Naongea naye nini?

Naongea naye nini?

Oooops!!!

A little girl runs out to the backyard where her father is working,
and asks him, "Daddy, what's Sex?"

"OK," he thinks, "this day was bound to come, and I'm not going to let
my little princess learn about sex from the streets."

So, he sits her down, and tells her all about the birds and the bees.
He tells her about conception, sexual intercourse, sperms and eggs. He
tells her about puberty, menstruation, erections, and wet dreams.

Then she asks, "Daddy, what is ‘A Couple'?"

And he carries on, "A couple are the two people involved in sex, but
this can also be two males or two females which we call homosexual,"

and he goes on to describe masturbation, oral sex, group sex,
pornography, bondage and rape, pedophilia, etc…

The father finally asks, "So why did you want to know about ‘a couple'
and ‘Sex'?"

"Oh, mummy said lunch would be ready in a couple of secs…"
 
Hi toto

sasa unaenda shule kamata bible iwe taa na msingi huko uendako MUNGU TU ndo mlinzi huko bdng jamani kuna mengi

kuna kitu sumu bendera fata upepo no kuiga mambo no kujidai mjuaji no angalia kitabu

all the best
 
BAK kweli umenifurahisha, imagine daddy alikuwa na miwasi wasi kama mimi that he got everything wrong! LOL

MKATA KIU asante sana kwa assuarance isiyo na part ya dating! LOL
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndo maana nimekwambia kuwa kuna vitu ukae tayari kupigwa shule.....

Shukuru Mungu baada ya hilo jibu amekupotezea...angekuwa kama hawa wajukuu zangu, lazima angeanza kukupiga shule mara moja!!

Babu DC!!

hii ya kupigwa shule mi mbona kuna siku niliwekwa chini na haka ka darasa la pili tena hapo alikuwa la kwanza!
akarudi kutoka shule veery anxious!mama yuko wapi akaambiwa niko chumbani
huyo mlangoni na kugonga alipoingia tu!
akaniuliza mama unaujua ukimwi!hebu imagine nilistuka kiasi gani!
nikamwambia siujui
akasema ngoja nikale halafu nije nikufundishe ukimwi ndio nini!(nikabaki lol)nnalo leo
basia akamaliza kula akaja chumbani kwangu na kuanza kuniambia ukimwi ni nini
akasema ni ugonjwa ambao mtu anaupata kwa kufanya mchezo mbaya na mvulana /msichana(mi mama yangu :A S 109🙂
nikaende;ea kupigwa lekcha
akaniambia mama ukiona mtu anakwambia njoo upande lifti,au anakuita njoo huku uchukue pipi ukimbie ,af akaongezea unaskia?(mi ndio mwanangu)
akaendelea halafu mwalimu kasema ukimwi unaweza kuwapata watu wanachongea penseli na kukatia kucha viwembe vya watu ,kwa hiyo maama usiokote viwembe shauri yako utapata ukimwi(mi nikabaki dah)toks hspo imebidi tu na hubbie tuwe wazi kwa hawa watoto!manake kuna vitu huwa wazazi tunaamini it is too early kuwaambia watoto tunakuja kustuka the damage is done!
 
Hivi kwa nini hii thread isiwe sticky.........Mods tafadhali.
Nakumbuka nilipobalehe nilikuwa sipendi kukaa na mama karibu. Kampani yangu vidume wenzangu.

Usimpe vitu vingi sana........Huko anapoenda anatakiwa/atajikuta anatengeneza njia yake mwenyewe.

Wakati mwingine watoto wa kiume hawataki kuonekana na "maadili" saana. Kidogo ununda ni kama njia sahihi
kwa siasa za Boarding school.

naunga mkono hoja!
 
BAK kweli umenifurahisha, imagine daddy alikuwa na miwasi wasi kama mimi that he got everything wrong! LOL

MKATA KIU asante sana kwa assuarance isiyo na part ya dating! LOL

But sister baba yake yuko wapi?

Nimekumbuka kitu imebidi niulize maana 90 parcent ya wanafunzi wa feza boys wanatoka single parents family.. Rafiki zangu wengi weusi wamelelewa na mama zao tu, ukitoa wale wa kiarabu ndo wanatoka familia zenye baba na mama,

Na wewe umenikumbusha baada ya kusema ni single parent... Kama unabisha chunguza friends atakaopata mwanao wa huko shuleni... nimeshangaa inakuaje? Au shule ina mkosi
 
Last edited by a moderator:
Kaunga my dearest sorry kwanza nimeukuta huu uzi very late nilikuwa bize sana na vijikazi si unajua j1 inavyokuwaga?

mwanangu ni mtaratibu sana,sababu ya tabia ii kama mara mbili hivi alikuja kaumia the first day nikamuuliza kwann ana bruise magotini akasema alikimbizwa na mdada akamsukuma chni akadondoka, nikachukulia simple. iku nyingine akaja kaumia tena mguu kumuuliza mwenzie kampiga kaumia nikamwambia hivi kwani wewe unakula pamba?

kwa hasira nilimwambia next time ukija na kidonda nakuchapa nataka huko shule na wewe uwe kidume mtu asikuonee hata kidogo. unazo nguvu mpige mtu kama unajitetea kitu hadi aumie lazima atakuacha na watakuogopa. sikujua kwamba impact ya kauli yangu ingekuwa mbaya kiasi hiki.

kwani baada ya siku chache niliitwa shulen kwao kwa barua kwamba mwanao kampiga mwenzie ngumi ya uso akamng'oa jino, of course ni jino la utoto ndo ilikuwa pona yake ila aliweka mtu ngumi hadi wenzie wote wakaogopa na mpaka leo huwa wanasema usimchokoze huyu akikupiga ngumi utang'oka meno. am happy kwamba anaweza kujitetea now.
 
Last edited by a moderator:
kaunga, nakubaliana na wewe
ushoga ni topik ngumu, ila si lazima uingie kwenye details sana kiasi cha kumshawishi kujaribu.

Unaweza mwambia tu, usikubali mwanamme aguse sehemu zake ni lazima azilinde. Kumpa details nyingi sana napo ni ngumu.
Unaweza anzia hapo.

Kuna mfano ntakupa niliukuta shule ya boarding, japo sikuelewa sana sasa ndio nagundua ilikuwa ni mchakato wa kwenda magharibi.
aisee mim na domo la kiualimu daima huwaga sikosi neno la kumambia mwanagu manake najua na ninawaona mashule
imagine mwanangu wa 3 yrs anajua na huwa namwambia kabisa hakuna kuonyesha mtu yoyoyo yako wala mtu kukuonyesha ya kwake. na isije ikatokea mtu akakuambia nataka nikushike yoyoyo yako kwani akiishika ataiumiza. pia huwa nawaambia kabisa marufuu kukojoa chooni na wenzenu kojoa peke yako na usishike yoyoyo ya mwenzio.

sasa kasheshe ni akitoka kuoga kama upo mtu ambaye hujamwogesha chumban kwake havi hadi utoke na anasema kabisa mama alisemaje tusionyeshe watu yoyoyo. hata iweje hawez kutoka nje na chupi hata siku moja manake anajua mama alikataa.
 
inategemea na shule!..Nngejua shule nngekupa ushaur mzur
 
hii ya kupigwa shule mi mbona kuna siku niliwekwa chini na haka ka darasa la pili tena hapo alikuwa la kwanza!
akarudi kutoka shule veery anxious!mama yuko wapi akaambiwa niko chumbani
huyo mlangoni na kugonga alipoingia tu!
akaniuliza mama unaujua ukimwi!hebu imagine nilistuka kiasi gani!
nikamwambia siujui
akasema ngoja nikale halafu nije nikufundishe ukimwi ndio nini!(nikabaki lol)nnalo leo
basia akamaliza kula akaja chumbani kwangu na kuanza kuniambia ukimwi ni nini
akasema ni ugonjwa ambao mtu anaupata kwa kufanya mchezo mbaya na mvulana /msichana(mi mama yangu :A S 109🙂
nikaende;ea kupigwa lekcha
akaniambia mama ukiona mtu anakwambia njoo upande lifti,au anakuita njoo huku uchukue pipi ukimbie ,af akaongezea unaskia?(mi ndio mwanangu)
akaendelea halafu mwalimu kasema ukimwi unaweza kuwapata watu wanachongea penseli na kukatia kucha viwembe vya watu ,kwa hiyo maama usiokote viwembe shauri yako utapata ukimwi(mi nikabaki dah)toks hspo imebidi tu na hubbie tuwe wazi kwa hawa watoto!manake kuna vitu huwa wazazi tunaamini it is too early kuwaambia watoto tunakuja kustuka the damage is done!

yaani watt kwanza silabus yao tu ya sas inawafunza mambo ya ukimwi since nursery na hata kitabu chao cha science kinaongelea ukimwi so its better uwaambie but uwe tu na nidham ya kuwaambia.

ngoja nikuchekeshe mwanangu mmoja ana miaka tisa, juzi asbh ameshaoga tumekaa mezan kunywa chai akasema mama sijui hii chupi yangu ikoje leo nikamjibu kwani vipi inakubana? akasema hapana ila naona hii yoyoyo yangu inasimama sijui kwann na nikijaribu kuieka ikae vizuri kwenye chupi haikai. u can imagine .......but nilimwambia just concetrate kwenye kunawa mikono unywe chai iyo itakaa vizuri yenyewe.

bahati mbaya sana hubby hayupo so niko nao mm peke yangu muda mrefu sana nikachekecha nikaona hapana hapa bora jungu nilivunje mie, basi baadae nikamwita chumban nikamwambia uzuri nilitumia terminologies anazozijua kwamba yoyoyo inapokuwa imesimama basi ni damu nyingi inakuwa imepelekwa sehem hiyo hivyo huifanya misuli ya yoyoyo kutanuka na ndo maana inasimama. inaposimama labda inakupa habari kwamba unatakiwa ukakojoe akasema mbona sikuwa na mkojo? nikamwambia kama hukua nao basi inaonyesha kwamba wewe ni mkaka. wakaka wote ambao hawajawah kuonyesha wenzao yoyoyo basi huwa wakaka kweli kweli na ili mtu awe mkaka lazima yoyoyo isimame, sasa wewe usimwambie tena mtu haya mambo na wala mtu asikusimulie and ukiwa na shida ama na swali lolote niulize mimi nitakujibu vizuri kama nilivyokujibu. mtoto akakubali.
 
Nimepata msamiati mwingine mpya kwa hisani ya gfsonwin...YOYOYO :msela:

aisee mim na domo la kiualimu daima huwaga sikosi neno la kumambia mwanagu manake najua na ninawaona mashule
imagine mwanangu wa 3 yrs anajua na huwa namwambia kabisa hakuna kuonyesha mtu yoyoyo yako wala mtu kukuonyesha ya kwake. na isije ikatokea mtu akakuambia nataka nikushike yoyoyo yako kwani akiishika ataiumiza. pia huwa nawaambia kabisa marufuu kukojoa chooni na wenzenu kojoa peke yako na usishike yoyoyo ya mwenzio.

sasa kasheshe ni akitoka kuoga kama upo mtu ambaye hujamwogesha chumban kwake havi hadi utoke na anasema kabisa mama alisemaje tusionyeshe watu yoyoyo. hata iweje hawez kutoka nje na chupi hata siku moja manake anajua mama alikataa.
 
Last edited by a moderator:
Nimepata msamiati mwingine mpya kwa hisani ya gfsonwin...YOYOYO :msela:
hahahahaha.............hizi ni lugha za kitaa yaani ninamisamiati kama millioni hivi......tena ambayo ina tofautiana kulingana na rika.

mwanagu mdogo anajua inaitwa yoyoyo, mwanangu mkubwa anajua inaitwa kibaba.
 
Hahahaha lol! eti kibaba 🙂🙂 we shuka nayo tu misamiati yako. BAK anarekodi kwenye note book yake...naukumbuka na ule wa kupiga deki lol!

mimi wangu walikuwa wanasema TT,pichu ni teitei!ongezea hiyo BAK
 
Last edited by a moderator:
Waoh, what can l say. Nashukuru sana wapendwa, gfsonwin umesamehewa kwa kuchelewa, better late than never.

Nimejifunza mengi humu ndani. Naamini si peke yangu, kuna watakao nufaika pia.

Duh MKATA KIU, sijui kuhusu hiyo ya single parenting nafikiri ilikuwa coincident tu; 90% is too high, kwa maoni yangu. Lkn najua nini? Ofisini kwetu kina mama almost wote ni single parents (widows n never married); kina kaka almost wote ni married. Huenda single parents needs to work ili kuweza raise familia, na tunajitahidi kusomesha watoto (kuwapa future ili waweze simama kwa miguu yao).

Samahani sipendi kuzungumzia baba wa mtoto wangu. Hivyo naomba nisikujibu his whereabout!
 
Last edited by a moderator:
platozoom na snowhite, nsingependa thread hii kuwa sticky coz imejaa personal life yangu. Labda baadaye mtu aanzishe nyingine yenye taito like "changamoto za single parenting a child of different sex" ambayo itakuwa general.

Samahani kama nimewakwaza!
 
Last edited by a moderator:
Dada Ushoga balaa na hakikisha unajitahidi kumsaidia mwanao asije kuwa humiliated. Jinsi ya kufanya ni kumweleza moja kwa moja bila kuficha. Ni ngumu sana hasa kwetu akinamama kumweleza mambo kama haya mtoto. Ukimweleza kuhusu Anti Abuu atakuelewa na pia usisahau kuhusu madawa ya kulevya, jaribu kumpitisha Ubungo Maziwa kwa mateja, akiwaona atakuelewa.

Thanks a lot The Boss, kuna mtu mmoja anamfundisha karate akiwa likizo, it was for funny though; kumbe it can become handy eeh.

Kwa sport anapenda mpira ingawa sidhani kama ni mzuri (pole yake anatoka kwenye familia isiyo na historia ya sport)

Asante sana tena!
 
owwww! I'm late kwenye uzi wa dada Kaunga :embarrassed:. anyway mpe the holy bible/quran na mwambie atilie mkazo elimu na aepuke marafiki wabaya.

p.s. you're all overreacting on the gay issue, mtoto anaenda feza siyo shule za kata. wanafunzi wa high-end schools wanajitambua more than mnavyodhani na hawana mambo ya ubakaji au kujaribiana.
 
Wakati naenda sekondari..shule moja huko Moshi, my brother gave me two principles esp. On ladies n love affairs...aliniambia;

1. It is too early to be loved.
2. True love waits.

I confess zilinisaidia sana kustay pure n concentrate on studies mainly bse shule yenyewe ilikuwa 95% girls n 5% boys.

Angalia historia ya shule yenyewe na challenges ambazo zimekuwa zikiwapata wanafunz wengi hapo utafahamu jinsi ya kumshauri.
 
Back
Top Bottom