Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Hiyo mwaya vipi? Wewe ni ke?Dunia ina mengi mwaya

Fanya mpango upate mtoto mapema iwezekanavyo, kuna vitu atarejesha kwako.Single
Unatomber mara ngapi kwa wiki mkuu?Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE
We ni mgonjwa wa Akiri binamu.Habari wapendwa.

Aisee mkuu umetamka hivyo minyoo imeruka ruka😄Ujiue umuachie nani kitimoto na ndizi mzuzu za kuponda??
Una hofu tu, ondoa hofu dearHabari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE
Nenda Kwa watu wa guidance and counselling uwaambie ukweli uliopo kifuani kwako wakusaidieHabari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE
Ushajiita Valhalla unategemea nini...Si uko na undugu na kina Floky na Regnar Lothbrok.Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE
Don't hesitate, c u in the great hall in Norse mythology where the souls of heroes slain in battle are receivedHabari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.
Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.
Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.
Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.
Muwe na weekend njema sana wapendwa.
ASANTE
Hii hali napitia sana ngoja nifuate huu ushauriAnaweza asielewe na hivyo anaweza akakataa lakin yaweza kuwa hii.
Watu wanafikiri kuwa kati ya watu wengi bas mtu hawi mpweke.
Unaweza ukawa mpweke na umezungukwanna watu wa kutosha ambao they dont connect with your soul.
Ujue kuna ile inner satisfaction ambayo no body and no one can fill that void unless a divine being intervine.
Na this kind of loneliness ni ngumu sana watu kugundua kwakua tu wanakuona una mali una pesa una familly wasijue kuna emptyness inside unayo stuggle with all the time.
Ushauri ni huu, kama ni mkristo, basi ajaribu spiritual practises like kuomba, kuhudhuria ibada, kusoma au kusikiliza mafundisho ya neno la Mungu, itamsaidia sana na kumaliza hil tatizo kabisaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mzigo unashukia kenya sioNgoja nikutumie namba ya mrembo mmoja akutumie zawadi kutokea London nimejuana naye fecibook
Ila mzigo hauji direct bongo unaishia kenya
Ukipata mzigo wako amini huwezi jiua mkuu
Jipe mda kiasi
Tatizo mkipata vihela mnakataa wanaume na kuojiona mnaweza ishi wenyewe.Habari wapendwa.