- Thread starter
- #41
Sijui.Kwenu mna historia ya magonjwa ya akili?
Kuwa na kila kitu maishani haikufanyi uepuke magonjwa ya akili.

Yeye ni KE.Unatamani kwenda usipokujua, Acha mawazo mgando mtoto wa kiume kaza
Iam a very hard working woman.Muda wako mwingi utakuwa uko idle, au huna shughuli za kufanya au mara nyingi unakesha online ukitegemea mafanikio unayoona online bila kujishughulisha, na huenda wewe ni mvivu sana na short minded, hapo ndio mawazo machafu yanaingia
No thanksNjoo inbox dada,tatizo lako limeisha
Pole sana mkuu una familia especially watoto??Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE
Ni kweli sina lengo hilo kabisa.Nadhani una tatizo jingine tu ambalo hujaligundua, kwasababu hayo mawazo yanatokoea mara moja moja tu.
Mtu mwenye lengo la kujiua anatabia ya kujidhuru(kujikata, kujichoma, kukaa bila kula), hujafika huko..
Nenda hospitali ukaonane na wataalam wa akili.
Kumbe wewe ni dada sasa mwanamke unaanzaje kuwaza kujiuaaa?No thanks
Si mnasemaga KATAA NDOA KWA AFYA YAKO YA AKILI?Kama hujaoa tafuta mke fasta!
Neno gani mkuuUpweke?
Nakushauri usome neno
Kweli mmekua wa kali😀
YESU AKUTIE NGUVU KWA UNAYO PITIA YAKUACHE
Hivi wewe ni timu kataa ndoa?!Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE
Anaweza asielewe na hivyo anaweza akakataa lakin yaweza kuwa hii.Upweke?
Nakushauri usome neno