Naona kijana anaanza kuchemka sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Koba, Jun 12, 2008.

 1. K

  Koba JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Zitto Kabwe says has eyes set on the...

  2008-06-11 09:23:35
  By Leonard Mubali, PST, Kibondo


  The Kigoma North Member of Parliament, Zitto Kabwe, has said his ambition is to become President of the United Republic of Tanzania ``when the right time comes``.

  Kabwe was responding to a question from PST as to whether he would consider crossing over from his political party Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) or any other party like some of the prominent opposition leaders had done before him.

  Kabwe said: ``I have no plans to quit Chadema, neither today nor tomorrow, because my goal goes beyond being an MP or even a minister, but to one day become a \'big potato\' in this country.``

  He said he was planning to become a big potato while in his Chadema party and that he did not want to disrupt his plans to the State House by crossing over to another political party.

  Asked to clarify whether by \'big potato\' he meant the presidency, Kabwe said yes, adding that he was not like some politicians who after becoming popular wanted to join the ruling party hoping to shorten their way to the State House.

  ``I am different, I want to achieve my dreams while a member of Chadema,`` he said, adding that he was aware of the fact that constitutionally his age did not allow him to become president right now, but he was willing to wait until the right time.

  He castigated those who changed their political allegiance after gaining some popularity in one party, saying they soon lost the confidence and trust of the people they led so much that they could not now organise even a political meeting of five people.

  The Kigoma North legislator said he was not there for the people of Kigoma only, but for all Tanzanians, and that was why he was exposing underhand dealings of the government.

  SOURCE: Guardian
   
 2. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2008
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,749
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hapa mie sia la kusema ! nsije nkasema nkaambiwa nimezidi kuchonga mie !
   
 3. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kachemsha kweli.

  Kutokukomaa kisiasa, au kuwa katika mfumo ambao haujakomaa kisiasa.

  Mbunge huwezi kusema una ndoto za Urais. Tunajua karibu kila kiongozi ana ndoto za Uongozi wa juu zaidi ya alio nao, lakini ukitamka wazi wazi utaambiwa ina maana wewe hu focus kwenye kazi yako ya sasa hivi, ila kila unachofanya ni kupalilia njia ya kwenda Ikulu.
   
 4. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 135
  He deserves some credits for being open and honest but im afraid this wont do him any favour, kuanzia sasa kila atakachofanya wengi watakuwa wakiona kama ni jitihada tu za kutaka kutimiza ndoto yake, wengi waliofika huko juu wamefika kimyakimya!
   
 5. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unajua, ukishuhudia kwa macho yako jirani yako anakula kauzu kila siku, halafu ukaenda mtaa wa pili kupeleka taarifa za huo ukweli, hupati sifa ya kuwa muwazi ila mbea. Sio kila ukweli ni busara kuusema.

  Huu ukweli wa Zitto hapa hauhitaji kupewa credits kwa sababu sio wa busara!
   
 6. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  If at all the report is accurate then in entertaining a public shot at the presidency Zitto Kabwe joins Hussein Mwinyi in being not only juvenile but also making himself an overly handsome target of immense CCM and quite possibly his own camp's cannons.
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2008
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Zitto alishasema kuwa 2010 hagombei tena ubunge, ili apate muda wa kujiendeleza professionally. Nadhani huo urais ana mpango mwingine wa kuunyemelea lakini sio kupitia ubunge, unless naye awe mtu asiyetimiza anayosema.

  Zitto kazi anayoiweza ni ya uandishi wa habari kwa sababu yuko fast kutafuta dataz na kuzimwaga hadharani lakini kama legislators he is just another failure story.Sijaona successful legislator anayeshindwa hata kufanya good choice of words to move an agenda!
   
 8. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Nakubaliana na wewe,lakini hata hivyo inakuwa vyema kuwa mkweli anapoulizwa swali....Ambition kama hiyo inaonyesha kuwa ana wahka wa kutaka kuongoza nchi yake....je mnakumbuka Hillary aliposema kuhusu ya Obama?

   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Jun 12, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jamani kuna ubaya gani kuwa na goals kama hiyo...
  Mbona huku majuu watoto wadogo ambao hawajui kitu huweka goals kama hizo na kuzifanyia kazi iweje leo iwe issue kwa Zitto....Ama kwa sababu huu sio utamaduni wetu, mtu anaishi kwa kulitazama jua.. (maisha yanakuwa set kwa siku), unajua tena kazi ya Mungu hujui kesho utaamka mzima...

  Zitto ni kijana bado na anaonekana kuwa anaiva vizuri sana na wananchi. Kajichanganya kiasi kwamba mengi ya walalahoi anayafahamu na ni maisha anayoishi yeye mwenyewe.

  Nambieni ni kipi hasa kilichowachosha haswa!... waandishi wa habari si ndio hao kina Mkapa mbona sioni mtu yeyote akisema Mkapa alikuwa hana CV safi ya kumwezesha kuwa rais?..
   
 10. K

  Koba JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  .....usichanganye watoto wa kindergatten wakisema wanataka kuwa raisi na zitto akisema same thing,kwa wengi seems like njaa ya madaraka kama sio arrogance!
   
 11. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ahsante.

  Nilikuwa nimeandika message kama ya kwako hiyo, karibu neno kwa neno, nimeifuta.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jun 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sioni ubaya wowote kwa yeye kusema alichosema! Aseme sasa au baadae kuna tofauti gani?
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Jun 12, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hizo siasa za zamani za kuogopa kuonesha ambition yako. Urais siyo ufalme ambao mtu anaogopa kusema anautaka. Alichofanya Zitto ni kujisababishia standard ya pekee na kuangaliwa na watu kwa ukaribu zaidi. Amejiweka ili achunguzwe na kupimwa. Haya mambo ya kudanganya ati watu hawautaki Urais lakini zikitolewa fomu wanakuwa wa kwanza kuchukua tena kwa mbwembwe yamepitwa na wakati.

  Kama kuna mtu anafikiria kuwa Rais mwakani na ajulikane hivyo. Kinachonishangaza ni kuwa ilipoandikwa taarifa ya gazeti la Raia Mwema wiki chache zilizopita na watu waliojipanga Urais hakuna mtu aliyesema neno. Wao wenyewe hakuna aliyekanusha kuwa si kweli wanautaka Urais. Soma HAPA

  Kama kuonesha nia ya kuutaka Urais ni kosa kubwa na vibaya watu kujua unautaka Urais mbona leo tuna Rais ambaye alijulikana ana utaka? Au kwa vile kasema Zitto kwa vile tunamjua na ni bwana mdogo na kama utani tunamuita "kijana" (kweli ni kijana lakini imetumika with contempt) basi hastahili kusema nia yake?

  Urais ni nafasi ya kuwatumikia wananchi wenzako na Taifa lako na hakuna aibu wala kumfanya awe duni ati kwa sababu ametamka kuwa wakati ukifika angependa kufanya hivyo. Tuje na chuki nyingine lakini hizi za kwa vile Zitto kasema lililomoyoni mwake hazina msingi, kwani kuna baadhi ya watu hapa Zitto hawezi kusema lolote zuri, hawezi kufanya lolote jema, na hata kama ana mawazo yoyote basi asiyatoe kwa vile anaweza "kuchemsha" na kuwatibua wataalamu wa JF!

  Kwa hili ni ninyi mmechemsha, leteni hoja nyingine, kijana ana haki zote kama Mtanzania yeyote na kama atakuwa na sifa zote za kuwa Rais basi hakuna kitakachomzuia..! and he'll have my full support if he wants to! Na hilo applies to anybody else who would dare to declare his intention na tutaangalia rekodi yake.

  Binafsi nampongeza Mhe. Zitto kwa kusema alilonalo, na hivyo kutupa nafasi ya kumuangalia na kumsaidia asianze kufungwa fungwa na mafisadi, na hivyo amejiweka mwenyewe kwenye chekecheo la wakosoaji na tutampima na kumjaribu kama kwa moto na akipita salama itakuwa fahari kumuona akiapishwa kuwa Rais wa Jamhuri yetu! Yes I said it!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jun 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Amen! Amen! Amen!

  Sina la kuongeza.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jun 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wewe Yourname, unasema Zitto kachemsha. Kachemsha kivipi? Kipi kibaya kusema nia yake?
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jun 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Bado huja-address swali. Umesema kachemsha, how? Kachemshaje kwa kuweka wazi lengo lake?
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jun 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Jun 12, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Nyani ndiyo hapo yaani.. watu wamezoea mambo ya kuzugwa zugwa hadi kinapotokea kitu cha kweli wanataka wazugwe..!
   
 19. k

  kalld Member

  #19
  Jun 12, 2008
  Joined: Jun 14, 2007
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila mtu ana malengo yake katika maisha .either uwe muwazi au iwe kwa siri!Zitto ameweka malengo yake wazi!hakuna kosa hapo!
   
 20. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ...katika jamii changa Kisiasa uko sawa!
   
Loading...