhudi zote hizo sio kila mtu anakuamini kwa uongo unaotumia juhudi kubwa kuaminisha watu.
 
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.

Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.

Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.

Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.

Kweli Mungu fundi.

View attachment 2624587
Nape ndiye aliyemuweka madarakani JIWE kwa wizi wa kura kule masaki akishirikiana na Kinana na January , nyie chawa muwe na heahima hata ya uongo basi

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.

Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.

Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.

Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.

Kweli Mungu fundi.

View attachment 2624587
Tanzania jamani kuna watu wa ajabu sana. Pole sana ndugu yangu ulieleta mada hii.
 
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.

Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.

Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.

Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.

Kweli Mungu fundi.

View attachment 2624587
Sijakuelewa, umefurahi au umehuzunika?

Unafahamu kuwa neno "shenzi" limetokana na neno sheiza?

Unajuwa maana yake?
 
Kumbe unajua kwamba suala la kufa siyo mjadala mana kipo tu? Sasa kinachokushangaza na kukukimbiza kupandisha nyuzi kisa nape kashika udongo makaburini ninini haswa?
Kwani aliyekufa ni nape au ni membe?
Badala ya kushika udongo wewe ulitaka nape ashike/ achezee nn hapo makaburini?
Hizi ni tabia za kikasuku tu unazoendeleza wewe n kundi lako ambazo kimsingi zinawaonesha mlivyo na uwezo mdogo kichwani! Huwezi jadili masuala weee unadili watu? Sasa mtu kushika mavumbi au udongo kwenye makaburi nalo ni jambo la kukimbia toka chooni na kupandisha uzi?
Habari ni nini hapo?
Kwa akili yako hii ni ngumu kuelewa. Hata unachoandika hakieleweki. Wakati mwingine hata ukiishia kusoma tu inatosha. Si lazima uandike.
 
Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.

Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.

Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.

Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.

Kweli Mungu fundi.

View attachment 2624587
Wafuasi wa dhalim Magufuli mnaandika upumbavu mwingi utafikiri mtampunguzia adhabu huko kwenye ziwa la moto
 
Kwani JPM hakuwa binadamu?
Mungu kumchukua ilikuwa makosa kwahiyo?
Bwana ametoa na bwana ametwaa haijaeleweka?
Ujinga wa kihalaiki utawaisha lini nyie watu? Unalingqnishaje kifo cha membe na magufuli?
Kwamba kila aliyechukiwa na magufuli baasi ni mbaya kwa wote hii ni aina nyingine ya ujinga mpya mjini
......ujinga mpya mjini....[emoji106]
 
Back
Top Bottom