Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Ninahisi mwanzisha mada alimuhonga mwalimu wake wa O' level shilingi laki moja asimchape viboko kwa kukosa maswali ya "simple algebra"....
 
hebu soma alivyochangia mleta mada kwenye uzi huu "naandika dissertation/research reports/proposal/conference papers" september 6, 2012 kuhusu mzumbe kaandika "
blessings kafungue ofisi pale nje ya mzumbe(moro na dar), open university, udom na cbe utapata vichwa mwanzo-mwisho. Maana mi-wanafunzi ya mule yote vilaza haijui hata kuandika sentensi moja ya kiingereza ikaanyooka sijui wanapataje hizo digrii au ndo digrii za chupi?" jiulize huyu kweli kamaliza mzumbe? Nina wasiwasi.
hata masterz hana
 
Kuna wenye master za mzumbe na wanajivunia, usiseme unaona aibu kusema umesoma mzumbe, uone aibu kusema una masters kwani hukustahili hata kuwa na bachelor na huko kote umepita kwa njia hyo hyo.
 
Wewe ni tatizo. Watu design yako wapo kote duniani. Iwe UDSM au hata makarere. Ulichofanya ni kizuri, kwani umeamua kujidharrsha mwenyewe. Hufai kjigea abadani. MBULULA MKUBWA WEEEEEEEEEE?. Kibaya zaidi inawezekana waati wa dessertation utakuwa uligongwa kabisa. Tuambie basi jamaaaa walikjkamua vigapi pimbi wewe.
 
Ni uwongo hata kama ni undergraduate huwezi kumaliza ndani ya week coz kuna muda ndani ya prospectus umepangwa kwamba tarehe fulani mpaka fulani ni proposal then ikishapita ndio ukakusanye data then uje kuzifanyia kazi alaf bado kuna marekebisho yatafanyika, bado jam yakwenda kuprint, kuweka sawa pages, na pia kwenda kujaza form za error free nako unaweza kumkosa msimamizi.....so kusema ndani ya week hayo yote yanawezekana ni uwongo na uzandiki mkubwa sana
 
Hawa maprofesa wa kitanzania huwa hawasomi kabisa dissertation za wanafunzi wao hadi dakika za mwisho kwa mwendo wa zimamoto. Kuna jamaa yangu mmoja kazi yake iko kwa external examiner kwa zaidi ya mwaka sasa. Kuna siku nilikuwa kwenye kikao nimekaa next na profesa akawa anashiriki kikao huku anasahihisha dissertation za wanafunzi wake kwa mtindo wa multitasking. Kwa mtaji huu elimu ya bongo imeoza, ndo huenda inasababisha vijana wajilipue kwa kununua mitihani. Kwa kifupi nchi yetu inatakiwa kujitathmini upya kwenye kila sekta.
 
Taaluma ni juhudi ya mtu binafsi. Majengo, jina la chuo au Prof. waingizi maarifa kichwani mwa mwanachuo bali juhudi yako ya kujifunza. Hata ungeenda chuo gani kama husomi unataka kununua cheti hiyo ni juu yako juu ya chuo. Kuna watu wanashule yao ya ukweli toka MU wewe huna shule una cheti haya sasa tuone nani zaidi.

Ndugu, unajidanganya mwenyewe (na watu wa aina yako) kama unaamini kuwa kwenye vyuo vyote mtu anaweza akafanya alichosema mleta maada kuwa kakifanya! Vinginevyo kusingekuwa na grading za ubora wa vyuo. Au kwa mtazamo wako Mzumbe University ina hadhi sawa na Harvard?

Mliosoma MBA Mzumbe (especially miaka ya karibuni) mnapaswa kukiri kuwa MBA zenu mmepewa (hata kama si wote mliolipia), otherwise how can anyone hope kuwa mlikuwa properly supervised wakati mlikuwa 300 plus (tena kwenye campus tatu tofauti) in a particular intake wakati human resource s required ni chini ya lecturers 30? How is it possible lecturer mmoja kuwa supervisor wa candidates 10 au zaidi huku akiwa anafundisha pia?
 
WEWE NI pimbi SANA,tutolee upimbi WAKO HAPA barazani.

Umekasirika kwa kuwa jamaa katoa siri hadharani? By the way, hilo analolisema mleta maada halihitaji mtu makini kuambiwa. Liko obvious ukikutana na Masters holders wengi wa Mzumbe wa kuanzia miaka ya 2000s!
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business
Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni
kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework
(Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji
kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya
Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa
supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana
bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa
Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit.
Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

You seem to be hypocritical
 
Nyongeza mbili ya mshahara ambayo huwa ni kati ya 5000/- hadi 15,000/- katika mshahara! Kifupi hailipi ila kuongeza ujuzi

ahsante mkuu! kwa hiyo natumia gharama kama milioni kumi halafu nakuja kulipwa elfu kumi kama nyongeza ya mshahara?

hii ni kwa bongo tu ama mpaka kwa nchi nyingine huko?
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

Mbona mimi nimesoma masters Mzumbe na nimekamua ileile? Nafikiri hiyo inawahusu ninyi majambazi wa mitihani tokea huko mlikotoka. Kama unajua kilichokupeleka shule....utakitimiza. wewe ulienda kuchukua cheti, sio elimu.
Chuo chochote bongo unaamua tu utimize lengo lililokupeleka.
 
ahsante mkuu! kwa hiyo natumia gharama kama milioni kumi halafu nakuja kulipwa elfu kumi kama nyongeza ya mshahara?

hii ni kwa bongo tu ama mpaka kwa nchi nyingine huko?

Hii ni bongo wengine sina uhakika, ila nadhani huko wanajali na kuthamini elimu. Tz cha msingi umeongeza ujuzi, vile vile ili kupanda cheo kuwa mwandamizi lazima uwe na MA, kwa misingi hiyo milioni zako haxitapotea bure
 
Hii ni bongo wengine sina uhakika, ila nadhani huko wanajali na kuthamini elimu. Tz cha msingi umeongeza ujuzi, vile vile ili kupanda cheo kuwa mwandamizi lazima uwe na MA, kwa misingi hiyo milioni zako haxitapotea bure

ahsante mkuu!

hivi kwa wale wenye advanced diploma, na wenyewe wanaruhusiwa kuchukua MA?
 
Yaap! Si ni equivalent hiyo?

hapo sawa! kwa hiyo hii ni sawa na inayotolewa na NACTE?

kwa maana nacte wenyewe ukisoma miaka miwili wanatoa higher diploma! ukimalizia wa tatu ndio wanakupa degree!

je mkuu kwa hii ya NACTE (higher diploma) unaruhusiwa kusoma MA?
 
kwa ukweli hiyo shule ya MBA ya Mzumbe kama mwanafunzi hauko serious ndo matokeo yake hayo!,,,, ila pia kuna watu walisoma MBA huko ESAMI nao waliandikiwa dissertation.... kwa mtindo huo it is very true huwezi kuwa proud na cheti chako labda kama huna akili nzuri..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom