AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,428
- 1,405
:spit:HUYU JAMAA ANAONEKANA SI MKWELI,NI TABIA YAKE KUPOST MAPOST YA AJABU AJABU,KAMA HII HAPO JUU
acha kukashifu ndugu ,unasema kwamba rahisi hajui kwa nini tanzania masikini au unaropoka tu?wewe unajua ,acha kudharirisha watu ndugu,rahisi kufika pale maana yake anauelewa kuliko hata wwe ndugu yangu.wewe ni mnafiki! Huyo jamaa ndiyo kawa mkweli kwani vyuo vya tanzania watu wanaenda kukusanya vyeti lakini kichwani ni weupe! Hujiulizi kwa nini professor mhongo hajui mitaji ya kuwekeza kwenye biashara inapatikana wapi na kwa nini hata rais kikwete hajui kwa nini tanzania ni maskini!
mtu mwenyewe c ajabu umesomea india au malaysia..sasa sijui una tofauti gani na sisi tuliosoma hapa bongoland.
mtu mwenyewe c ajabu umesomea india au malaysia..sasa sijui una tofauti gani na sisi tuliosoma hapa bongoland.
Kijana nimesoma Malaysia na part Aussie na I can assure u kuna bonge la tofauti. Tambua mimi patriotic ile mbaya na inauma kuona nchi yangu inaharibu elimu yetu. Ni gharama na sio sifa kusoma nje, na usidhani watu wanapata faraja kujibana iliwapate elimu bora nje na wewe pia usione sifa kutetea elimu mbovu hapa TZ.
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.
namdharirisha vipi wakati alijibu hivyo yeye mwenyewe wakati akihojiwa na shaka sali wa voice of america? AU ULIKUWA HUJAZALIWA! na professor mhongo anadharirishwa na nani? kwa nchi kama tanzania, any body kama become a president! labda uniambie kikwete kafanya nini cha kukufanya useme ana uelewa mkubwa kuliko watanzania wengine? otherwise you are just as dumb as a donkey!acha kukashifu ndugu ,unasema kwamba rahisi hajui kwa nini tanzania masikini au unaropoka tu?wewe unajua ,acha kudharirisha watu ndugu,rahisi kufika pale maana yake anauelewa kuliko hata wwe ndugu yangu.
Yote kwa yote tatizo ni mwanafunzi,ukisoma alichoandika utagunduA tu kuwa alishajiandaa kupata cheap Msc.Badala ya kuchimbua ili awe hodari kapata Masters Degree ambayo ni ZERO! Kwa wengine ambao tumesomea Engineering unastrive kwenye miradi mikubwa na yenye changamoto kubwa ili baadae uweze kusimama mbele ya jamii na Engineering Community kutoa majibu, kutokana na past experience ya mambo ambayo yalishawahi kuwapa/kukupa changamoto, ila in a long run, ufumbuzi unapatikana. Haya yanawezekana tu kama mtu uko na nia Thabiti ya kujifunza, kupekua n.k. Sasa kupata chet tu haitoshi, je una jambo au mambo mapya uliyoongeza kutoka undergraduate to postgraduate! Mi nadhani ule mfumo wa zamani wa kuhakiki elimu ambao ulikuwa mahsusi kwa watu wanaorudi na degree kutoka nje ya nchi uanze hata kwa degree za ndani. Wakati ule ile iliyokuwa inaitwa Higher Education Accreditation Council ambayo kwa sasa imekuwa ni TCU na NACTE, ndo ilikuwa kazi zake! I hope hadi sasa TCU/NACTE wanafanya kwa wale waliotoka na elimu za nje! Hata hivyo kwa Engineers, ERB huhakiki Wahandisi wageni na wakijiridhisha hupewa Temporary Registered Professional Engineer! Kwa kumalizia, siamin kama kweli ile IDM Mzumbe ambayo imetoa wasomi na viongozi bora hapo mwanzo, eti sasa baada ya kuwa University ndo imedorora, tatizo ni baadhi ya Watanzania kupenda mteremko!
Mia kaka! Mi nakereka kwa watu kutanish image ya elimu yetu!
acha kukashifu ndugu ,unasema kwamba rahisi hajui kwa nini tanzania masikini au unaropoka tu?wewe unajua ,acha kudharirisha watu ndugu,rahisi kufika pale maana yake anauelewa kuliko hata wwe ndugu yangu.
Huyu atakuwa kilaza fulani.Mtu aliyefuata masters hawezi kuweka utupu wake hapa.Useless folk
the great thinkerMleta uzi kama ungeleta mada hii bila kutaja chuo,ukaelezea tu jinsi ulivyofanya upumbavu na sasa unajuta,basi ningeamini unasema ukweli.Lakini sababu umetaja chuo,sisi wenye akili tunajua kabisa lengo la uzi wako ni kuchafua image ya mzumbe na stori yako ni ya kutunga.
Tatizo sio chuo, tatizo ni ujinga wako ambao am sure hautakuja kukutoka.....wewe darasani wanafundisha alaf unaenda kununua coursework, ukipewa assigment unaenda kulipa ufanyiwe, umefika muda wa research wewe ukaenda kulipa ufanyiwe pia, alaf unasema ukaletewa imesainiwa inamaana wewe haukwenda kuitetea kwenye panel ?
Kama unaulemavu wa akili hapo sawa, lakini kama hauna ulemavu wa akili alaf bado ukawa unalipa hela hili ulainishiwe kila kitu hayo ni matatizo yako wala sio ya chuo.......
ndugu msomi kama wewe jua hizo ni technical mistake siyo mistake za kipumbavu sawa?so kiswahili kwanza si njia ya kuniambia nimeishia la ngapi sawa ?ingekuwa kiingereza sawakiswahili lugha yangu jamani, rahisi?? Umesoma hadi darasa la ngapi au ndiyo madhara ya shule za kata aka st kayumba? Ni rais na si rahisi, maana umelirudia mara mbili. Wewe ndiye umemdhalilisha rais, kwa kumuita rahisi, maana nyingine kabisa ! Lol
Sio kweli. Chuo ndio hutoa degree. Na chuo kina mfumo. Kama mfumo ni mbovu unategemea eti umefanya juhudi binafsi hivyo degree yako ina quality? Never! Ikiwa ni hivyo siungefanyia juhudi nyumvani kwako? Ila kana umeenda chuo na chuo kina tatizo la kimfumo piga ua na degree yako ni feki maana hata hao maprof ni feki. Jamaa amekuwa jasiri kusema yanayowasibu wengi tu huenda hata wewe.