Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

are we creating another ccm hating pundit in here to replace MWK ??..........am out bana ! baadae.!

that comes out of hatred! I am an independent fyi. huu ni mjadala kama maana ya kujadiliana na unang'ang'ania mabishano na mashindano kama vile kutafuta mshindi, l.o.l you better go! too judgemental, useme wewe tu kiazi, tukisema mwengine mhogo maraa ooh mchungu mara una mizizi...

not even once in a blue moon ! walisema wengi bora niondoke na wakaishia kuondoka wao, enewei nivumilie tu ! tuendelee na mjadala !

mgumu kuelewa mwepesi kusahau!
 
umeshinda! unatafuta, umechelewa kama bado watafuta, wenzio zamani.

yaishe bana ! nilikuwa nakuzingua tu ! natoka zangu mie ! naenda kuutumia ujana wangu saa hizi ! halafu nashindwa kukuelewa saa nyingine unachoandika "mama".!!
 
yaishe bana ! nilikuwa nakuzingua tu ! natoka zangu mie ! naenda kuutumia ujana wangu saa hizi !

kwi kwi kwi, yaani wewe ni bingwa wa kuspin, l.o.l; by the way nimekusamehe ila siku ingine usirudie, nenda salama
 
Bomba ! lakini huoni tatizo hapa kwamba jamaa pengine hasaidii watu wa jimbo lake na instead anafikiria interests zake ?

halafu ona hapa, [media]http://bp3.blogger.com/_1fXMXYztr0w/SD4uHOxzGvI/AAAAAAAAIxQ/f4ff1RmzvcM/s1600-h/1.jpg[/media] ...badala ya mkapa, fikiria zitto ! utacheka !<<Hureee zitto kaongea>> haya, baadae ! tuendeleeni na mjadala !

Moja ya interest zake ni kuwawakilisha wananchi bungeni, kitu ambacho anakifanya kwa uwezo wake wote, kumbuka yeye sio malaika na wala hana vijisenti vya kusaidia jimboni kwake direct (i mean kutoka mfukoni mwake).

Bado suala la kuwapa maisha bora wananchi wa kigoma kaskazini ni jukumu la serikali ya kikwete kama ilani chama chao inavyosema (maisha bora kwa kila Mtanzania)
 
Zitto means HEAVY!

Kama wao waliweza atashindwa nini mzito wetu!

Within the first few minutes of Barack Obama's famous address to the Democratic convention in Boston, he mentioned one word five times. "My grandfather had larger dreams"; "they, too, had big dreams"; "a common dream"; "my parents' dreams live on"; "that is the true genius of America - A faith in simple dreams".

That speech, on July 27 2004, lasted 15 minutes and put Obama on the map. The Chicago Herald said he "hit every note", the rightwing commentator Robert Novak called him one of the Democrats' hottest properties and the Augusta Chronicle dubbed him the party's "promising new cub".
Promising new cub. What an enormous difference just three and a half years can make. Obama is no longer a mere cub. With a gale now blowing in his sails after Iowa and New Hampshire, he has a real chance to become the Democratic candidate for November's presidential elections. His potential has emerged with lightning speed; he is the political equivalent of Facebook, another phenomenon launched in 2004 that feels as though it has been around forever.
Dreaming has played a crucial part. At crucial moments through his career he had what he calls the audacity of hope: where others might have stepped back, he reached out, both in terms of his personal ambition and in terms of his appeal to supporters outside the natural Democratic tent.
When he made the Boston speech he was not even yet in Congress - he was a Chicago lawyer running at the time for one of two Illinois seats in the US Senate. That race was in itself a long shot: a black man, as he describes it in his first book Dreams from My Father, "without organisational backing or personal wealth, and with a funny name" competing to become only the third African American since the post-civil war period of Reconstruction to serve in the Senate. He won, galvanising support in white areas as well as black.
Look further back still and the pattern is repeated. In 1990, while a second-year student at Harvard, he had the audacity to stand for election to head the Harvard Law Review, one of the country's most prestigious legal publications. He beat off 18 other candidates to become its president. (Savour the moment: he was elected President Obama.)
David Goldberg, a civil rights lawyer who was runner-up in that poll, recalls that Obama won by reaching out to rightwing law students, several of whom went on to become key legal advisers in the Bush administration. "We were a really polarised group of students, and he managed to span us all."
Further back still you see the dreams of his white mother from Kansas who had no money yet managed to send Barack, aged four, to an international school while they were in Indonesia. Every morning she would wake him up at four to give him English lessons before school. Or go back to the very beginning and his parents' decision to pass on to him the name of his father, a black Kenyan who had come to America to study but separated from his mother to return to Kenya when the boy was two. They gave him the name Barack - an audacious act in itself in 1961, since when they married, Obama says, "miscegenation still described a felony in over half the states in the union". Barack means "Blessed".
 
Hivi mafanikio ya Zitto jimboni kwake ni yapi? mwenye data atuletee kuanzia elimu,afya,miundo mbinu etc,na vipi bungeni ana mafanikio yeyote yale...nakumbuka kuna wakati aliwasha cheche akafungiwa.

Kwanza heshima kwako mkuu,Mafanikio ya Zitto jimboni kwake kuanzia elimu,afya,miundo mbinu kwa ujumla yapo chini,yapo chini kwa sababu hapati support kutoka serikalini,na serikali imelitenga jimbo la Kighoma Kaskazini kwa sababu wananchi wamemchagua Zitto,hili linathibitika pale Kikwete kama Rais alipofanya ziara kule Kighoma kaskazini na kusema kwamba wananchi wa Kighoma Kaskazini hawatopata maendeleo kwa sababu wamechagua upinzani.
Kwa kitendo cha yeye kufungiwa bungeni kilisababisha kuongezeka kwa umaarufu wake,YUKO SAHIHI kusema kwamba muda ukifika anatarajia kugombea urais,hakuna ubaya wowote,ila ni chuki tu ndio imewatawala enyi wana JF mnaompinga
 
hakuna ubaya wowote,ila ni chuki tu ndio imewatawala enyi wana JF mnaompinga

Sawa sawa, hapa tupo ukurasa mmoja, saafi sana Simple, Short, Loud and Very Clear, hakuna cha kuongeza,

Go Zitto! Go! unajua ninaposoma maoni ya baadhi ya watu humu kwenye hii topic, ninashia kujisemea kuwa some of our people wanahitaji kuhamia Kenya na kuwa raia huko, ili wakale siasa za kina Kibaki na Odinga, hizi za bongo hawana heshima nazo kabisa na hazitakuja kuwasaidia hata siku moja!

Ni maoni yangu tu!
 
Kwanza heshima kwako mkuu,Mafanikio ya Zitto jimboni kwake kuanzia elimu,afya,miundo mbinu kwa ujumla yapo chini,yapo chini kwa sababu hapati support kutoka serikalini,na serikali imelitenga jimbo la Kighoma Kaskazini kwa sababu wananchi wamemchagua Zitto,hili linathibitika pale Kikwete kama Rais alipofanya ziara kule Kighoma kaskazini na kusema kwamba wananchi wa Kighoma Kaskazini hawatopata maendeleo kwa sababu wamechagua upinzani.
Kwa kitendo cha yeye kufungiwa bungeni kilisababisha kuongezeka kwa umaarufu wake,YUKO SAHIHI kusema kwamba muda ukifika anatarajia kugombea urais,hakuna ubaya wowote,ila ni chuki tu ndio imewatawala enyi wana JF mnaompinga

...excuse excuse,maendeleo sio lazima JK hata yeye anaweza kuhamasisha wananchi wake wakaendelea.
 
Perhaps we are missing the point here. It is not really so much about whether or not Zitto was right or wrong and whether it was good or bad. In politics, the line between wrong and right, good and bad can be very very thin. Rather, the issue, to me, is, was it politically wise and witty to declare his intentions at this stage and at this point in time?

The best a politician with presidential ambitions can do in advance is to display his or her core convictions about the issues that matter to the public and let people judge for themselves about where you may be headed to. Again, so long as this is all about politics, these are just ideas, no body can say for sure that it's wrong or right or good or bad.

Having said that, there is a lot that our upcoming politicians can learn from savvy and successful politicians from other countries, both within and beyond Africa. It is simplistic and somewhat naive to keep swimming in the platitudes that the bongo politics are unique and therefore use this as an excuse to hide out what is otherwise clearly a huge political gaffe.
 
Bora Useme Wewe Kwa Kuwa Nikisema Mimi Ntaambiwa Ni Mzushi Lakini Nakumbuka Kwenye Kikao Cha East Africa Youth Forum Dodoma Mwaka 2001,by The Time Walikuwepo Hebron Mwakagenda,hubert Augustine-wish, Mayunga,nchimbi,nakumbuka Ata Kitila Alikuwepo Bt Sikumbuki Vema,komba Isaya Na Vijana Wengi.mh Zitto Alianguka Kifafa,kwa Kuwa Alivunjika Jino Moja La Mbele Wakati Anaanguka Tulimpeleka Hospitali.walithibitisha Kuwa Kilikuwa Ni Kifafa.najua Sheria Za Nchi Haziruhusu Mtu Mwenye Kifafa Kuwa Rais Sasa Sijui Yeye Ana Mpango Gani.au Amepona Tayari?

NI KWELI KUWA ANASIFA ZA KUGOMBEA HUO URAIS PAMOJA NA TAARIFA HII.HISIJE KUWA NI SAWA NA KUDISCUSS NDOTO ZA ABUNUWASI.
 
Wana JF,

Habari za siku nyingi. Sikuwa katika mtandao kwa wiki mbili kwani nilikuwa jimboni kwangu na katika ziara ya mkoa wa kigoma ya kujenga chama changu ili kuhamasisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za vijiji na kamati za vitongoji mwaka 2009.

Nilipokuwa uwanja wa ndege leo nimekutana na Balozi Christopher Liundi akitokea Addis Abeba. Akaniambia, hongera kwa kutaka kugombea Urais... nikashtuka! Akaniambia amesoma katika guardian na ipo katika mjadala JamiiForums.

Baada ya shughuli zangu za mchana, nikasema nije kusoma suala hili maana sijabahatika kupata gazeti hilo. Kigoma Magazeti yanachelewa sana, lakini pia nilikuwa vijijini kwa muda wa siku kumi na hivyo sikupata magazeti kabisa isipokuwa vichwa vya habari kupitia RFA asubuhi.

Nimesoma habari yenyewe na pia nimesoma mjadala katika JF.

Ninaamini kuwa kuwa na nia ya kugombea uongozi sio kitu cha ajabu na kuwa ambitious sio kitu kibaya na wala sio tatizo kutangaza. Katika siasa zetu za kikiritimba na kutegemea chama kusema suala hili ni geni sana. Lakini itazoeleka tu.

Sikutamka kamwe kuwa nina nina ya kugombea Urais nilipokuwa Kibondo katika mkutano wa hadhara na wala sijafanya majadiliano yeyote na mwandishi wa PST pale Kibondo. Nilifanya mahojiano na community Radio iitwayo KWIZERA na suala hili halikujitokeza. Isipokuwa niliulizwa swali na wananchi pale Kibondo kwamba iwapo sitawasaliti watu wa Kigoma na kwenda CCM kama kina Kifu, Kabourou na Nsanzugwanko. Nilijibu kuwa mimi nina 'mission' yangu ya kutimiza nayo ni kuimarisha mfumo wa vyama katika Taifa. Lengo langu katika siasa sio ubunge au uwaziri tu! Watu wa Kibondo wakasema.... URAIS.... Nikasema umri bado.

Masuala ya BIG POTATO sikuyasema na wala hiyo si lugha yangu. Sijawahi kutamka neno hilo Big Potato katika maisha yangu ya kisiasa. Kwanza ni neno ambalo ni kinyume na IDEOLOGY yangu. Eti Nataka kuwa Big Potato? Ujinga kabisa..... haya ni maneno ya vipetty bourgous ambao wanaona uongozi ni kama chanzo cha maisha ya kifahari.

Nimeulizwa mara kadhaa suala hili. Nimejibu majibu tofauti lakini yenye maana moja. Mwaka 2006 niliulizwa nikajibu ... watch my steps! Mwaka jana na mwaka huu nimeulizwa na nikajibu Umri bado kama nilivyojibu Kasulu na Kibondo.

Sijawahi kusema sina nia na wala sijawahi kusema nina nia. Huyu mwandishi kaandika maoni yake au hakuelewa hotuba yangu Kibondo.

Wengi waliochangia hapa waliamini moja kwa moja kuwa maneno hayo niliyasema na kuweka hitimisho zao bila hata kunisikiliza ilhali mimi ni mwanaJF na huja hapa mara kwa mara. Ninapata hisia kuwa kuna watu wanachuki zisizothimilika dhidi yangu na wapo tayari kupick chochote ilimradi kuonesha chuki zao. Sina cha kuwafanya..... ipo siku watagundua kuwa wananionea tu na wataacha chuki zao.

Siamini kuwa ili kuleta mabadiliko katika nchi ni lazima uwe Rais. Kuna njia nyingi sana. Mnaoangalia Urais pekee, mfungue macho yenu na kusoma. Kuna njia nyingi za kuleta mabadiliko katika uongozi wa kisiasa wa nchi. Sio kukimbilia Urais.

Wanaoutamani Urais, wasiruke roho. Ni utume wangu kuona nchi yangu ni ya mfumo imara wa vyama vingi. Urais katika ukombozi is simply one of the means, not an end.
The End is a prosperous and democratic Tanzania. Tanzania that, the children of the poor and the rich have equal opportunity to excel in education, Tanzania that a poor woman and a rich woman access and afford health care! Tanzania that one will not be judged based on the card of his or her political party, but the content of his or her ideas, the merits and his or her patriotism and service to the country.

My mission is to reclaim the Tanzanian dream that our founding fathers crafted during the struggle for our independence. If Presidency facilitates the realisation of the dream, let it be! If it is the Prime Ministership let it be! If none, let it be as well.
 
Lol karibu nilijua umekula kona,
Kwa kuwa umesema wewe na waandishi wetu walisema vingine.....anyway NDIO SIASA
 
zitto,
je una lolote la kusema kuhusiana na kauli yako uliposema kwamba 2010 hautogombea ubunge na utarudi shuleni ??
 
Zito

Thanks kwa kuliweka hili sawa tunafahamu hapa wako wanazi ambao kwao maisha bora ni ya wana CCm tu na si kila MTZ. Tumeyaona hata huko ughaibuni ambako wameanza kwa speed kali kusambaza UCCM sio Utanzania - AIBU!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom