Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE