Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Ukiona hivi mtoa mada atakuwa "alikatwa shingo" sasa anafanya juu chini kuichafua Mzumbe.
Au ulikamatwa na kibuti, ukasafirishwa na ambulensi hadi Msamvu!
Huo ushuzi ulioandika kuichafua MU ushindwe na ulegee



kabsaa mkuu ,kilaza uyo achana nae
 
Wadau wa JF
Salam natumaini mu wazima! mimi ni muhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia.

Kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuoni) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanisuta maana sijaitendea haki taaluma.
Umetumwa wewe
Mzumbe ipi? mbeya, Dar es salaam au morogoro. Kama ilitokea watu wazembe kila chuo wapo kumbuka wakufunzi nao ni binadamu wanaweza ku induce demand zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom