Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

Hajafanya chochote zaidi ya kujaribu kuanzisha miswada isiyofanikiwa bungeni au kuibua mabomu bungeni. wapinzani hawana kitu na ccm tunapeta mwaya.

kidumu chama cha mapinduzi

kwa sababu alikuta wabunge wote wamelala, akawa hana pa kuanzia isipokuwa from scratch, ambayo ndio hiyo miswada, hata kama haijafanikiwa lkn he tried his best, wewe umejaribu kuifanyia nini nchi yako?
 
are we creating another ccm hating pundit in here to replace MWK ??..........am out bana ! baadae.!
 
mtu mzima hapa ni nani sasa kati yangu na wewe?

ulimbwende wa hoja huuwezi, kazania hivyo hivyo kuuanika utupu wa mawazo yako kama unavyoonyesha hapo juu.

We unaona akili hiyo despotic destitution destined for a definite destool?
 
simple ! ahadi alizotoa wakati wa kampeni and nothing more !

aliyemlet down ni kikwete, ulitegemea zile ahadi azitekeleze kwa mawe wakati fungu kubwa la baeti linaenda kwenye usalama wa taifa kuliko kwenye shughuli za maendeleo majimboni? wenye vijisenti wenyewe wameshindwa kuyaleta maendeleo kwenye majimbo yao. Tanzania uongozi wake ni top-down hivyo kama hakuna changes towards maendeleo kule top ni zero, basi bottom changes towards maendeleo ni negative. We need someone to go and change the priorities kule top, we need someone like Zitto.
 
nshakujua wewe ! ni vizuri nikupuuzie kabla sijakutengeneza ! naona ushaanza kupata kichwa humu kwa kuwa arrogant eeh !ACHA UTOTO WA KUTOA EXUSES ZA CLINTON KWA KUSHINDWA KUKAMILISHA AHADI ZAKE NY, ETI KWA KUWA BUSH AMEKUWA RAIS NA YEYE ALITEGEMEA AL GORE ATASHINDA.... kwa hiyo kama jk kamlet down zitto kutekeleza ahadi jimboni kwake, ndio sababu ya zitto kugombea urais ili akatekeleze ahadi jimboni kwake kama rais/mbunge ??

anyway, usinijibu mama maana nshajua your intentions ! endelea na mjadala salama !
 
... mbona kikwete alianza kuutafuta urais kuanzi mwaka 1994 na haikuwa siri kwa miaka 10 hadi ametimiza ndoto yake ya kuwa Rais.

...Lakini hakuwahi kutamka nyo wala nywe, tokea alipoondoka Dodoma, 1995

Kwa mara ya kwanza naenda kwenye rekodi kumtetea Kikwete.

Nilipata bahati ya kukutana na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Jakaya Kikwete, New York, wiki chache kabla CCM haijaenda Dodoma kuchagua tiketi.

Baada ya mkutano wa Mkapa na Watanzania New York kuisha, Muungwana akabaki ukumbini anasogoa sogoa, unajua tena watu wa Chalinze walivyo Watu wa Watu.

Nikamuuliza, Musee, utagombea Urais?

Musee akanijibu, "sijaamua kama nitagombea."

Nikasema yes! Mwanasiasa tunae! (mpaka kampeni zilipoanza siku moja akachemsha, akadhihaki uniform za Polisi, nikamwona huyu nae mchovu.)

Na wote tunajua Musee aliaanza kukaa mkao wa kula Urais toka 1994 alipo gandisha "vijisenti" vya marehemu Mpwani mwenzie, Kighoma Malima.

Kwa jibu hilo la Kikwete, nadhani alikuwa mjanja kuliko Zitto, inapokuja kwenye kujibu maswali ya Kisiasa Siasa.
 
...Lakini hakuwahi kutamka nyo wala nywe, tokea alipoondoka Dodoma, 1995

Kwa mara ya kwanza naenda kwenye rekodi kumtetea Kikwete.

Nilipata bahati ya kukutana na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje Jakaya Kikwete, New York, wiki chache kabla CCM haijaenda Dodoma kuchagua tiketi.

Baada ya mkutano wa Mkapa na Watanzania New York kuisha, Muungwana akabaki ukumbini anasogoa sogoa, unajua tena watu wa Chalinze walivyo Watu wa Watu.

Nikamuuliza, Musee, utagombea Urais?

Musee akanijibu, "sijaamua kama nitagombea."

Nikasema yes! Mwanasiasa tunae! (mpaka kampeni zilipoanza siku moja akachemsha, akadhihaki uniform za Polisi, nikamwona huyu nae mchovu.)

Na wote tunajua Musee aliaanza kukaa mkao wa kula Urais toka 1994 alipo gandisha "vijisenti" ya marehemu Mpwani mwenzie, Kighoma Malima.

Kwa jibu hilo la Kikwete, nadhani alikuwa mjanja kuliko Zitto, inapokuja kwenye kujibu maswali ya Kisiasa Siasa.

kwa hiyo kikwete akiendelea na siri kali zake usimlaumu, kwa vile ni tabia yake na vile unaextol hapa.

Tunataka mtu muwazi na mkweli, kuwa na dream ni kutofauti na kuintent. Ulimuuliza kikwete kwa vile tayari ulijua ana dreams za kugombea urais? kwa nini hukuwauliza wote aliokuwa nao? ni kwa sababu ulijua ana dreams za kugombea urais. Na watu watajuaje kama una dreams, inabidi uwaelezee dreams zako.

Jamani Zitto is a guy of substance, awe chadema au chausta, he has got my vote once he decided to stand for presidential race.
 
nshakujua wewe ! ni vizuri nikupuuzie kabla sijakutengeneza ! naona ushaanza kupata kichwa humu kwa kuwa arrogant eeh !ACHA UTOTO WA KUTOA EXUSES ZA CLINTON KWA KUSHINDWA KUKAMILISHA AHADI ZAKE NY, ETI KWA KUWA BUSH AMEKUWA RAIS NA YEYE ALITEGEMEA AL GORE ATASHINDA.... kwa hiyo kama jk kamlet down zitto kutekeleza ahadi jimboni kwake, ndio sababu ya zitto kugombea urais ili akatekeleze ahadi jimboni kwake kama rais/mbunge ??

anyway, usinijibu mama maana nshajua your intentions ! endelea na mjadala salama !

Umenijulia wapi, acha kuspeculate na kuleta vitisho.

Unitengeneze kwani wewe Mungu,

kichwa nimezaliwa nacho na bila kichwa nisingekuwa binadamu au ningekuwa sayari nyingine.

you are arrogant thats why you know how arrogant people are.

Siwezi kuwa MTOTO kama wewe, mimi ni mtu mzima na hapa kwenye forum simuoffend yeyote zaidi ya kutoa hoja zangu kama vile unavyotoa zako.

Usinipangie cha kufanya kwa sababu siku naregister hapa hukunipangia kufanya hivyo. Here we dare to talk openly, kama unataka kunistoppisha hutaweza, nitafanya nitakavyo.
 
At least he shows his true colours. Let him be him! sio kujivisha ngozi ya kondoo wakati kwa ndani ni chui.
 
At least he shows his true colours. Let him be him! sio kujivisha ngozi ya kondoo wakati kwa ndani ni chui.

Lakini katika ulimwengu wa chaguzi za Kisiasa haikuwa busara kusema hivyo mapema hivyo. Hata ndani ya CHADEMA namo watu wataanza kumtolea macho. Kajitengenezea maadui.

Hamna mtu ana uchungu na ana mapenzi na upinzani kama mimi, lakini hapa Zitto kachemka big time! Atajuta sio kidogo.
 
Haijalishi, kama mtu sifa unazo na kujiamini na unajua unachokisema kwa nini usiseme ndoto zako, sio mambo ya kuvizia vizia.

Fanya kitu unaona kina manufaa na wewe, na mtu kuwa na ndoto sio dhambi bali ni ujasiri na kuonyesha good planning of what will prevail in the future.

Huu ndio wakati wake wa kujua nani rafiki wa kweli na nani mnafiki.
 
Sijasoma posts zote, ila kwa siasa za Tanzania sidhani kama amecommit political suicide, lakini akae akijua sasa hivi macho yote kwake si kutoka CCM pekee yake ata Upinzani na CHADEMA kwenyewe maana nina uhakika kuna waungwana wengi kwenye chama chake nao wanataka hiyo nafasi.

From now on chochote atakachosema, kitakuwa kinatunziwa kumbukumbu kazi anayo...wale mastrategists wa CCM ndio wakati muafaka wa kukusanya hotuba zake kuanzia sasa, mtazihitaji siku moja.
 
hapa kwenye forum simuoffend yeyote zaidi ya kutoa hoja zangu kama vile unavyotoa zako.

By the way Mama, umeni-offend ulipo endorse haya maneno ya huyu mtu:

Zitto hayupo hata Dodoma wewe umelogwa ama ukimsikia Zitto basi unapatwa na ugonjwa wa kujikuna ama kukunwa?

Mama naomba ukaondoe thanks kule, sidhani kama unakubaliana na uchafu wa lugha hii Mama.

Uki endorse idea ya mtu ni pamoja na lugha aliyotumia, na matusi na kila kitu.
 
By the way Mama, umeni-offend ulipo endorse haya maneno ya huyu mtu:

Mama naomba ukaondoe thanks kule, sidhani kama unakubaliana na uchafu wa lugha hii Mama.

Uki endorse idea ya mtu ni pamoja na lugha aliyotumia, na matusi na kila kitu.

Kwi kwi kwi, KM I stand my vote of thanks. Kuna watu wanawashwa kweli wakisikia jina la Zitto, sijui ni chuki binafsi au basi tu ili mradi kumsasambua. Hebu ninyamaze mie maana leo Baba watoto akiingia JF nina kesi ya kujibu.
 
Kuhani.. pale JK aliposema kuwa hagombei uliamini? Watanzania wangapi waliamini kuwa JK hatogombea tena baada ya kuondolewa 1995? Hivi kwa JK kujitokeza kugombea 2000 ilimshangaza nani?....
 
Kuhani.. pale JK aliposema kuwa hagombei uliamini? Watanzania wangapi waliamini kuwa JK hatogombea tena baada ya kuondolewa 1995? Hivi kwa JK kujitokeza kugombea 2000 ilimshangaza nani?....

Lakini mkuu, nakumbuka kwamba JK aliambiwa wakati ule kwamba hakuwa tayari kugombea, ule mwaka 1995.

Lakini alikuwa na ambition, tena kubwa na ya wazi isisemwa kuwa ni ndoto.

Kwa hio waliofahamu mambo yote walijua kwamba kuna kupokezana vijiti.

Sasa mheshimiwa kijana mwenzetu hayumo katika mfumo rasmi wa kupokezana vijiti, ila yupo huru kusema kwamba anaota siku moja ataja kuwa raisi.
 
Mwnkjj,

Sikuamini Kikwete, lakini nilimwona ana busara za kutofungua mijadala inatakayo distract kazi yake ya Mambo ya Nje. Bonge la busara.

Zitto, masikini, hiyo political savvy hana. Yani hapa inabidi ajifunze.

Kama ulivyosema jana Mwanakijiji,

ni kumpa nafasi ya kufanya makosa na kujifunza na kusonga mbele...

Nakubaliana na wewe kabisa, amechemka vibaya mno jana Zitto!
 
Kuchemka kila mtu anachemka ndio ubinadamu, lkn hilo lisimfanye kuwa kwenye group la wanaochemka sana. Wako wanaochemka na kwa hili la kutoa ndoto zake bado Zitto hajachemka, ila sisi wenye negative envy ndio tunachemka.
 
Back
Top Bottom