Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

Habari wapendwa.

Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.

Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.

Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.

Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.

Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.

Muwe na weekend njema sana wapendwa.

ASANTE
Sasa kwanini hujajiuga hadi Leo! Unasubiri nini?! Jiue, no one cares humu JF, wala huna sababu ya kuleta thread kwa ajili tuu ya ujinga wako.
 
Kakope kwanza hata ukifa uwe na deni umeacha.
Sio unakufa hata deni la milioni 10 huna??
Jitahidi ufanye hivyo mapema iwezekanavyo.
 
Nitafurahi ukinijibu swali hili, Ila sio lazima, usipojibu pia ni sawa. Are you single parent kid, I mean were you raised by mother only
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mzigo unashukia kenya sio
Kujiua tafsiri yake ni kuwa umetosheka na upendo kutoka Kwa wanaokutegemea na wewe unaowategemea.
Kama bado ajapata hiyo zawadi kutoka London bado anasafari ndefu ya kuishi huyo ndugu yetu
 
Au kama anajiona ana stress Hadi kufikiri kujidhulumu maisha
Namshauri ajaribu mkopo Kwa OYA
ndio utajua ulikuwa hujui
 
Ndani ya masaa 24 fanya ibada walau mara tatu, tekeleza wajibu/majukumu yako kikamilifu, tenga muda wa mazoezi, muda wa kujisomea na muda wa kufanya tafakuri binafsi juu ya kile ulichokifanya katika siku husika (wapi umefanikiwa, wapi umekwama na kwanini). Ukiyarudia haya katika wiki, mwezi, mwaka na ikawa ndio tabia yako nakuhakikishia hayo mawazo hayatakuwa na nafasi katika kichwa chako.
 
Habari wapendwa.

Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.

Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.

Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.

Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.

Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.

Muwe na weekend njema sana wapendwa.

ASANTE
Pole sana!
Hizo ni dalili za sonona (depression). Mojawapo ya dalili kuu ni hayo mawazo ya kutaka kujiua (suicidal ideation). Hongera kwa kufunguka na kushirikisha wengine changamoto hii unayoipitia, wengi huamua kukaa kimya.

Ushauri: sonona inatibika. Kuna wataalamu waliobobea ktk masuala ya afya ya akili hivyo fika hospital ili uonane nao usaidiwe.
 
Jiue uende Valhalla Kama wanajeshi wa imota joer wanavyo amini. MAD MAX MOVEI
 
Habari wapendwa.

Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.

Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna siku naweza kuamka zangu na furaha then from nowhere kuna vitu tu nikivifikiria nakua so depressed, najiona kama takataka. Najiona sina thamani, najiona a looser who is missjudged and can't do anything about it.

Kwa wanaonijua ukiwaambia nina mawazo haya watakucheka sbb nina tuvibaraka ambavyo wengi wanaota kuwa navyo ila ukweli ni kwamba kuna saa naona wanaosukuma mkokoteni au wanaouza vitumbua wana maisha mazuri kuliko mimi.

Sitaki kufa na sitakufa kwa kujiua ila najua watu wengi wanaopata mawazo ya kujiua huwa wanaishia kujiua kweli hivyo nipe neno lolote ili haya mawazo ya kijinga yaachane na mimi.

Wale wanaotoa ushauri kwa maneno makali hadi ujione mjinga ndo wazuri.Mimi nikibembelezwa ndo nazidi kuwa emotional hata kama ni mbele za watu ntaanza kulia.

Muwe na weekend njema sana wapendwa.

ASANTE
Pole sana
 
Wewe ni KE au ME ? Tuanzie hapo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom