MSAADA: Nawezaje kuondokana na msongo mkali wa mawazo?

Iyola99

Member
Joined
May 16, 2022
Posts
63
Reaction score
321
Wapendwa please,

Naombeni msaada namna gani naweza kupona msongo mkali wa mawazo (depression) linanitesa mno.

Sina uwezo wa kuonana na wanasaikolojia Ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona linazidi kukua na sasa Mara kwa mara.

Napatwa na maumivu ya kichwa, kizunguzungu, sometime napoteza hamu ya kula nk.

Nisaidieni nina mtoto wa miaka 3 nampenda sana.

Naogopa kumuacha mpweke kama nitakufa.
 
Pole sana mpendwa, jichanganye vijiweni usikae peke yako, hudhuria maombi na injili mara kwa mara kama unapenda kuimba jiunge uwe unapata muda mwingi wa kuimba hata kwaya kanisani, hakika utakaa sawa.
 
K vant kubwa 1 na tonic water.

Nyimbo 7 au 8 za Ferre Gola, Fally Ipupa au JB Mpiana ziwe jirani.

Na movie 3 kila siku za Mr. Bean au Charlie Champlin kila unapokuwa umetoka kula supu asubuhi.

Baada ya hapo BANDO LA KUTOSHA HATA GB 5.5 Kwa ajili ya kudownload katuni, games kwa ajili ya mtoto na zitazobaki kwa ajili ya wewe mwenyewe kuingia JF, Twitter FB na xhamster
 
Wapendwa please,

Naombeni msaada namna gani naweza kupona msongo mkali wa mawazo (depression) linanitesa mno.

Sina uwezo wa kuonana na wanasaikolojia Ila kadri siku zinavozidi kwenda naona linazidi kukua na sasa Mara kwa mara.

Napatwa na maumivu ya kichwa, kizunguzungu, sometime napoteza hamu ya kula nk.

Nisaidieni nina mtoto wa miaka 3 nampenda sana.

Naogopa kumuacha mpweke kama nitakufa.
Shida, tatizo, changamoto unazopitia ni zipi? Tuanzie hapo ili tujue jinsi ya kusaidia na utapona kabisa.
 
Ungetaja kinacho kusibu au mwanga kidgo ingekuwa rahisi ... au njo PM tuzungumze zaidi kama huto jali
Mimi sio muhanga, mimi ni stress free man, sipotezi muda kuweka matatizo kichwani mwangu.
Mimi ni positive minded person
 
Tafuta kitu kilichokusababishia Msongo wa mawazo, then work on it...au mtafute mwanasaikolojia specific aongee na wewe, umuambie kinachokusumbua/ source ya wewe kuwa na msongo, hatuwezi tukakupa ushauri kama hatujui mzizi wa tatizo ...mahusiano, kazi, kipato, etc
 
Kashasema hana uwezo wa kuonana na mwanasaiklojia. Usisome kama una kimbizwa.
 
Mkuu uje unipe mix ya ngoma za Ferre Gola, ule wa kilogram 100 ni noma
K vant kubwa 1 na tonic water

Nyimbo 7 au 8 za Ferre Gola, Fally Ipupa au JB Mpiana ziwe jilani

Na movie 3 kila siku za mr bean au charlie champlin kila unapokuwa umetoka kula supu asubuhi

Baada ya hapo BANDO LA KUTOSHA HATA GB 5.5 Kwa ajili ya kudownload katuni, games kwa ajili ya mtoto na zitazobaki kwa ajili ya wewe mwenyewe kuingia JF, Twitter FB na xhamster
 
Una reply bila kusoma
Tafuta kitu kilichokusababishia Msongo wa mawazo, then work on it...au mtafute mwanasaikolojia specific aongee na wewe, umuambie kinachokusumbua/ source ya wewe kuwa na msongo, hatuwezi tukakupa ushauri kama hatujui mzizi wa tatizo ...mahusiano, kazi, kipato, etc
 
Kashasema hana uwezo wa kuonana na mwanasaiklojia. Usisome kama una kimbizwa.
Hamna ufumbuzi wa tatizo lake, labda aonane na mwanaisokojia wa kujitolea humu/free...hatuwezi kumpa general ushauri kama hakuna/hajui source iliyomsababishia msongo wa mawazo...
 
Tatizo nini lakini

Nakushauri nenda kwa watu kiroho Kama mkristo nenda kaone wachungaji Kama muislamu Kama mmi mashekhe hapo kuna roho ya umauti inakunyemelea kupitua magumu hali ukiwa na mtoto unaleta farajai ya kupambana sasa ukiona unakata Tamaa itabidi upate ushauri wa kiroho
 
K vant kubwa 1 na tonic water

Nyimbo 7 au 8 za Ferre Gola, Fally Ipupa au JB Mpiana ziwe jilani

Na movie 3 kila siku za mr bean au charlie champlin kila unapokuwa umetoka kula supu asubuhi

Baada ya hapo BANDO LA KUTOSHA HATA GB 5.5 Kwa ajili ya kudownload katuni, games kwa ajili ya mtoto na zitazobaki kwa ajili ya wewe mwenyewe kuingia JF, Twitter FB na xhamster
Hahahahaha hapo akiendelea tena na stress sijui depression atakuwa ana lake
 
Back
Top Bottom