Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

Habari wapendwa.

Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.

Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.

Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.

Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.

Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.

Muwe na weekend njema sana wapendwa.

ASANTE
Pole sn, japo umesema una tuvibaraka ila bado ukimwona msukuma guta unajidharau! taft mtu wa kiroho wakat naww ukiw tyr
 
Kwa watu wasio a dini tunasema umeandamwa na roho ya maiti inayoitaji kuvunjwa Kwa maombi ,ni hukumu lako kumueleza kiongoz wa dini Yako au mtu unaye mwamin akuombee na kuvunja roho ya mauti ndan Yako , otherwise Kuna sku utajiua kwel ,na baada ya kujiua sekunde moja ni kubwa utakua unajuta uendako
 
Kuna kitu hujasema na huo ndio mzizi wa tatizo. Huwezi kujiona hauna thamani pasipo kitu cha kukunyima hiyo thamani.. Jibu lako sio kudeal na hofu ya kujiua Ila hicho kinachokufanya utamani kujiua na bila hivyo, hakuna anaeweza kukusaidia
 
timiza mawazo yako kama vile unavyo timiza malengo yako

jiue mkuu kama unahisi baada ya kifo ni raha kama unavyo danganywa
Naona umeamua kuwa mkaki

Kujiua sio moja ya malengo yangu ndo kwanza najitahidi kuishi a healthy life style
 
Anaweza asielewe na hivyo anaweza akakataa lakin yaweza kuwa hii.
Watu wanafikiri kuwa kati ya watu wengi bas mtu hawi mpweke.
Unaweza ukawa mpweke na umezungukwanna watu wa kutosha ambao they dont connect with your soul.

Ujue kuna ile inner satisfaction ambayo no body and no one can fill that void unless a divine being intervine.

Na this kind of loneliness ni ngumu sana watu kugundua kwakua tu wanakuona una mali una pesa una familly wasijue kuna emptyness inside unayo stuggle with all the time.

Ushauri ni huu, kama ni mkristo, basi ajaribu spiritual practises like kuomba, kuhudhuria ibada, kusoma au kusikiliza mafundisho ya neno la Mungu, itamsaidia sana na kumaliza hil tatizo kabisaa
Kabisa.. Na unaweza ukawa na kila kitu ila mwanadamu anautupu flani ambao hamna mtu anaweza kuuziba
 
Habari wapendwa.

Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.

Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.

Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.

Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.

Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.

Muwe na weekend njema sana wapendwa.

ASANTE
Mpaka muda huu your victor.

Wewe ni VICTOR (MSHINDI)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom