King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,228
- 3,051
Bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga.
Mm nikazikwe na .membe namjulia wapi? Kwani na mm si nitakufa tu?Kama umeumia sana pembeni ya kaburi la Membe bado kuna nafasi ya watu hata watatu. Nenda kaombe uzikwe nae.
Ni halali unishangae kumlilia JPM. Wewe ni kundi la walamba asali na kuvuruga keki ya taifa. Huna mauamivu ya umaskini wa watanzania.Mimi naandika tu. Wewe unatisha watu ndo una kazi . Mm sijawahi kuitwa mnyonge nikaitika nyie mlioitwa wqnyonge ndo mnalaani hata kazi za mungu kwa viumbe wake?
Ujinga wa kihalaiki unakusumbua sana wewe na kundi lenu. Wazazi wako wanakunywa mqji ya tope kwa umasikini uliotopea huko vijijini unamlilia bilinear? Wewe ulienda shule kweli? Ukiishia kidato cha ngapi? Ulifaulu au uliiba mitihqni ili ushinde? Huyo JPM alikusaidia nn cha mno na kukutoa hatua moja kwenda nyingine kimaisha?
Kwa taarifa yako mimi hata shule ya msingi sikumaliza. Elimu yangu haiwezi kuwa ajenda.Mimi naandika tu. Wewe unatisha watu ndo una kazi . Mm sijawahi kuitwa mnyonge nikaitika nyie mlioitwa wqnyonge ndo mnalaani hata kazi za mungu kwa viumbe wake?
Ujinga wa kihalaiki unakusumbua sana wewe na kundi lenu. Wazazi wako wanakunywa mqji ya tope kwa umasikini uliotopea huko vijijini unamlilia bilinear? Wewe ulienda shule kweli? Ukiishia kidato cha ngapi? Ulifaulu au uliiba mitihqni ili ushinde? Huyo JPM alikusaidia nn cha mno na kukutoa hatua moja kwenda nyingine kimaisha?
Ndiyo maana basi .Kwa taarifa yako mimi hata shule ya msingi sikumaliza. Elimu yangu haiwezi kuwa ajenda.
Popoma la mbogamboga Kayafa FcKama umeumia sana pembeni ya kaburi la Membe bado kuna nafasi ya watu hata watatu. Nenda kaombe uzikwe nae.
Atakoma!! Acha Mungu amnyooshe ili aache kiburi.Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.
Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.
Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.
Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.
Kweli Mungu fundi.
#watuwemawamefiwa#View attachment 2624593
Vipi ulienda kuzika mkuu leo!!?Usichokijua ni kwamba wema haulingani na uovu! Wamekufa viongozi wengi sana. Ulishawahi sikia au kuona watu wakishangilia? Kwanini yeye? Wazazi wa Azory, Ben Sanane, Mawazo, na wale waliokotwa kwenye viroba ilikuwa lazima washangilie maana muovu aliondoka! Sasa unajifariji kwa kifo cha Membe? Membe alikuwa nani hapa nchini? Alimuua nani? Alimteka nani? Alipora pesa za nani? Alibambikiza kesi kina nani? Ujinga wa kihalali unawasumbua nyie.
Wafanyeje?Thread za ovyo zimeonezeka JF..wahusika chukueni hatua
Kusema ukweli, Nape kama anasoma haya mambo, basi amejua namna Watanzania wanamchukia, kapondwa, kapondwa Tena, kapondwa kweli🤔Kifo hakina huruma, alipata kuimba dokta Remmy Ongara.
Akionekana mwenye majonzi na haamini kilichotokea hadi sasa, Nape ameonekana akitafuta faraja japo kwa kuchezea vumbi kama mtoto wakati wa mazishi ya godfaza wake huko kijiji cha Chiponda Rondo kwa Membe.
Akiwa mpweke na asiye na kampani yoyote ya marafiki nape aliendelea kujiinamia peke yake huku kaipa mgongo kadamnasi iliyokuwa inaendelea na mazishi huku watu wakionekana kumpuuza kana kwamba sio mbunge wa huko mpaka bwana mmoja wa usalama alipoamua kumsogelea.
Hali hii imetokana na Mungu kumjibu Nape kwa haraka, kwa wakati na kwa ghafla kufuatia kiburi chake cha kibinadamu na mamlaka dhidi ya familia ya JPM, marehemu JPM na watanzania wengi waliohuzunishwa na kifo cha JPM.
Kweli Mungu fundi.
View attachment 2624587
Sasa wewe nitakujibu nn hata jina unajiita la mtu. Umejawa na mahaba yaliyochanganyika na ukabila, udini, ukanda na ujinga wa kihalaiki? Mkuu unashangilia kifo cha Membe? Membe alikuwa nani kwenye hii nchi mzee? Huyu si alikuwa Waziri Mstaafu tu? Alishawahi kumkosea nani? Sasa, kafiwa Nape au familia ya Membe?Vipi ulienda kuzika mkuu leo!!?
Ndiyo umeona leo? Kila mtu ana namna yake ya kuomboleza sasa ulitaka nape acheze na PS pale makaburini? Au aongee na simu? Umekuja mjini lini mzee?Wasio amini kuna Mungu ni hao ndugu zako wema ambao leo wamebaki kucheza na vumbi la eneo la makaburi.
Hata Mimi nilizoea mtu akifa husemwa mazuri tu Sasa Hawa wanasiasa vile walibanwa masilahi Yao wakaona mtu kufa ka ni adhabu na wao hawafi, wakawa wanashangilia na kauli mbovu, ona Sasa yamewakuta na wameumia kumbe nao wanapata uchungu eeeh, bado yule aliyesema wazuri hawafi ili aje ajue uchungu Kwa familia ya waliofiwaKabisa dada cariha. Zamani tulizoea hata mtu kama unamchukia akifa una mute. Wao wakatufungulia dunia ya kufurahia vifo. Mwendo ni huu huu hadi mwisho wa nyakati.
Tunasubiria mwingine kutoka #wazuri family.
#watuwemawamefiwa#
Suala la kufa sio mjadala. Ni mpango wa Mungu kwa maisha ya mwanadamu. Kwenye kifo hakuna jipya.Mm nikazikwe na .membe namjulia wapi? Kwani na mm si nitakufa tu?
Magufuli nilifurahiKwani JPM hakuwa binadamu?
Mungu kumchukua ilikuwa makosa kwahiyo?
Bwana ametoa na bwana ametwaa haijaeleweka?
Ujinga wa kihalaiki utawaisha lini nyie watu? Unalingqnishaje kifo cha membe na magufuli?
Kwamba kila aliyechukiwa na magufuli baasi ni mbaya kwa wote hii ni aina nyingine ya ujinga mpya mjini