unadhani hata degree ya kwanza anayo maana maada zake hazina uhakika na hazina mantikibila shaka mleta mada degree yake atakuwa ameichukulia pale sua
Hongera kwa kurudi nyumbani, ndiyo maana most of mzumbe products, quality zao, ni very questionable!
ndugu msomi kama wewe jua hizo ni technical mistake siyo mistake za kipumbavu sawa?so kiswahili kwanza si njia ya kuniambia nimeishia la ngapi sawa ?ingekuwa kiingereza sawa
hii sio kweli mzumbe products kiukweli ni moja ya product inayofanya vizuri sana kwenye labour market na working arenas.sema ktk kila chuo hizi tabia zipo na ukiangalia sisi pia ni vyanzo vya tatizo.hakuna chuo kilichokuwa kinasemwa vibaya kama tumaini lakin the trth remains that sio all tumaini graduates were tabolalasa just some na hao walikuwa wanapita njia za panja lakin makazini sasa tumaini graduates wanafanya vyema sana
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.
Mmh Wewe Ndo unashida na ungeona hata aibu kuandika hapa ... Unahisi na wanachuo wenzako wamefanyiwa kama Wewe?
hiyo mzumbe kampasi ya wapi?maana me nimesoma kampasi ya morogoro hakuna kitu kama hicho?sasa hapo mijnga nani,wewe au chuo?
mkuu sioni tofauti ya alichokisema mtoa mada na ulichobandika hapa ni sawa na umetuhakikishia alichokisema..... wewe ni mzumbe product iwe ya moro ama popote....
Two increments
hebu elezea kwa kiswahili mkuu!
si wengiine hatuko makazini, so hizo rejesta mwazijua nyie tu!