Iran imetangaza Mazishi ya Ali Larijani

Iran imetangaza Mazishi ya Ali Larijani

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,669
Reaction score
27,559
IRAN IMETANGAZA MAZISHI YA ALI LARIJANI

MACHI 18, 2026

FB_IMG_1773816548856.jpg
Kwa wale ambao bado wanadai kuwa ALI LARIJANI hajafa katika shambulio la anga la Israeli…

Basi leo, Machi 18, 2026, kituo cha Al Jazeera kimetoa taarifa kwamba:

"Iran wanafanya mazishi ya Ali Larijani."

Lakini pamoja na hilo, bado wapo wanaopinga taarifa hizi.
Wanasambaza video na picha zikidai kumuonyesha Larijani akiwa hai, huku wakitumia clips za AI kuhalalisha madai yao.

Cha kushangaza ni kwamba, hao hao wanatumia AI pia kudai kuwa Benjamin Netanyahu ameuawa.

Ukweli ni huu, muda ndio unaotoa majibu.
Si rahisi kuficha kifo cha mtu mkubwa kama huyu.

Picha: Al Jazeera-Machi 18, 2026 — Saa 9:05 asubuhi (Tanzania)

Soma pia Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani
 
"Ali Khamenei yuko hai. Atatoa hotuba muda si mrefu."
——> Imethibitishwa kuwa amefariki 💀
"Ali Larijani yuko hai. Atatoa hotuba muda si mrefu."
——> Imethibitishwa kuwa amefariki 💀
"Mojtaba Khamenei yuko hai. Atatoa hotuba muda si mrefu."
——> Baada ya wiki moja, bado tunasubiri ⌛
 
👽👽
 
Sote ni wafu watarajiwa.
 
Back
Top Bottom