Naona red black kanizungumzia mimi🤣

Naona red black kanizungumzia mimi🤣

Red black nashukuru sana kwa kujali , ila sijui kama wewe una hata level za kunizungumzia mimi aseešŸ˜…

Au ni vile tuna kutana humu JF tu , ndio mnaona mnauwezo wa hata kukutana na kila members humu🤣

Ndio nyie nyie members mnaomba 2000 humu mnataka kuniona au ni wapi hao?šŸ˜…
Screenshot_20260821-162803_1.jpg
 
Yaani kipindi kile jamaa ana like kila post nilijua ni lizee fulani liko tu limetulia linakuwa pensheni kumbe ni mu r chuga ambaye anakeshaga anakula mbege sasa kupata stimulus anakeshaga kulike post za jf.

Sasa limekuziwa ego inakuja na ulimbukeni wake humu. Huyu Nakuhakikishia, atakuwa daktari huyu, akitoka kazini anapitiliza baa kupumzisha maumivu ya kufanya kazi kwa miaka 50 straight, hana muda na attention ya wife, hana mtu wa kumliwaza Inshort anajifanya tu humu.
šŸ˜„kumbe
 
Back
Top Bottom