Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

pamoja na usahihi wa majibu yako lakini chuo kinachangia sana, ni aibu kwa mhadhiri kutahini na kufanya mtihani mwenyewe badala ya mwanafunzi, ndiyo maana magraduate wengi wa mzumbe ni majanga huku maofini! afisa rasilimali watu unamwuliza kwanini nina sifa za kupandishwa daraja na sijapandisha angali mwenzangu mwenye sifa sawa na mimi kapandishwa? anajibu kirahisi na kiupumbavu kila mtu na bahati yake, huwezi kuamini hawa ndiyo mafisa utumishi wetu wa mzumbe

Yote kwa yote tatizo ni mwanafunzi,ukisoma alichoandika utagunduA tu kuwa alishajiandaa kupata cheap Msc.Badala ya kuchimbua ili awe hodari kapata Masters Degree ambayo ni ZERO! Kwa wengine ambao tumesomea Engineering unastrive kwenye miradi mikubwa na yenye changamoto kubwa ili baadae uweze kusimama mbele ya jamii na Engineering Community kutoa majibu, kutokana na past experience ya mambo ambayo yalishawahi kuwapa/kukupa changamoto, ila in a long run, ufumbuzi unapatikana. Haya yanawezekana tu kama mtu uko na nia Thabiti ya kujifunza, kupekua n.k. Sasa kupata chet tu haitoshi, je una jambo au mambo mapya uliyoongeza kutoka undergraduate to postgraduate! Mi nadhani ule mfumo wa zamani wa kuhakiki elimu ambao ulikuwa mahsusi kwa watu wanaorudi na degree kutoka nje ya nchi uanze hata kwa degree za ndani. Wakati ule ile iliyokuwa inaitwa Higher Education Accreditation Council ambayo kwa sasa imekuwa ni TCU na NACTE, ndo ilikuwa kazi zake! I hope hadi sasa TCU/NACTE wanafanya kwa wale waliotoka na elimu za nje! Hata hivyo kwa Engineers, ERB huhakiki Wahandisi wageni na wakijiridhisha hupewa Temporary Registered Professional Engineer! Kwa kumalizia, siamin kama kweli ile IDM Mzumbe ambayo imetoa wasomi na viongozi bora hapo mwanzo, eti sasa baada ya kuwa University ndo imedorora, tatizo ni baadhi ya Watanzania kupenda mteremko!
 
take my like mkuu,
huyu jamaa wa mzumbe kafunga mwaka kwelikweli,yeye na supervisor wake wote mahodar,,,,,daaah,,,,,
supervisor anakuandikia dissertation???????hii sijapata sikia wala ona,,,,,halaf ni Prof?????jaman jaman jamani mweeeee.
So MBA ya MZUMBE IMETOKA KUWA MAHARAGE YA MBEYA,,,,TO WHAT????
 
Kaamua kuwa honest jamani. Nakupa Big up kwa kuweka wazinajua mpo wengi wenye masters za staili hiyo sema mnajificha kujifanya kina john kisomo msuli wa fuso kumbe money talka! Usijar kaka kibongo bongo ndo hivyo ingia sokon utafute kazi tu maisha yasonge.
 
Kumbe tunaendelea kuvuna dr. Nchimbi, mathayo wengine kibaaao
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

we ndo tatizo tena kilaza ni sawa kuona aibu
 
Ila na we mwnyw ulitaka hivyo ungetaka kusoma ungekaa chini ukasoma na ukafanya assignment zako mwnyw. Hapohapo kuna waliochukua masters na waliosomea masters. Wewe ulikuwa una hela ndio maana ukaichukua ungekuwa kapuku kama mimi ungeisomea na ungeipata!
 
Huja itendea haki mzumbe.
Mpaka sasa inaonesha una vyeti ila knowledge huna.
Tujulishe na jinsi ulivyo ipata degree yako maana vyuoni lecturers wanasifika kwa kupenda ngono in return of good course work.
 
pamoja na usahihi wa majibu yako lakini chuo kinachangia sana, ni aibu kwa mhadhiri kutahini na kufanya mtihani mwenyewe badala ya mwanafunzi, ndiyo maana magraduate wengi wa mzumbe ni majanga huku maofini! afisa rasilimali watu unamwuliza kwanini nina sifa za kupandishwa daraja na sijapandisha angali mwenzangu mwenye sifa sawa na mimi kapandishwa? anajibu kirahisi na kiupumbavu kila mtu na bahati yake, huwezi kuamini hawa ndiyo mafisa utumishi wetu wa mzumbe

Kwa kweli mzumbe ni majanga
Kila nyanja, labda uhasibu, sheria kimbia hao graduates
 
take my like mkuu,
huyu jamaa wa mzumbe kafunga mwaka kwelikweli,yeye na supervisor wake wote mahodar,,,,,daaah,,,,,
supervisor anakuandikia dissertation???????hii sijapata sikia wala ona,,,,,halaf ni Prof?????jaman jaman jamani mweeeee.
So MBA ya MZUMBE IMETOKA KUWA MAHARAGE YA MBEYA,,,,TO WHAT????

Hahaaaaaaa MBA maharage ya Mbeya hii ni kareeee
 
The living fact..... Mzumbe sasa hivi ni majanga....Dissertation ndani ya week moja inakuwa imekamilika kuanzia kuandika Proposal, data collection, Presentation, examiner report and submission. Hatari sana kwa elimu ya bongo. Mauza uza tu elimu ya bongo. Halafu unakutana na hilo jitu linajisifia kuwa lipo super..... Nshomire hata aibu haoni.
 
Unatakiwa kushitakiwa na unyang'anywe hiyo masters degree,wewe sio mzalendo kabisa,na tena unakuja kujitangaza hapa?? shame on you
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

MZUMBE haiko hivyo UDSM ndo wanafanya hivyo me nimesoma MBA pale mliman na hiyo tabia ndo wanayo pale!! sema ww ni kilaza sana..ndo nyie mnaosoma SOCIOLOGY halafu Mnataka miteremko ya MBA! JInga wewe..
 
mmmh mbona mm nasoma mzumbe cjawahi kuskia izo ishu alafu napaona pagumu kichizi
 
Mtoa hoja ana hoja. Kasema kweli. Watu wanaonunua degree wapo tena wengi. Bahati nzuri nimegraduate MBA Corporate Management ya Mzumbe. Niliifanya kwa jasho na damu yangu n m proud of my thesis and findings. Bahati mbaya sana, wapo wenzangu ambao thesis zao ni of questionable quality and intergrity. Yupo rafiki yangu mmoja alichukua thesis ya mtu wa UDBS akaibadilisha case study area from tunduru to mkuranga akasubmit. Yupo mwengine kampa dr wa hapo mzumbe kamfanyia kila kitu kasubmit.

These r true stories of two people naowafahamu kwa undani sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom