Sijambo broTina haujambo
Asante sn..Salama madam mzuri , karibu pombe tuchachue koromeo š
Chapchap ushushe uzi wa mabangošMapema kabisa , nimepata mda nasuuza koo na bia ili nipate tikila moja matataš
Wengine bado broHahahaah mda wa kazi umeisha bhana š
Oh, kama utani sawa.Kichambo ni nini? Huo utani tu Red black mwanangu sana
Hatuwezi ongea lugha moja hebu piga vitu kwanzaš mabango kivip tenaš
Upi huo!?Wamefuta uzi wangu bora wa muda wotešŖ
Kwani ni mtu huyo sio mashine mkuuKipindi kile una like tu waja wakaanza kukulazimisha uwe unachangia uwe unachangia
Ona sasa wameona yaliyomo yamo wanalalamika
Hahaha
Ayatollah nazidi kuzingumza na waliomla kichwa ili kubaini tatizo. Natumai ataachiwa huru.
Watu wakubwa nyinyi tajiri kaachiwa hata dk 5 hazijatimiaAyatollah nazidi kuzingumza na waliomla kichwa ili kubaini tatizo. Natumai ataachiwa huru.