Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,751
- 1,251,447
Hee malkia tena
Malkia wangu , niseme nini?
Malkia wangu , niseme nini?
Bwashee heshima ipi? Kuna mtu anaweza kuwa mteja wangu humu ? Je nikiongea upumbavu nakosa pesa?View attachment 3659167
Punguza tungi mpwa, unajishushia heshima
Yaani kipindi kile jamaa ana like kila post nilijua ni lizee fulani liko tu limetulia linakuwa pensheni kumbe ni mu r chuga ambaye anakeshaga anakula mbege sasa kupata stimulus anakeshaga kulike post za jf.Kipindi kile una like tu waja wakaanza kukulazimisha uwe unachangia uwe unachangia
Ona sasa wameona yaliyomo yamo wanalalamika
Mwanike kineheHee malkia tena
Achana nao ndugu yangu hawakujui haoBwashee heshima ipi? Kuna mtu anaweza kuwa mteja wangu humu ? Je nikiongea upumbavu nakosa pesa?
Aseee mimi sio cheap kihivyo mangi,nivumilie tu.
Mbona nilikuwa nakuheshimu sana 😅Nimefanya nini 😁😁
Eiihh mai lawd😱🫢🫣View attachment 3659167
Punguza tungi mpwa, unajishushia heshima
Namuheshimu baba yako sana!My dad jamani🥲
Bamkwe anakupenda sanaNamuheshimu baba yako sana!
🙏Bamkwe anakupenda sana
Watoto wamenizunguka baada ya kusikia hiki ki sound cha kung fuuu....wanauliza nini hikoo nini hikoo...yani nimechekaaaa🤣🤣🤣
I gach you 😅😅😅Eiihh mai lawd😱🫢🫣