I AM WHO I AM
Member
- Oct 18, 2012
- 49
- 35
Huna akili tena hujielewi. Wewe ulitaka masters jina na sio ujuzi.
Hii inaonesha hata ukipewa kampuni uiongoze utagawa mshahara usaiwe kuongoza. Siku ukisikia bosi kaja kukukagua unaomba likizo au safari ya dharura.
Utabaki kufanyiwa tuuuu kufanywa tuuu mpaka hata ndani ya nyumba yako.
Hivi watz tutaendelea lini.
Unaelewa maana ya kuwa MASTERS OF SOMETHING?.
Na woote mliowahi kufanyiwa ni vilaza.
PESA HAINUNUI UBONGO.

Reply