Huyu Zitto ni mtu wa ajabu sasa.Kuna kipindi alihojiwa akasema hana mpango na urais kwani urais ni kazi ngumu na anayeiweza ni kikwete.Alisema yeye hatagombea hata ubunge 2010 lengo lake ni kwenda kujiendeleza zaidi kimasomo ili aje kuwa mwalimu wa chuo kikuu maana ndiyo kazi anayoipenda zaidi.
Leo hii anasema ana mpango na urais.
Hivi kwani kila mwanasiasa wa afrika lazima awe rais?Manake kila mwanasiasa wa afrika akifanikiwa kidogo tu basi tayari anawaza urais.Kwani ukibaki kuwa diwani tu au mbunge na uka deliver pale pale matamanio yako kama una uchungu kweli na umasikini wa tanzania kutakuwa na tatizo gani?
Ndiyo mana mimi nawaita wapinzani wa tanzania wababaishaji kwa vitu kama hivi.Kwasababu ni vigeugeu.Leo akiamka anasema hili.Kesho akiota ndoto zake za kialinacha anasema lile,basi ili mradi vurugu tu.
Sasa hivi mtasikia amerudi CCM!