Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

Go back to the quotation!

nilisema mnyika atagombea jimbo la ubungo ! tatizo liko wapi ? majungu yako wapi ?

Anyway, hakuna mtu anayemchukia zitto, wapinzani, kama ilivyoelezwa hapo awali........lakini lazima mfahamu kwamba jamaa kachemka ! and thats that ! Lakini hiyo haimaanishi hana time ya kujirekebisha, off course anayo, but for now it much seems like he hurt himself intentionally ! Endeleeni na mjadala mzuri, mie natoka naelekea boogie down BX,NY!
 
Kumsemea mtu si jambo jema, je ulikuwa kwenye akili yake hadi umaanishe kuwa hakuelewa alichokuwa anakisema? kutaka kuielewa ndoto yake? this is two far, sheikh yahya kazi yake ndio kuelewa ndoto za watu. Zitto akiwa na ndoto yake anawaambia watu, waelewe wasielewe ila amewaambia watu NDOTO yake ya kuwa RAIS, period!

You implied here kwamba mimi namsemea Zitto. Ndicho nilichoamua kukusaidia kwamba mimi sikumsemea. Nilishangaa na kujiuliza. Kuna tofauti. I hope you can understand this, this time around!!!
 
You implied here kwamba mimi namsemea Zitto. Ndicho nilichoamua kukusaidia kwamba mimi sikumsemea. Nilishangaa na kujiuliza. Kuna tofauti. I hope you can understand this, this time around!!!

achana nae huyu ! she got me wrong as, she got you wrong too ! this cant be a coincident, she prolly dont know what shes talking about !
 
You implied here kwamba mimi namsemea Zitto. Ndicho nilichoamua kukusaidia kwamba mimi sikumsemea. Nilishangaa na kujiuliza. Kuna tofauti. I hope you can understand this, this time around!!!

Nilichommanisha ni kwamba isije ikawa huyo Zitto naye alipokuwa akisema ana ndoto za kuwa Rais hakuelewa ina maana gani kama ambavyo inaelekea wengi wetu kwenye mjadala huu hatujalielewa.

back and forth, sio mbaya lkn;labda hukuelewa ulichokiandika before.
 
Hayo mambo watu wanasema wakiwa secondary school, hawayasemi tena wakiwa wanasiasa mpaka siku inapofika wanapoamua kugombea.

Kama Zitto katamka hivyo leo, basi huyo keshashindwa tayari, sahau yeye kuwa rais wa Tanzania.

now that is the whole different ball game... sasa si angalau kasema na tayari kashindwa.. lakini kusema wiki moja baada ya kutangazwa kutolewa fomu...ni kuzugana. Urais ni kuchaguliwa na watu huchaguliwa na watu na sijui ni msingi wa kushindwa kwake kwa vile katangaza. Kama wote wanaotangaza kuwania nafasi za uongozi wanashindwa wakishatangaza, basi tumekwisha.

Siamini kama ameshindwa ni mwanzo tu, na kama atashindwa itakuwa ni kwenye sanduku la kura...
 
back and forth, sio mbaya lkn;labda hukuelewa ulichokiandika before.

Naelewa sana. Tatizo nililonalo inawezekana ni kukufanya wewe uelewwe. Anyway don't worry about it. Endelea na maisha tu mama. There's more to life than this discussion. Best of luck
 
now that is the whole different ball game... sasa si angalau kasema na tayari kashindwa.. lakini kusema wiki moja baada ya kutangazwa kutolewa fomu...ni kuzugana. Urais ni kuchaguliwa na watu huchaguliwa na watu na sijui ni msingi wa kushindwa kwake kwa vile katangaza. Kama wote wanaotangaza kuwania nafasi za uongozi wanashindwa wakishatangaza, basi tumekwisha.

Siamini kama ameshindwa ni mwanzo tu, na kama atashindwa itakuwa ni kwenye sanduku la kura...

of course you will never see that !
 
Mjadala Mzuri Huu, Ingawa Hauna Mwisho.
Conclusion: it's So Deep For A Fool To Understand A Wise Word!
 
Naelewa sana. Tatizo nililonalo inawezekana ni kukufanya wewe uelewwe. Anyway don't worry about it. Endelea na maisha tu mama. There's more to life than this discussion. Best of luck

Good and thanks

Zitto's dream for presidency persuaded!
 
Zitto ameingia CHADEMA kwa ajili ameona kupitia chadema ndio anaweza kujitutumua. Hili ndio swali walilomuuliza waandishi, iwapo ana mpango wa kwenda CCM na jibu lake ndio likawa kuwa hawezi kwenda CCM kwa sababu ana mpango wa kuwa "big potato". Fundisho hapa ni kwamba, Zitto CCM anaitamani, ila tu anatambua kuwa kwa kupitia CCM challenge kwake itakuwa kubwa. Wanasiasa kama hawa upinzani wamejaa KIBAO!
 
Kuna Anaeenda Shule Akitarajia Kufeli Kama Mpo Poleni
Kaka Omba Mungu Ccm Wasiku"""kubalali"" Unaweza Jaribu Inshallah
 
". Fundisho hapa ni kwamba, Zitto CCM anaitamani, ila tu anatambua kuwa kwa kupitia CCM challenge kwake itakuwa kubwa. Wanasiasa kama hawa upinzani wamejaa KIBAO!
NDIOO MAANA IKASHINDWA KIGOMA....NENDENI MOSHI MKAHONGE
 
Zitoo
Usimshau Kadampinzani Na Wenzake.. Yetu Hata Kwenye Ubunge Wa Kuteuliwa.......
 
ungemuuliza mwenyewe ndio anajua, mie nitajuaje kama mwenyewe hajatoa intent!

Basi be informed kuwa Zitto ametamka kuwa 2010 hagombei tena ubunge. Ndio maana nasema sasa hivi tusimshabikie wala kusema kachemka, tungoje kuona strategy aliyonayo.
 
Unajua tumezoea kuzugukwa kiasi kwamba tunalilia tuzugwe.

a. Mikakati ya kisiasa ni pamoja na kuweka pressure to your opponents. Unapotangaza kuwania nafasi fulani, unawalazimisha wale wanaoifikiria na wenyewe kuadjust their game plan na kuona ni nani watakabiliana naye. So, katika hili Pressure haiko kwa Zitto tu bali kwa mtu yeyote atakayetamani Urais aidha 2015 au 2020..

b. Kuna mtu kasema sijui sheria inamkataza mtu mwenye kifafa asiwe Rais, hiyo sheria haipo ni imani kama ya watu wanaomini kuwa mwezi umeundwa kwa jibini! Katika hili la kuanguka mbona kuna jamaa alianguka hadharani tukaambiwa sababu yake ni "kufunga"? Lakini baadaye kuna nyeti kuwa ameanguka mara karibu nyingine nne na hamjaambiwa chanzo chake? Msitake tuanze kugusa visivyoguswa...!

c. Nimekaa kujiuliza hivi kuwaficha watu nia yako ya kisiasa hadi dakika za mwisho una lengo gani hasa? Jibu ni jepesi unafanya hivyo kwa manufaa yako na yako pekee. Unapoficha nia yako ya uongozi basi unawafanya watu wasikuangalie kwa karibu na kurunzi ya ukosoaji isielekezwe kwako. Kinachokufanya ufiche nia yako ni opportunism of the first class kwamba "wasipojua nataka, ndipo nitawashtukiza".

Mtu anayeficha nia yake hiyo anawaona wananchi kama maadui wake na hivyo hataki wajue "mbinu zake" na nia yake wasije "kumharibia". Uongozi wa namna hiyo ni wa kizugaji. Ukinipa uchaguzi wa watu wawili mmoja ni mtu aliyetangaza kuwa anataka kugombea Ubunge muda mrefu na nikamfuatilia kwa muda wote huo na kujua mafanikio yake, madhaifu yake, n.k na mtu ambaye anaibuka wakati zinapotolewa fomu na kusema anataka kuwa mbunge wangu na kitu pekee alichonacho ni kuonesha kuwa yeye ni Dr. "So and So" au "Prof. So and So".... na sijui lolote juu yake, nitampigia kura yule ninayemjua kuliko huyo nisiyemjua hata kama ana sura nzuri na maneno matamu. Haya ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia binafsi sitaki tena.

d. Hata hivyo naona huu ni mwanzo mzuri kwani angalau tunaweza kujadiliana kama kuwaficha wananchi nia yako ya kuwaongoza ni jambo zuri au baya. NI wazi ukiwa mbinafsi na ambaye unautaka uongozi kwa ajili yako mwenyewe ni vizuri kuficha for you are the center of your own political universe, lakini kama unataka support ya wananchi na wale unaotaka kuwaongoza, kuna vitu havina msingi wa kuvificha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom