Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Dah nimestuka sanana hizi taarifa, sisi masters yetu tunafanya project 3, kuna kitu inaitwa turnitin software weee ni balaa ukimaliza kufanya project unai upload huko inakupa % ya plagiarism isizidi 18% ndo unaisend kwa cordinator yani inakulazimu ukomae tu otherwise unatunukiwa postgraduate, hiyo ya mzumbe ni noumer aisee
 
Hahaaaaaaa MBA maharage ya Mbeya hii ni kareeee

mkuu ndo inavyoitwa,tena humu humu,niliwai omba admission campus ya Dar,nikakosa,ila sijutii kwakweli,kwa sifa mbaya inazopata,now am back Nyumbani kwa baba Rwekaza,,,,shule inabana bt inaenda
 
Mtoa hoja ana hoja. Kasema kweli. Watu wanaonunua degree wapo tena wengi. Bahati nzuri nimegraduate MBA Corporate Management ya Mzumbe. Niliifanya kwa jasho na damu yangu n m proud of my thesis and findings. Bahati mbaya sana, wapo wenzangu ambao thesis zao ni of questionable quality and intergrity. Yupo rafiki yangu mmoja alichukua thesis ya mtu wa UDBS akaibadilisha case study area from tunduru to mkuranga akasubmit. Yupo mwengine kampa dr wa hapo mzumbe kamfanyia kila kitu kasubmit.

These r true stories of two people naowafahamu kwa undani sana.

hahahahhaaa,,,,mdau
hii mambo iko siriaz sana eeenh???from tunduru to MKURANGA,hahahahahahhaaa.
Case study hiyo,daaaah
 
dada caren shikamoo kwanza kabla cjasahau na hongera pia, mtoa hoja huyu ni kibaraka wa UDSM aliyekuja kuichafua MZUMBE!!
 
Mtoa hoja ana hoja. Kasema kweli. Watu wanaonunua degree wapo tena wengi. Bahati nzuri nimegraduate MBA Corporate Management ya Mzumbe. Niliifanya kwa jasho na damu yangu n m proud of my thesis and findings. Bahati mbaya sana, wapo wenzangu ambao thesis zao ni of questionable quality and intergrity. Yupo rafiki yangu mmoja alichukua thesis ya mtu wa UDBS akaibadilisha case study area from tunduru to mkuranga akasubmit. Yupo mwengine kampa dr wa hapo mzumbe kamfanyia kila kitu kasubmit.

These r true stories of two people naowafahamu kwa undani sana.

hahahahhaaa,,,,mdau
hii mambo iko siriaz sana eeenh???from tunduru to MKURANGA,hahahahahahhaaa.
Case study hiyo,daaaah.....
 
Kwa uzoefu wangu wa kuwa mwanafunzi level zote Tanzania, mfumo wa assessment vyuo vikuu hadi mwanafunzi kupata cheti ni mbovu sana. Necta ndiyo assessment pekee ambayo imefanya vizuri kwa muda mrefu kwa kipindi cha nyuma. Jaribu kuangalia watu uliosoma nao labda O/A level na waliosonga mbele after O/A level lakini almost kila mtu anafaulu akiwa chuo. Hapa sisemi wanafunzi washikwe wakiwa vyuoni ila mfumo wa assessement ni too personal (based on lecturer's decision)!
 
Hapo makosa ni ya kwako mleta mada, sio ya chuo wala huyo prof. Kma roho imekusuta kiukweli basi nenda kakane masters yako uanze upya bila kufanyiwa asgnment wala research.
Ninachokiona hapa ni kwamba umekusanya tetesi za mitaani na kuja nazo hapa ukijifanya ni ww, to GT this is b.shit
 
mkuu ndo inavyoitwa,tena humu humu,niliwai omba admission campus ya Dar,nikakosa,ila sijutii kwakweli,kwa sifa mbaya inazopata,now am back Nyumbani kwa baba Rwekaza,,,,shule inabana bt inaenda

Hongera kwa kurudi nyumbani, ndiyo maana most of mzumbe products, quality zao, ni very questionable!
 
Kuna jamaa alikuja ofisini kwetu akatoa vyeti vyake ana MBA ya mzumbe...hahaha yaani tukampambanisha na jamaa ana Advanced Diploma ya IFM, jamaa wa mzumbe yuko shallow sijawahi ona..ilibidi tuajiri tu kijana wa ADA ya IFM japo requirement zilitaka awe na masters..
 
Nakumbuka nilipokuwa mzumbe sec nilkuwa napiga dili la umamluki wa kuwafanyia watu math akati mi ni A level student.kiukweli elimu ya pale ni janga.ingawa nilipata pesa ya kujikimu.mzumbe hasa ya moro ni ovyo sana kitu UDSM bhana
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

We ni muongo kabisa, kwanza Mzumbe ni jina na kuna vyuo vingi vyenye jina la mzumbe. Kuna morogoro, dar, mbeya na mwanza je wewe umesoma wapi? Haiwezekani makosa afanye prof wa chuo hiki alafu useme mzumbe yute iko hivyo. Pia hakuna prof anayejishughulisha na ujinga unaosema labda ni prof wa uganga na si elimu.

Kingine uwe mkweli kama unataka ku apply chuo unataka pata maoni we sema sio kujitungia. Kwa tuliosoma Mzumbe na vyuo vyote Tanzania suala la kusaidiwa lipo na ukiliendekeza utatoka mtupu. Kama term paper unafanya nyumbani kuna uwezekano wa kufanyiwa kwa asilimia 100 kama ukiwa mjinga na hakuna atakayekuuliza maana level ya masters sio ya kukabana kooni. Kila mtu
anajua alichofuata na atakachoondoka nacho. Kwa tuliofuata shule tumetoka fiti na kwa
aliyefuata cheti ataondoka na cheti. Kumbuka pia kuna online education tena Ulaya na
kama unshida ya cheti jiandikishe upate hata PHD na ujitambe unaitwa Dr. Elimu sio kula timing na kujitamba umeipata. Elimu ni kuelimika kichwani mkubwa....pole sana
 
na wewe pia majanga
kama ulikubali kutoa hela wala usimlaumu proffesor
jilaumu kwa uzembe na ujinga wako....
Hata hivo habari yako haina ushahidi wa kutosha huenda pia umetunga ili kukiharibia soko chuo hicho
 
halafu type Watanzania tunalialia hakuna ajira mara ajira wanachukua watu wa nje.
Kuna siku nilikuwa naongea na CEO wa kampuni moja kubwa tu alikuwa akilalamikia issue hii.
Alisema anashindwa kuchukua Watanzania kwa kuwa mwanzoni walipowachukua vyeti na perfomance/knowledge
havikuwa na ushirikiano kabisa.
Shame on you mnaoua soko la ajira na walimu wenu wanaofanya upuuzi huu!
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

Tangu nilivyosikia Nape Nnauye eti naye ana Masters ya Mzumbe nilishakidharau hiko chuo.
 
Siku hizi kama huna masters unaulizwa, jamani hata ya mzumbe umekosa?.
 
Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

Wewe ndio kilaza Na wala si MBA CM cause wenzio wakishasoma wewe wakati wako badala ya kuwa serious ulitaka kununua cheti siku ukitakiwa kuandaa ripoti ofisini kwako sijui utakwenda Kwa walimu wako au prof wako. Huo ujinga upo dunia nzima ila mtu unatakiwa kujua kwanini unasoma masters. Bila Shaka wewe uliunganisha au ni mtumishi wa serikali ulietumwa cheti. Acheni kufanya mambo ya kipuuzi yatakayokucost baadaye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom