Naongea naye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naongea naye nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaunga, Oct 20, 2012.

 1. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  My son anaenda kuanza form one, (preform one next month) boarding school he is going to be 12 next year.

  As a mother namuambia nini? Nafeel kuna kitu napaswa kumwambia sijui nimwambie nini na jinsi gani.

  Sijasoma boarding school O'level so sijui kunakuweje, nasikia ushoga unaanziaga huko. Bullying inanitia wasiwasi ukizingatia umri wake ni relatively Mdogo.

  Nisaidieni nini cha kuongea naye.
  N.B Namlea mwenyewe as a single mom.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  duh umechelewa ulipaswa mpeleka mazoezi ya karate age six

  usingehitaji maneno meengi now

  anyway cha kwanza mnunulie viatu vya michezo na mpira ikiwezekana

  umsisitize awe mwanamichezo

  mostly watoto ambao wako active na sports wanakuwa na kujiamini
  wanaweza jitetea
  na kikubwa wanakuwa popular na wenzie so kuonewa inakuwa ngumu...

  halafu mwambie mtu akimgusa tu.....apige kelele ,asiogope mtu yeyote
  asiogope kujitetea.....
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,554
  Trophy Points: 280
  Mhhhh! Hizo shule za boarding kwa kweli ni hatari sana katka mambo hayo uliyoyaandika. Sijui ili kumuepusha na hali hiyo ni lipi umwambie. Halafu Walimu ambao wanatakiwa kuhakikisha watoto wote wako salama kila siku iendayo kwa Mungu ni wazembe mno!!!

  Labda umwambie tu mtu akikufanyia haya (unayaorodhesha yote) kamwambie Mwalimu, lakini Mwalimu anaweza kumpotezea na kumwambia lete ushahidi. Kazi kweli kweli!!!


   
 4. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Naomba an audience nae please
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Huna cha kumwambia mydear zaidi ya azingatie masomo na kujiepusha na marafiki wabaya.

  Umemlea mwenyewe kwa 11yrs, hivyo ulivyomlea ndivyo atakavyo cope na maisha mapya. Kama ulimlea huku unamjengea self confidence/self esteem, atakuwa ok.

  Subiria mid-term akirudi na uki note changes (mbaya) chukua hatua...

  Relax, woga wako usijemkosesha kujiamini huko aendako, otherwise utakuja muogopea hata siku atakayo oa!

  Boarding school raha sana,...another step to maturity...
   
 6. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Sitegemei kumalizia nasaha zote lakini hivi hapa zitamsaidia
  1. mwambie kwamba anakwenda shule kusoma na si vinginevo
  2. Asishawishike na maisha mengine zaidi ya yale ya kusoma na kumuomba Mungu
  3. Asikubali kuwa na hisia za kimapenzi, na pia ajue kwamba tendo lolote la ngono akifanya litampa UKIMWI na huo ndio mwisho wa maisha yake (kumtisha mtoto inasaidia mara nyingi), pia mwambie kwamba hakuna kinga zaidi ya kuacha hayo mambo mpaka amalize kusoma
  4. Asitumie mda mrefu kupiga soga na wenzake bali autumie muda huo kwa kufanya mazoezi na michezo ya kujenga mwili na akili
  5. Akiwa na shida ya kitu chochote akwambie wewe/mwalim wa nidhamu na si vinginevyo
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Thanks a lot The Boss, kuna mtu mmoja anamfundisha karate akiwa likizo, it was for funny though; kumbe it can become handy eeh.

  Kwa sport anapenda mpira ingawa sidhani kama ni mzuri (pole yake anatoka kwenye familia isiyo na historia ya sport)

  Asante sana tena!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa tayari anaenda boarding ushauri kuwa asiende hauna maana kwa sasa; (maana mimi boarding sitaki kuzisikia)

  Hiyo shule kma si ya masister tafuta mwalimu wa nidhamu mshikishe ela ya maana afu mwambie wasiwasi wako na watoto kusoma boarding...nina uhakika atamuweka karibu naye na ku fill space yako kama mzazi.

  Mwambie pia kuwa kuna tabia mbaya ya ushoga...na awe makini, asiwe karibu na vijana wa madarasa ya juu, asikubali kuvuliwa pichu na kijana yeyote.

  Huwezi amini haya ndio maneno nayomwambia mwanangu wa 5 years....hakuna mtu kukuvua pichu...akikuvua piga kelele mwambie na mwalimu na ukirudi home tuambie.
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Will call you tonight, kweli nahitaji uncle wake aongee naye! Thanks bro.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  cha kwanza, mwambie ajue yeye ni mwanamme na uanamme wake ni muhimu na aulinde.

  Asikubali mwanamme wa aina yeyote amguse sehemu zake, awe mwanafunzi, mwalimu, au yeyote yule.

  Kama huwa nyie ni waamini, asisahau kuabudu mnakabudu, ndio ulinzi wake wa kiakili.

  Asipende kujaribu vitu ambavyo anajua umemfundisha kutofanya, mfano, sigara, bangi, pombe. Mwambie yeye bado ni mdogo, atajifunza mengine akifika miaka 18.

  Mie nilianza kumwambia wangu asikubali mtu amguse wala amchezee nyeti akiwa na miaka 4, na huwa namkumbusha mara kadhaa, so ni kitu anajua sana na yuko makini nacho.

  Nadhani pia ana crush na mdada wa darasani tangu wako la kwanza, hadi leo akiwa na kitu kizuri anasema naenda kumgawia fulani.

  Inamsaidia kujitambua he should go for girls. Ila ana maswali magumu mno.
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  masuala ya kuwa bullied yanawakumba watoto ambao ni loner
  na ambao wazazi wao ni wakali sana na kuwafanya wakose uchangamfu

  kama umemlea kwa kujiamini
  na ni mtoto mwenye furaha,basi
  atakuwa ok tu...
  ondoa wasiwasi
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  wewe ndo unaleta hatari mpyaa kabisa
  whatif huyo mwalimu ndio pedophile mwenyewe?
  au hujui walimu pia wapo hatari tupu?

  kumkabidhi mtoto kwa mwalimu ni hatari mno..
  chochote atakachoambiwa na mwalimu anaweza fanya...

  bora toto liwe nunda tu,hata walimu wanaligwaya lol
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Thanks nyumba kubwa, kwa muda sina jinsi lazima aende but after next year nitamtoa kwani nitakuwa naye karibu.

  Wasiwasi wangu ni kuwa waweza mwambia kitu na matokeo yake ukampa idea (kuwa kumbe kuna hiki na hiki, lemme try).

  Amesoma boarding primary lkn shule nzuri ambayo ilikuwa na uangalizi wa karibu. Hawakuwa watu zaidi ya 20 hostel, na kila chumba matron alikuwepo. But now secondary where they are expected to be mature, napata hofu kiasi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ushoga unaanzia popote. Ila usiogope. Bila shaka mwanao anajua kama duniani kuna ushoga, wizi, ubakaji na tabia nyingine. Endelea kumkumbusha kuwa anatakiwa kuwa makini hasa kwa kuwa kule wewe hautakuwepo. Mtie ujasiri wa kujitetea mwenyewe katika kila hali. Msisitize asiogope kuripoti chochote anachoona anashindwa kupambana nacho bila woga. Usisahau ushauri wa THE BOSS.
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ni vizuri mtoto kuwa na dalili za kuwa attracted na opposite sex, na ukali hautasaidia zaidi ya kumfanya ajifiche kwa kupenda wanaume wenzie. Lol.


   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  nyumba kubwa, nakubaliana na wewe kumwambia mtotot tangu akiwa mdogo. Mie sikumwambia ushoga, ila nilimwambia alinde maeneo yake muhimu.

  Hakuna cha mwalimu, wala pasta, wala mwanafunzi, nikakwambia piga kelele, pigana na nitakusapoti kwa utakalofanya kujilinda.

  Huwa hasahau aisee, na alikuwa na miaka 4 tu, alipoanza tu shule.

  Na huwa namkataza hata kuingia chooni na wengine, aende peke yake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nashukuru Mbu, hicho pia nilikuwa nakifikiria 'kumtrust' na kiukweli anajiamini vya kutosha tu.

  Kongosho, sio mara moja au mbili ananikumbusha kusali tukila out. Ibada ya jioni anaongoza, anachagua neno na kutafakari; kiukweli ni mmoja kati ya watu walionihamasisha kuacha pombe; hivyo sina shaka na imani yake.

  mathcom asante nitayazingatia hayo uliyoyashauri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Hata kama mwalimu ni bazazi...ujasikia kuwa mchawi mkabidhi mwanao.

  Mimi nakumbuka baba yetu alikuwa na tabia ya kuwashikisha sana walimu wetu wa primary kiasi kuwa tulipata wakati mgumu kwani walikuwa na special interests na sisi. Na walikuwa wanapenda peleka feed back home ili wapate sababu ya kuongea na mdingi...hivyo ku behave haikuwa option.

  Ila ilitusaidia...si unajua mwalimu akijua kuwa una exist huwezi kuvurunda. Tulipokuwa tunafaulu basi walikuwa na uhakika wa kupata ofa ya bia. Japo kuna wengine hawakuwa hata wanatufundisha. Na those days hatukuwa na diary wala nini ni efforts za baba mwenyewe...kwani ni shule hizi za serikali.

  Hilo limenifanya hata mimi kujifunza kuwa very close na walimu wa mwanangu... Ukizingatia ana spend muda mwingi shuleni kuliko nyumbani...mwalimu ndiye mlezi wake.


   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sorry hebu fafanua
  kila chumba mtoto analala na matron?
  matron wa kiume?
  how old?
  mtoto tu na matron?
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Two kids na matron sio patron.
   
Loading...