well huu ni wakati ambao huwa ni mgumu kwa wazazi wote!
nafkiri ni ile hali ya kushindwa kuamini kuwa watoto wetu wamepiga hatua kiasi fulani
mimi kwangu ni ngumu zaid since nilipata mtoto wangu wa kwanza nikiwa so young (still a studentu know)
so its like kila hatua ambayo anapitia binti yangu mkubwa kwangu mimi ni ishu,nahisi kama tunakimbizana hivi!sijui kama naeleweka
ambacho kinamkuta
Kaunga sasa mimi kinanikuta sana tu as kila hatua anayofikia binti yangu kwangu ni mshangazo!
alipivunja ungo nilidata!naanzaje kumfundisha hili na lile
naanzaje kumweleza kuwa sasa ni binti
nilichofanya na kweli namshukuru sana MUNGU kwa hilo
mtoto wangu ni rafiki yangu sana,ni shosti kusema ukweli!so kidogo inasaidia yeye kuniuliza maswali like mama hiki kwa nini kiko hivi,mbona mwili wangu unakuwa hivi,mbona naona hiki hapa na mambo kama hayo so napitia mumo mumo natirrika na basi maisha yanaendelea kwa amani tu!
kumuamini mtoto na yeye kujua kuwa anajua unajua anaweza ni nzuri