Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

Je sisi wenzio tulio stuck kuishi hatutaki kufa pia hatutaki?
Hatuna hela/wala mchongo/hatuna wenza hatuna watoto..
Hatuna purpose yoyote maishani
Yani total failure...
Tufanyaje?
Cha kukushauri fanya kitakachokupa furaha ya kweli hizo hofu zote zitaondoka zenyewe ukishakua tu na furaha! Vinginevyo pambana na hio hali hata sisi pia kuna muda hatuoni thamani ya maisha ila tupo tu!
Pole kwa changamoto za maisha mkuu.
Hongera kwa kupambana, kuna siku mambo yatakaa sawa.

Asante kwa ushairi japo kitu kinachoweza kunipa hiyo furaha ya kweli sijui kama utanielewa ila ni kitu ambacho kipo nje ya uwzo wangu kukipata,ni kitu pesa haiwezi kununua hata visenti vyangu haviwezi kunisaidia nikipate ila nina hakika nikikipata ndio maisha yangu yatakua na maana, hata hivyo vyovyote iwavyo alunta continua
 
Nashindwaga kuelewa yaani bindamu tunatofautiana sana,umeshajitafuta una pesa yako alafu eti Kuna vitu vinakunyima furaha.mie ukitaja nife ata kesho,funga riziki yangu baasii.
Sawa mkuu nimekupata.
Ngojea nione jinsi ya kutumia hivi visenti kufukuza mawazo ya kijinga
 
kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it
Tuambie kwanza ni vitu gani hivi vinavyokustress
 
Pole kwa changamoto za maisha mkuu.
Hongera kwa kupambana, kuna siku mambo yatakaa sawa.

Asante kwa ushairi japo kitu kinachoweza kunipa hiyo furaha ya kweli sijui kama utanielewa ila ni kitu ambacho kipo nje ya uwzo wangu kukipata,ni kitu pesa haiwezi kununua hata visenti vyangu haviwezi kunisaidia nikipate ila nina hakika nikikipata ndio maisha yangu yatakua na maana, hata hivyo vyovyote iwavyo alunta continua
Kila mtu anaejitambua huwa anacho kilicho nje ya uwezo wake anachokitaka! Ila tambua kwamba "Its okay to not be okay"
It could have been worse..
Pole kwa changamoto za maisha mkuu.
Hongera kwa kupambana, kuna siku mambo yatakaa sawa.

Asante kwa ushairi japo kitu kinachoweza kunipa hiyo furaha ya kweli sijui kama utanielewa ila ni kitu ambacho kipo nje ya uwzo wangu kukipata,ni kitu pesa haiwezi kununua hata visenti vyangu haviwezi kunisaidia nikipate ila nina hakika nikikipata ndio maisha yangu yatakua na maana, hata hivyo vyovyote iwavyo alunta continua
 
Ngoja nikutumie namba ya mrembo mmoja akutumie zawadi kutokea London nimejuana naye fecibook
Ila mzigo hauji direct bongo unaishia kenya
Ukipata mzigo wako amini huwezi jiua mkuu
Jipe mda kiasi
 
Hii machine ya kujiua itakufaa sana
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    4.6 KB · Views: 26
Pole sana dada.

Mawazo ya kifo mara nyingi huambatana na roho wa mauti. Kila siku tenga muda wa kufanya maombi, omba Mungu akupe maisha marefu na kukuondolea roho wabaya.

Wakati wa maombi jaribu kuwaombea na ndugu pia kwa sababu roho ya ya umauti wakati mwingine huletwa na ndugu..Mwambie Mungu azuie baya lolote linalopangwa juu yako kupitia watu wako wa karibu.

Mwisho, kumbuka kuwa mafanikio unayopigania sio kwa ajili yako tu. Sisi binadamu wakati mwingine tunaweza kujiona hatuna thamani kwa sababu tumejikwaa sehemu lakini wale wanaotuzunguka wanatuona ni ALMASi kwa sababu kuna sehemu tunagusa maisha yao ya kila siku.
 
Habari wapendwa.

Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.

Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.

Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.

Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.

Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.

Muwe na weekend njema sana wapendwa.

ASANTE
Hello
Unaumwa ugonjwa unaohisi huwezi kupona? Kunantukio la aibu umekutana nalo? Sasa sikia katika yote uhai wako ndiyo wa thamani zaidi. Ukiona umeshindwa kabisaa nitafute inbox kuna watu wamaana unaweza kukutana nao live nje ya JF na mkabadilishana mawazo nao wao wakakupa uzoefu wao na jinsi walivyopota ktk kipindi kama chako.
Karibu.
 
Nashinda na kamba ilio nyongea mtu ..kabla uja jitundika nipe location
 
Kujiua ni hatari, ila kuwa depressed ni mbaya zaidi, anza kusali tembelea ndugu zako wa karibu ila nikwambie hiyo ni kawaida ya kila mwanadamu kuwa na low vibration pia jitahidi ukiwa kwenye hali hii soma au andika note au chora
 
we jitundike tu acha ujumbe

kifo changu kihusishwe na mafwele, umuachie tu msala maana naona anakwepa kwepa sana
 
Habari wapendwa.

Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.

Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.

Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.

Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.

Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.

Muwe na weekend njema sana wapendwa.

ASANTE
Piga nyeto
 
Huu mgogoro natamani uishe kwenye nafsi yako maan soon tutabaki wenyewe humu (From Psychological point of view)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom